William Malecela: Watoto wa viongozi na uongozi wa taifa letu!

Watoto wa viongozi hawawezi kuleta mabadiliko yenye tija kwa Taifa.Sidhani kama watawachukulia hatua wazazi wao walioshiriki kwenye ufisadi.Sana sana wataendeleza ufisadi kwa kutumia mbinu mpya.Shida si kutawala,bali kutaka kuendelea kuwa madarakani by any means neccessary.

Kama tutakubali kufuata sheria hili la watoto wa vigogo ama vijiti halitakuwepo kwani si mtoto wa kigogo au kijiti mwenye kuwajibisha ama ku promote bali utawala wa sheria na pale panapotokea mgongano wa kimaslahi ni wazi anayehusika kuliweka wazi hilo. Tatizo letu viongozi wetu waliamua kuiweka sheria kando na kutumia hisia zao kuongoza nchi. Hili lilisababisha mambo yaliyokuwa ya aibu kuwa halali na kuathiri maadili ya watanzania kiasi kwamba majambazi ndiyo sasa wanaonekana mashujaa na wakitoa sauti watu wote wana nyamaza. Niwe mkweli kiongozi kama rais asipokuwa mfano wa kuigwa kiutawala wa sheria na kimaadili walio chini yake huiga kwa haraka sana na hatimaye kusababisha kujenga utamaduni huo kwa kasi usiyoweza kutegemea.

Wengine tulipata kazi bila kupeleka vimemo ofisini kwa mtu yeyote Lakini sikuhizi watoto wetu ndiyo wanaotoa instruction kwa mwajiri na kumwelekeza sehemu anayotaka kufanya kazi na kazi zipi azifanye kisa mimi baba/mama/shangazi/mjomba/shemeji ndiye mkubwa. Matokeo ni kuwa taifa lina watu ambao wapo kwenye nafasi wasizo stahili kiasi kwamba wana underperform na wakikosolewa wao ndiyo wenye maamuzi ya mwisho hivyo kuamua kuwawajibisha hao wanaowakosoa badala ya kukubali kuwa hizo nafasi hawa stahili kwa faida yao wenyewe na kwa taifa.

Pia kuna tabia imejitokeza ya kufanya cartel kwenye biashara hasa kwakutoa information kwa clout fulani hivi ya politicians na ndugu zao huku raia wengine wenye ujuzi pengine na capacity wakiachwa nje na kusababisha biashara zao zishindwe kuhimili na hivyo kujikuta zikifa. Athari inayotokea ni kuwa hizo biashara zilitoa ajira kwa group kubwa la raia hivyo zinaposhindwa kuendelea inaleta impact kwa raia wengi. Hizi zingine kwakuwa haziendeshwi kitaalamu na pia zinakuwa highly subsidized indirectly na hivyo ile labour inayotakiwa pengine iwe provided na raia zinafanywa na machine ambazo ukizifanyia financial na economic analysis haziko viable ila kwakuwa zinapata indirect subidies hili haliwezi kuonekana mpaka huo mrija utakapokatwa huyo kigogo akipata kwamfano ajali ya kisiasa na kutoka kwenye hiyo nafasi basi utaona hizo biashara zinajifia na hivyo kutoa picha halisi kuwa ilikuwa si biashara bali mrija wakupitishia pesa za kifisadi na spending ya hizo pesa ni kwenye foreign goods so hakuna reinvestment. Hili tusipolikemea tax base yetu itaendelea kusinyaa na hata ukusanye vipi kodi bado itakuwa haitoshi maana walaji ni wengi kuliko wazalishaji.

Kwaujumla taifa limeingia kwenye tabia ambayo bila kuja na sheria kali zenye kumaanisha si rahisi kurekebisha hii tabia. Maadili hayaji bila kuwepo na sheria zenye kurekebisha tabia za watu ndiyo maana tunasema Azimio la Arusha ni muhimu sasa kuliko wakati mwingine wowote.
 
Kubebwa kwa watoto wa viongozi na vigogo kupo tena sanaaa

Mfano

  • Niikuuliza wewe Williama hiyo kazi unayofanya ulifanya interview wapi na wenzako maliofanya nao interview wako balozi gani ?
  • Nenda pale BOT utakuta ingawa wengi wa watoto wa vigogo wana elimu wana sifa but. kupata kwao kazi kuna force behind iliyoendana na vimemo.

Watoto Wengine ni kweli wana akili wana uwezo lakini wanabbewa kwa kutafutiwa maeneo yenye "milo" au sheemu zenye milo. Mfano Wizara kama ya Nje na fedha hata mwanafuzi kufanya internship ni kazi kama huna mjomba wala shangazi pale.

Mwandishi yeyote achunguze wanafuzni wa chuo wanaokubaliwa internship yao pale MOFA alafu utaelewa.......

Wahasibu wa wanapofaya interview serikalini waatupwa Wilayan lakini haijawai kukosewa mtoto wa kigogo akapelekwa wilayani. Unabai unajiuliza kinachofutwa kupangwa shemu ni alphabet au ukiwa mtoto wa mkubwa basi inakuwa kama ushafanyiwa VETTING na hivyo kupelekwa MOFA sio kazi kubw kama ukiwa mtoto wa "masanja"

Siku CAG akianza kufanya Aduting ya Human reouce recruting na allaoction za wafanyakazi wa serikali hasa kwenye wizara na vyombo nyeti anaweza kuibua mengi.

- Mkuu unazungumzia ubalozi gani huo maana mimi sifanyi kazi ubalozini! ha! ha! ha!

William @ NYC, USA
 
- Mkuu siamini kwamba ni fair deal kuwahukumu watoto wote wa viongozi kwa sababu ya wachache kati yao walioharibu, binafsi ninasema hivi Mbowe ni mtoto wa kiongozi anayefanya kazi nzuri tu kwa taifa, Hussein Mwinyi ni mtoto wa kiongozi anayefanya kazi nzuri sana kwa taifa, Ridhiwani ni junior sana kwangu lakini he works with IMMA people ambao ni watu wangu sana na for a long time, ninawamini sana kwa work ethics, siamini kwamba wanaweza kumuajiri bila kuwa na uwezo wa kazi zao, maana lile ni shirika kubwa sana la kimataifa, last year nilipokuwa bongo walinialika nikaenda kujumuika nao kuangalia mechi moja ya World Cup pale ofisini baada ya masaa ya kazi, ni very serious people Ridhiwani hawezi kuwepo pale kama sio mudadilifu wa kazi zao!

- Lakini I understand kwamba amekuwa akirushiwa shtuma nyingi sana bila ushaidi, na in some cases washambulizi wake wanakosa busara kabisa, I mean baba yako anagombea urais ni kwa nini usimsaidie? Sasa yes kwa kufanya vile sio siri una beba maadui wa baba yako, lakini haikufanyi uwe less au more that others wananchi, unless kuna ushahidi wa kweli kuonyesha kwamba the kid is a thug, lakini to this day sijaona ushahidi serious unao-mlink Rdihiwani na ufisadi, I know he is a very dedicated man na family man too mcha Mungu sana, lakini kama kuna usahidi wa kwamba he is a thug uwekwe wazi, kuliko speculations!

- HOEWEVER: kuna watoto wa viongozi ambao ni tatizo sana na wanao waharibia wengine wote, lakini pia kuna watoto wa wananchi wa kawaida ambao pia ni tatizo sana so! cha muhimu ni sheria za jamhuri kuheshimiwa na wananchi wa Tanzania sasa wameanza kuamka sio siri ndio maana unakuta watoto wengi wa viongozi wanakuwa ni viongozi wa one term only!

William @ NYC, USA.

Haha masiara hawa wazee wa EPA ndio wana work Ethics?
Mbona walitutolea waziri kioja?
 
Mtoto wa kiongozi atakayegombea nafasi baada ya kutokuwepo kwa mzazi wake aliyekuwa kiongozi(eg Joseph Kabila) at least atakuwa anacheza kwenye fair ground!
Lakini in the presence of mzazi(ambaye ni/alikuwa kiongozi) basi tegemea upendeleo wa aina fulani!
Hata kama atakuwa anaqualify, bado kuna element ya nguvu iliyofichama ya jina la ukoo wao itakayosaidia kupush mawazo ya watahini au wapiga kura ili wampendelee!
 
