Willy gamba

STEVEN ATMIN

Member
May 4, 2012
24
1
HODI JF MEMBERS mimi ni kichanga katika JF members.Jamani naombeni yeyote mwenyeuwezo wa kuniwezesha kuipata story ya willy gamba katika mtandao unisaidie.
 
story ipi sasa...? coz zipo nyingi na mtunzi kama sikosei ni Elvis Musiba
 
story ipi sasa...? coz zipo nyingi na mtunzi kama sikosei ni Elvis Musiba

ndio mwenyewe mkubwa umegusa mulemule,sasa unaweza kunifanyia mpano wa kunitumia linki yake au kuniwezesha niweze kuipata full story ya huyu jamama katika mtandao wa JF TAFADHALI NAOMBA NITUMIE.[kama sikosei kiliandikwa NJAMA]
 
Karibu sana, inaonyesha wewe si mgeni humu.

usemalo si kweli mkuu mimi ni kichanga wa JF, kama inawezekana ungeangalia orodha wa memba wabya wa JF nami nimo umo. ASANTE KWA KUNIKARIBISHA KATIKA JF MEMBERS.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom