William Mhando vs Idrissa Rashid

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Wote walikuwa ma DG TANESCO

Similarities zao ni zipi na tofautii zao ni zipi na wali achieve nini pale TANESCO?

Je yupi kati ya hawa alikuwa na REALISTIC strategic plan ya kumaliza hili tatizo la umeme Tanzania?

Je ni kweli wote walikuwa wanapata taabu na wanasiasa?
 
wote ni matunda ya kujuana katika ajira.........................na wote walikumbwa na tuhuma za wizi na ubadhirifu..................na Idrissa ndiye aliyemwajiri mwenzie na kumpa ukurugenzi akimwandaa kumrithi.........birds of a feather always fly together.......
 
Wote waliendeleza migao ya umeme. Lakini Idrissa alikuwa mbunifu wa kutunusuru na matatizo ya mgao wa umeme kwa kutaka kuleta wataalamu wa kutengeneza mvua toka Thailand!
 
Mmoja ni PhD holder na mwingine ni normal engineer

Mmoja ni Engineer na mwingine ni Prof. Dr. wa Economics. Mkuu wimbi la mbele tumia lugha yako kwa uzuri. Kuna sehemu umesema ati wote walikuwa wanaingiliwa na wanasiasa. Hiyo lugha si nzuri sana. Siku hizi tunasema walikuwa wakipata changamoto toka kwa wanasiasa na siyo kuingiliwa.
 
Last edited by a moderator:
wote ni matunda ya
kujuana katika ajira.........................na wote walikumbwa na
tuhuma za wizi na ubadhirifu..................na Idrissa ndiye
aliyemwajiri mwenzie na kumpa ukurugenzi akimwandaa
kumrithi.........birds of a feather always fly together.......

mhando ana miaka 25 TANESCO
 
Back
Top Bottom