- Well, sijui tatizo la Januari lipo wapi maana amepitia sehemu nyingi sana za kusoma bongo na hata amefanya kazi kwenye sehemu za ajabu sana kama kwenye kambi za wakimbizi, baada ya kuhangaika sana bongo akaweza kupata nafasi ya kwenda kusoma nje, akarudi bongo na kuwa msaidiziw a Rais, na sasa ni mmoja wa viongozi makini sana bungeni, mimi nafikiri anatakwia kwua mfano wa kuigwa maana ameonyesha kwamba ni competent, hasa ishus za umeme na nishati ninamuheshimu sana huko!

- Kwenye ukweli tukubali tu, badala ya kulalamika bila facts!, Tanzania sasa hatuko tena kwenye siasa za Ujama, sasa tumekwua mabepari ambao huongozwa na ubinafsi, na ndio unaongoza duniani so naona wengi mnachanganya sana mawazo ya kijamaa jamaa na siasa tulizonazo sasa za kibepari, badilikeni wandugu, sisi sio wajamaa tena!

William @ NYC, USA.

William usitulazimishe sisi kuwa mabepari kabla hatujakubali kufanya hivyo. Nani kasema sisi tunafanya ubepari kama si ninyi CCM wakati katiba yetu bado ni ya ujamaa na kujitegemea? Na hapo ndipo hasa watu wanapopalalamikia kwamba kwakua waliopo madarakani wanaona wao wako at the advantage position if watabadilika kuwa mabepari ili makapuni ya umma waliojiuzia na kubadili biashara na kuendelea kuwa indirectly financed na serikali zitaangukia kwenye mikono ya familia zao basi sote hata bila kukubaliana tuwe mabepari; huo si ubepari ni ujambazi ambao watanzania hawataukubali. Kama tunaingia kwenye ubepari kila mtu anatakiwa kutafuta capita kwa akili yake na siyo kuiba mali iliyochumwa na wengi na kujiandikisha yeye kiasha kujiita yeye bepari. Kuna utaratibu wakufuata ku transform from ujamaa kwenda ubepari na hili kama taifa inabidi tukubaliane hivi vilivyokuwa vya owte viwe vya nani na kwa vigezo vipi na vipi serkali itahusika na governance bila kuathiriwa na maisha ya private firm owners.
 
by William Malecela on Saturday, May 14, 2011 at 1:56pm

@ NEW YORK CITY: Ni lazima tukubaliane kwanza kwamba watoto wa viongozi wa Tanzania ambao wengi wameanza kuingia kwenye siasa na kushika nafasi mbalimbali wana haki kabisa ya kushika nafasi yoyote ya uongozi wa taifa kama Watanzania wengine. Haki yao ya Kikatiba kuchaguliwa au kushiriki nafasi yoyote ya kisiasa kwa mujibu wa taratibu na sheria zilizopo haifutwi au kuondolewa kwa sababu ya nafasi za baba zao kwa taifa letu, sasa au huko nyuma.

-Tatizo kubwa ambalo lipo au niseme mawili ni kwamba kuna hisia kuwa watoto hao wanapewa nafasi hizo si kwa sababu ya kustahili wao wenyewe bali kwa sababu ya kubebwa au kutengenezewa mazingira ya kushika nafasi mbali mbali kwa sababu ya wazazi wao. Hili tumejionea likitokea kwa vyama vyote vya siasa nchini, yaani watoto na ndugu wa viongozi wakishiriki kwenye uongozi pia!

- Na pili, endapo wanashika nafasi ambazo zinahusiana na masuala ya utawala na sheria itakuwa vigumu sana kwa watoto hao kutengua au kuchukua hatu ambazo zitawaonesha kuwa wanafumua mambo yaliyoyofanywa na wazazi wao au hata kushindwa kuchukua hatua mbalimbali kwa sababu ya wazazi wao.

- Hivyo, hisia za haya mawili zinawafanya wananchi wengi kuona kuwa katika nafasi kadha wa kadha hasa za kisiasa ni vigumu sana kwa watoto kuwawajibisha wazazi wao - aidha kwa kusahihisha makosa yao au kuwachukulia hatua kama inapasa. Jambo la msingi ni kuweka msingi na utaratibu kuwa kila Mtanzania anapata nafasi ya kulitumikia taifa lake kwa kustahili kwake yeye mwenyewe na si upendeleo (uwe wa kidugu, kidini, kikabila, rangi au ushawishi).

