William Malecela kuburuzwa mahakamani

Nimekosa uvumilivu na nimeamua kumfikisha william malecela kwenye vyombo vinavyohusika, hii ni baada ya kunitolea maneno ya kashfa na matusi kwenye mtandao huu baada ya kuhoji mwenendo wake wa maisha akiwa kama mtu tunayemtumainia kutuongoza siku za usoni aliandika hivi "umenifuatilia kwenye facebook ukataka nikusaidie kazi ya ukuwadi nika ku delete sasa unakuja huku JF angalia bwana hapa mjini utavishwa shanga" maneno haya hakika yameniudhi sana nafikiri kuna avenue ya kutosha kuweza kutengeneza mazingira ya litigation....laa sivyo afute maneno hayo na aniombe radhi laa sivyo nina msue kwa defamation na malicious utterances. Uzi alio nitukana upo hapa JF Naomba kuwasilisha!
Kaka hii kesi unaifunguaje?u have used wrong I'd hapa JF sikiolakufa si jina lako anybody can be sikiolakufa ugumu unaanzia hapo same applies to le mutuz..je mods wako tayari kutoa ushahidi mahakamani kwa pm zenu mnazotumiana?je le mutuz alikufuata au ww ndo umemprovoke akatoa matamshi hayo?mind u all the conversation kutoka fb zinahitajika je ni rahisi kuzipata?I think u shud turm deaf kama jina lako lilivyo...
 
Le mutuz mutu ya watu......now naanza kuhisi watu wakiwa na stress zao wanakuja kumpumzikia uyu jamaa...ye yupo always and ata uandike ujinga lazima ajibu hahahaha
 
Nawaasa wasijisahau na kukosa hata kujiheshimu kidogo kwa kuendekeza majivuno ya mtandaoni. Watakuwa sio tu wanajitia aibu wao, bali hata familia zao ambazo wengine bado wanaziheshimu.

Nawaasa kama wao hawajiheshimu wafikirie familia zao basi.

- Ningeshangaa sana ungesema tofauti na this, duh!! wanasema shetani akiwa mzee anakuwa malaika vipi wewe unakuwa mzeee lakini chuki, wivu na fitina zinaongezeka tu kia siku, wanasema kama huwezi kuwapiga jiunge nao!! ha! ha! ha!

Wilie!!
 
Waama kama kuwaasa nduguzanguni kuacha maneno ya inda na kupatana kiungwana ndiyo chuki yenyewe, wivu wenyewe na fitina yenyewe, basi mie sioni muhali kuikubali hiyo chuki, kuukumbatia huo wivu na kuikamata hiyo fitna bila saburi hata dahari.
 
- Good for yah, ngoja niwahi futari you know!!

Wilie!!
 
Sasa ugomvi wenu binafsi yanini kutuletea jamvini? You must be kidding, acha fujo mkuu!
 
Du hii Tamthilia imeishaje vile maana sikioa la kufa haonekani tena, kwa hiyo haina mwendelezo. Episode ikiendelea najua ni trick za kutuchota lazima watakuja kwa gia lingine kuchangamsha Mods wapeleke Jokes
 
Defamation kivipi na hakuna hapa public information kuwa sikolakufa ni nani?Huko facebook unatumia jina gani?itabidi utumie hilo jina la facebook kwenye hati yako ya mashitaka,halafu ndo uprove kwamba public ya JF inakufahamu wewe sikiolakufa wa facebook,otherwise hii ni porojo tu.Yeye amekuita kuwadi kwasababu ya kule facebook,je unaweza kuprove vipi kwamba umedhalilishwa hapa JF?
 
Sikiolakufa,

Msitu wa MabwePande haujafyekwa,
Ahmed Msangi bado anatumika,
Kova bado Inspector,
Na huyu Bonge ni Mtoto wa system,
kalelewa kwenye Fukuto la Themosi,
Huogopi tu?
 
- ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! Watuwazima hawatishiani nyau wewe, ha! Ha! Ha! Wewe tangulia tu huko mhakamani! Ha! Ha! Ha! What a joker!

Le mutuz!!

Kuna Movie Inaitwa WHY DID I GET MARRIED na mule ndani kuna character anaitwa MARCUS, mienendo yake, matamshi yake na the way ulivyocheka na kuweka hicho kibwagizo " Wat a joke!" huna tofauti kabisa na yeye. Mkuu wewe ni mtu mzima sana na kioo katika jamii, Shirikisha ubongo wako pindi unapotoa matamshi yako.

Note:
Neno liliumba ulimwengu na neno hiko hilo ndilo litasambaratisha ulimwengu. Chunga sana matamshi yako mkuu na sehemu unapoyatoa.
 
Hii "MIPASHO" imeingiaje tena JF jamani!
Kwanini mnatuonesha kuwa mnatumia "MASABURI" zaidi kufikiri! haaaaaaaah!
 
Kuna Movie Inaitwa WHY DID I GET MARRIED na mule ndani kuna character anaitwa MARCUS, mienendo yake, matamshi yake na the way ulivyocheka na kuweka hicho kibwagizo " Wat a joke!" huna tofauti kabisa na yeye. Mkuu wewe ni mtu mzima sana na kioo katika jamii, Shirikisha ubongo wako pindi unapotoa matamshi yako.

Note:
Neno liliumba ulimwengu na neno hiko hilo ndilo litasambaratisha ulimwengu. Chunga sana matamshi yako mkuu na sehemu unapoyatoa.

- ha! ha! ha! ha! kioo cha jamii my foot, huku futari ina uji una vitu flani kama pili pili hivi, lakini supa sana!! you know!!

Willie!!
 
  • Thanks
Reactions: YE
Nimekosa uvumilivu na nimeamua kumfikisha william malecela kwenye vyombo vinavyohusika, hii ni baada ya kunitolea maneno ya kashfa na matusi kwenye mtandao huu baada ya kuhoji mwenendo wake wa maisha akiwa kama mtu tunayemtumainia kutuongoza siku za usoni aliandika hivi "umenifuatilia kwenye facebook ukataka nikusaidie kazi ya ukuwadi nika ku delete sasa unakuja huku JF angalia bwana hapa mjini utavishwa shanga" maneno haya hakika yameniudhi sana nafikiri kuna avenue ya kutosha kuweza kutengeneza mazingira ya litigation....laa sivyo afute maneno hayo na aniombe radhi laa sivyo nina msue kwa defamation na malicious utterances. Uzi alio nitukana upo hapa JF Naomba kuwasilisha!

Huyo W.J. Malecela nahisi anaweza kuwa ELTON JOHN wa Tanzania kama Kocha wa Yanga. Nina wasi wasi nae yaani yeye kutwa kupiga picha na mademu na pia mashoga.
 
Back
Top Bottom