William Malechela karibu sana chadema

...labda abadilike tabia ndio tutamkaribisha CDM vinginevyo abaki huko huko magamba.

haaaha bubu naona unampiga pini...mwache aje tu manake kwao hakubaliki sijui atakimbilia wapi akikataliwa na huku
 
  • Thanks
Reactions: BAK
haaaha bubu naona unampiga pini...mwache aje tu manake kwao hakubaliki sijui atakimbilia wapi akikataliwa na huku

Mkuu SI si umemsoma hapa jamvini? Kama umemsoma hapa jamvini basi nadhani unanielewa ....ni bora abaki kule kwa magamba...CDM hatumhitaji kabisaaaaa...labda tutamfikiria akiwa tayari kubadilika.
 
..Hivi ya Shibuda hujayachoka wewe ndani ya Chama?!, unataka na huyo another Shibuda aingie ndani ya Chama...!!
 
....Shibuda ni cha mtoto Mkuu
Halafu sijui ni kalogwa ,hashauriki kabisa .Sasa sijui atakuwa kiongozi wa aina gani maana yy kila jambo analolifanya yupo perfect hataki kukosolewa hata siku moja. Mungu ampe nguvu na woga wa kutoingia CDM kwa maslahi ya nchi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
cdm mkianza kuokota hadi wagonjwa wa akili,hicho chama kitakufa muda si mrefu.
 
Huyu hata kwa ''mkopo'' asichukuliwe.........binafsi namwona ni ''big-mouthed-small-time Charlie whio thinks that he is as tough as Humphrey Bogart''
 
Back
Top Bottom