- Na pale inapotokea kuwepo ushahidi wa upendeleo kutokana na nafasi za baba zao basi wananchi tujitokeze na kusema wazi palipopindishwa sheria, lakini sio kulalama tu bila sababu za msingi na hasa wivu, maana ni haki yao pia kushiriki taifa bila kuvunja sheria.

Ahsanteni.

William Malecela.

William umeongea vizuri sana na yote uliyosema ni kweli.. Kibaya zaidi ni kwamba wale ambao hawana wazazi au majina kwenye vyama vya siasa wanapenda kuwatumia hao watoto wa viongozi wa zamani ili wakipata nafasi za uongozi nao angalau wafikiriwe au wapewe nafasi za ulaji. Unadhani kwa nini leo hii Ris=dhiwani ana ushawishi mkubwa sio tu ndani ya UVCCM bali hata ndani ya Young Africans Sports Club (Yanga)?
Nape Nnauyte ni mmoja wa wahanga wa hili maana kuna watu alipokorifisha na UVCCM walimkebehi lakini aliporudishwa na kupewa madaraka wanamsifia wakijua atawapa ulaji sehemu mbali mbali.

Mimi siwalaumu sana nyie watoto wa viongozi hili mnadanganywa na kusifiwa kwamba mna akili, mnaweza, hakuna mwinginea zaidi yenu n.k. na wapambe wenu

Mimi..
 
- Azimio la Arusha lilikufa na ujamaa, kule Zanzibar!

FMEs!
 
- Mkuu ninaongelea haki zao kikatiba ya Jamhuri yetu, au wewe unasemaje kuhusu katiba na haki zao?

William @ NYC, USA.
 
Personally I have no problem na watoto wa wanasiasa kugombea nyadhifa yoyote katika chama chochote kwani hii ni haki yao ya msingi

Tunachokikataa ni 'kubebwa' kwa watoto hawa mfano hai ni Vita kawawa aliyegombea jimbo gani huko, wazee wa kule wanaongea tu walivyopata hela nyingi kumpitisha,wakati huo baba yake alikuwa hai, dreva mmoja wa Namtumbo alinielezea hizo rough mpaka nikacheka moyoni na kusikitika sana!

January Makamba mwenye uelewa mzuri na mjengaji hoja, ktk kugombea Bumbuli alilalamikiwa sana na yule mzee wa wkt huo, kesi ikaenda kwa baba yake, guess what...mzee hakujibiwa! Hata kama hakuwa na mpinzani bt he was 'assisted' mzee analalamika kesi hiyo unampelekea baba, hajibiwi etc etc , January namkubali sana kwenye vision na strategy but siamini kama ni nguvu zake hizo za usomi zilimwezesha kuchaguliwa msukumo toka kwa 'daddy' ulichangia sana

Zainab Kawawa kaingia kwa mgongo wa chama cha wafanyakazi, sina hakika kama ni member wa TUICO, CHODAWU au chochote maana viongozi wa TUCTA walikujaa juu kuhusu 'uteuzi' huo maana hawakuwa na any 'say' in it na members wengi mahiri wakatoka kapa...hii kesi imetua kwa Kabaka nadhani kutafuta suluhu.

Mboni Mhita...hii naomba nisiongee

Hussein Mwinyi huyu amepigana kihalali ila hajawajibishwa kwa mabomu twice wananchi wamepoteza maisha na hakuna uwajibikaji...

Kuna yule naibu waziri nishati na madini, yeye nadhani amepigana vyema no kubebwa ni mbinu na kete za kisiasa kawazidi wenzie so can't list him in here

Kuna yule kijana sijui alikuwa anaitwa Ipyana well liked RIP huyo unaona kabisa ni chaguo la umma wa wanaompigia kura

Nape pia anakubalika na hakutumia nafasi ya mzee wake kunyanyuka, he actually is my fav on them all japokuwa tamshi zake hatarishi za sasa zinachosha kusikiliza

So all I wanted to say is, they will only be accepted if its a 'fair play' short of that bado tutapiga sana kelele, in the court of life, people are the judges,prosecutors and they don't have to be right!
 
- Sawa sawa mkuu!

Wiliam @ NYC, USA.
 
Well written.
Again tumechoshwa na hizi re-mixes kwenye nyekundu.
As you mentioned, Nape anaweza kuwa fine lakini kauli zake inabidi ampate David Axelrod wa kumshauri la sivyo naona mipasho imezidi na anajipotezea uaminifu kwa wananchi eventually atakuwa another Yusuf Makamba.
 
- Azimio la Arusha lilikufa na ujamaa, kule Zanzibar!

FMEs!

Aliliua baba yake William J.S. Malecela ndiyo maana Mwl alimkemea lakini ajabu ni kuwa waliandika hilo azimio la Zanzibar kwenye chama chao cha mafisadi lakini kwenye katiba bado tunajua sisi ni wajamaa na si omba omba tunajitegemea ndiyo maana nikasema 'NINYI CCM' sisi watanzania bado tunafuata mfumo wa baba wa Taifa letu na si mfumo wa chama cha mafisadi na kwakuwa ninyi si chama cha mapinduzi bali chama cha mafisadi a.k.a chama cha magamba sisi kupitia CHADEMA tunaililia nchi yetu ambayo mmejiuzia. Tukiikomboa tutalirudisha!
 
by William Malecela on Saturday, May 14, 2011 at 1:56pm

@ NEW YORK CITY: Ni lazima tukubaliane kwanza kwamba watoto wa viongozi wa Tanzania ambao wengi wameanza kuingia kwenye siasa na kushika nafasi mbalimbali wana haki kabisa ya kushika nafasi yoyote ya uongozi wa taifa kama Watanzania wengine. Haki yao ya Kikatiba kuchaguliwa au kushiriki nafasi yoyote ya kisiasa kwa mujibu wa taratibu na sheria zilizopo haifutwi au kuondolewa kwa sababu ya nafasi za baba zao kwa taifa letu, sasa au huko nyuma.

-Tatizo kubwa ambalo lipo au niseme mawili ni kwamba kuna hisia kuwa watoto hao wanapewa nafasi hizo si kwa sababu ya kustahili wao wenyewe bali kwa sababu ya kubebwa au kutengenezewa mazingira ya kushika nafasi mbali mbali kwa sababu ya wazazi wao. Hili tumejionea likitokea kwa vyama vyote vya siasa nchini, yaani watoto na ndugu wa viongozi wakishiriki kwenye uongozi pia!

- Na pili, endapo wanashika nafasi ambazo zinahusiana na masuala ya utawala na sheria itakuwa vigumu sana kwa watoto hao kutengua au kuchukua hatu ambazo zitawaonesha kuwa wanafumua mambo yaliyoyofanywa na wazazi wao au hata kushindwa kuchukua hatua mbalimbali kwa sababu ya wazazi wao.

- Hivyo, hisia za haya mawili zinawafanya wananchi wengi kuona kuwa katika nafasi kadha wa kadha hasa za kisiasa ni vigumu sana kwa watoto kuwawajibisha wazazi wao - aidha kwa kusahihisha makosa yao au kuwachukulia hatua kama inapasa. Jambo la msingi ni kuweka msingi na utaratibu kuwa kila Mtanzania anapata nafasi ya kulitumikia taifa lake kwa kustahili kwake yeye mwenyewe na si upendeleo (uwe wa kidugu, kidini, kikabila, rangi au ushawishi).

- Na pale inapotokea kuwepo ushahidi wa upendeleo kutokana na nafasi za baba zao basi wananchi tujitokeze na kusema wazi palipopindishwa sheria, lakini sio kulalama tu bila sababu za msingi na hasa wivu, maana ni haki yao pia kushiriki taifa bila kuvunja sheria.

Ahsanteni.

William Malecela.

William J. Malecela,

Naomba kaka nikuulize maswala yafuatayo ambayo yatatoa picha ya nani anastahili kuwa kiongozi wa Taifa letu

1.Je Sisi kama taifa tuna utaratibu gani unaeleweka wa kupata viongozi wetu? siku hizi naona utaratibu wa ajabu sana mtu anajitengenezea mtandao wake na kuchukua pesa za lobbyist za kununua wajumbe wa NEC then tunamwita raisi, ndo maana we end up na watu ambao hawana uwezo wa uongozi, na watoto wao wanafuata utaratibu huo huo wa wazazi wao.

2. Je watoto wa viongozi hususani wa kiafrika hawawezi kujishughulisha na shughuli zingine au ni lazima tu wawe wana siasa? kwa nini tusiwe na utashi wa dhati wa kupeana nafasi na sio ulafi wa kutaka kujenga imaya ya ukoo kwenye uongozi,

3. Inakuwaje kama mtoto wa kiongozi flani anaandaliwa either kulinda maslahi ya wazazi wake waliotangulia au kutimiza mission ambazo mzazi wake hakuweza kuzifanya kama kuwashughulikia wabaya wake au watu wanaomwandama baada ya kuondoka madarakani

4.Je kuna mfano wowote hai kutoka nchi za kiafrika ambapo tumekuwa na viongozi wazuri ambao ni watoto wa viongozi? wenye independent mind na wenye ujasiri wa ku undo all the wrong deeds of their parents!

5.Swali la mwisho ni personal kidogo naomba univumilie, wewe ni miongoni mwa watoto wa kiongozi, Je ni maswala gani ya kisiasa na kimaamuzi ambayo ulikwisha wahi kutofautiana na mzee malecela, au ni maamuzi gani mabovu ambayo unafikiria mzee malecela alikwisha wahi kuyafanya na ungeweza kuyafanya vipi tofauti?
 
Kesho na keshokutwa mtasikia list inazidi kuongezeka.. binti wa Rostam, mtoto wa Chenge, Tambwe hizza jr., etc.
 
Tatizo hapo liko wazi mkuu, baba katengeneza future ya huyu kijana wake kwa kushirikiana na mkulu, haya hayo mambo ya kampeni za uchaguzi ni uongo mtupu, sasa kama anamelipa hivyo JANUARY , vipi mama salma na RIDHIWANI kawalipa nini?
mimi sidhani kama aliona utendaje wa kazi huko kwa wakimbizi, kuna lipi hasa huko alilofanya kama sio kubebwa?
kwa misingi hii ndio maana hata wanaopata kwa kutafuta waingia kwenye kundi la kubebwe,
lakini pia kama nilivyosema mwanzo na wewe umekili hiyo, vigogo wanatoa elimu bora kwa watoto wao nje ya nchi na walala hoi wanaota jua na madarasa hapa nyumbani wakimaliza shule wanaambia lugha zao sifuri,
na hiyo ni ajira ya ndani lakini lugha za kimataifa zinausishwa.
ndio maana nasema hapa huyo makamba january kwenda kusoma USA kilikuwa ni kisingizio tu cha kikwete kuja kumpa ubosi hapo ikulu kwa kisingizio kasoma USA,
NA HAPO NDIO WATU WANAPOKUWA NA HASIRA NA WATOTO WOTE WA VIGOGO
mimi nitaendelea kusisitia mfano mzuri JANUARY MAKAMBA sina hakina dada ilikuwa hapo VODA maana sio mchezo, ni wao tu ndio wanavichwa, hata Pinda mtoto wa mkulima ameshaanza kuingiza wa kwake kidogo kidogo na SHEIN

- Well, sijui tatizo la Januari lipo wapi maana amepitia sehemu nyingi sana za kusoma bongo na hata amefanya kazi kwenye sehemu za ajabu sana kama kwenye kambi za wakimbizi, baada ya kuhangaika sana bongo akaweza kupata nafasi ya kwenda kusoma nje, akarudi bongo na kuwa msaidiziw a Rais, na sasa ni mmoja wa viongozi makini sana bungeni, mimi nafikiri anatakwia kwua mfano wa kuigwa maana ameonyesha kwamba ni competent, hasa ishus za umeme na nishati ninamuheshimu sana huko!

- Kwenye ukweli tukubali tu, badala ya kulalamika bila facts!, Tanzania sasa hatuko tena kwenye siasa za Ujama, sasa tumekwua mabepari ambao huongozwa na ubinafsi, na ndio unaongoza duniani so naona wengi mnachanganya sana mawazo ya kijamaa jamaa na siasa tulizonazo sasa za kibepari, badilikeni wandugu, sisi sio wajamaa tena!

William @ NYC, USA.

mkuu unajua mishahara ya hao watu wanaofanya na wakimbizi? hacha kabisa kwanza hizo ni nafsi hadimu sana,
kwa kifupi Historia ya huyo bwana ni mfano tosha,
kazi kidogo mara masomo USA,
kamaliza shule anakuwa BOSI IKULU, maana sio kusema tu akapata kazi ikulu alikuwa bosi pale,
ina maana watu wote pale ikulu hakuna aliyekuwa na experience na qualification kuliko za JANUARY?
hata huko kwenye ubunge ilikuwa na mahali pa kupitia tu kushika wizara sema bahati mbaya GAMBA yakazidi (offside) kwa mzee
na MKULU wa kaya isitoshe watu walii - spot hiyo movement

- Hapana alipomaliza shule, alienda na kujiunga na foreign ministry, kule akakutana na Waziri aliyekwua kwenye kampeni ya urais akamuona anaamfaa akamchukua na amsaidie kwenye kampeni, zilipoisha ndio kawa msaidizi wa Rais, sasa kosa lek nini hapo mkuu?

William @ NYC, USA.
 
William J. Malecela,

Naomba kaka nikuulize maswala yafuatayo ambayo yatatoa picha ya nani anastahili kuwa kiongozi wa Taifa letu

1.Je Sisi kama taifa tuna utaratibu gani unaeleweka wa kupata viongozi wetu? siku hizi naona utaratibu wa ajabu sana mtu anajitengenezea mtandao wake na kuchukua pesa za lobbyist za kununua wajumbe wa NEC then tunamwita raisi, ndo maana we end up na watu ambao hawana uwezo wa uongozi, na watoto wao wanafuata utaratibu huo huo wa wazazi wao.

2. Je watoto wa viongozi hususani wa kiafrika hawawezi kujishughulisha na shughuli zingine au ni lazima tu wawe wana siasa? kwa nini tusiwe na utashi wa dhati wa kupeana nafasi na sio ulafi wa kutaka kujenga imaya ya ukoo kwenye uongozi,

3. Inakuwaje kama mtoto wa kiongozi flani anaandaliwa either kulinda maslahi ya wazazi wake waliotangulia au kutimiza mission ambazo mzazi wake hakuweza kuzifanya kama kuwashughulikia wabaya wake au watu wanaomwandama baada ya kuondoka madarakani

4.Je kuna mfano wowote hai kutoka nchi za kiafrika ambapo tumekuwa na viongozi wazuri ambao ni watoto wa viongozi? wenye independent mind na wenye ujasiri wa ku undo all the wrong deeds of their parents!

5.Swali la mwisho ni personal kidogo naomba univumilie, wewe ni miongoni mwa watoto wa kiongozi, Je ni maswala gani ya kisiasa na kimaamuzi ambayo ulikwisha wahi kutofautiana na mzee malecela, au ni maamuzi gani mabovu ambayo unafikiria mzee malecela alikwisha wahi kuyafanya na ungeweza kuyafanya vipi tofauti?

- Mkuu sawa sawa maswali yako ni msumari sana lakini hayana anything to do topic at hand, mimi sio kiongozi wa anything sasa siwezi kujua kiongozi gani amefanya nini na hakufanya nini, otherwise tunge-stick to the topic at hand kwamba watoto wa viongozi ni haki yao kikatiba ya jamhuri kushika nafasi zozote za uongozi wa taifa!

William @ NYC, USA.
 
- Mkuu ninaongelea haki zao kikatiba ya Jamhuri yetu, au wewe unasemaje kuhusu katiba na haki zao?

William @ NYC, USA.

Nadhani nimekueleza vizuri kwamba hakuna tatizo lolote hana mtoto wangu kugombea nafasi amabayo nitaacha mimi. Nimekueleza tatizo ni wapambe wenu amabo kwa sababu wao hawana uwezo na ni opportunists watawapigia debe ili mpata nafasi wakitegemea nao wataachiwa angalau sehemu ya ulaji. Wenyewe wanajiita makada na hawana kazi ya maana bali wanategemea CCM kama sehemu yao ya kipato. Nimekupa mfano mdogo, Ridhiwani kweli ana akili kuliko wanachama wote wa Yanga?
Mimi..
 
Back
Top Bottom