William Malecela: ''Jonas Savimbi was a hero''

William,

Can you confirm kuwa unasimama na kauli yako kuwa JONASA SAVIMBI wa UNITA was a hero in your opinion?
 
LAZIMA WAARABU WA SAUDIA NA GREECE WAMECHOKONOA KAMA PWEZA NA KUMSHIKISHA UKUTA BAHARIA WETU WJ.MALECELA.Mara nyingi bwabwa nyingi akili upinda kama anaumwa mtindio wa ubongo.Pole kijan wa cygwesima
 
Mimi kwa mtazamo wangu naona inategemea na mtoa maoni mwenyewe ana mtazamo upi!

Tukumbuke tu kuwa nyakati za kina Savimbi kulikuwa na vuguvugu kubwa la kile walichobatiza 'cold war', na kumbukumbu zinaonesha kuwa hata Wamarekani wengi walimkubali sana huyu jamaa na kumpa support kwa kuwa tu alifuata mrengo wa Magharibi, unaweza kukumbuka kupitia UNITA; BATTLE IN ANGOLA, Freedom VS Communism na katika hiyo Conservative Caucus majamaa walimshambulia sana Bush Senior kwa kumtelekeza huyu jamaa!

Kwa hiyo sitegemei historia ya nchi yetu ilivyokuwa ikipingana kwa kiasi kikubwa na sera za kibeberu kumuandika huyu bwana katika sura nzuri, vilevile hata mtu anayeamini katika ubepari hawezi kumsema vibaya huyu jamaa na kinyume chake!

Kwa hiyo sioni sababu ya GT kuendelea kuibeza historia yetu unless otherwise kwa kuwa tu sera yetu ya ujamaa na kujitegemea haikuweza ku prevail na kuonesha mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi yetu lakini historia yetu iko sawa kabisa kumuonesha huyu jamaa kuwa hakuwa mkombozi bali muasi tokana na hali halisi ya siasa zetu za wakati huo!

Nina hakika kabisa hata huko Zanzibar wapo watu wanaowachukulia hawa jamaa wa 'UHAMSHO' kama wapigania haki na Uhuru wa taifa hilo, ni sawa na vikundi vya Taliban na vinginevyo. Mimi nadhani vyombo vya habari pia hutumika sana ku manipulate news na kusababisha tafsiri ikabadilika na mitazamo ikahimarika! Angalia kwa mfano main stream media za magharibi zikiamua kumpa 'mbwa' yeyote yule jina baya ili anyongwe na hawashindwi kufanya hivyo!

Mimi mtazamo wangu huyu jamaa hakuwa 'hero' alikuwa kibaraka tu wa magharibi na baada ya kumtumia wakamtupa kando!

SHAME!
GEORGE W. BUSH DISGRACES HIMSELF AND DISHONORS THE UNITED STATES OF AMERICA BY MEETING WITH DR. JONAS SAVIMBI'S ASSASSIN, JOSE EDUARDO DOS SANTOS, WHILE SAVIMBI'S BLOOD IS STILL ON THE FINGERS OF ANGOLA'S CORRUPT LENINIST TYRANT
On Monday, February 25, The Conservative Caucus hosted a news conference at which I delivered the following statement (The complete conference, including media questions is recorded on a Visions of Victory audiocassette which is available on request to anyone who returns the enclosed reply envelope asking for a complimentary copy. Recorded on the cassette are remarks by Frank Gaffney, President of the Center for Security Policy; Brad Phillips, President of the Persecution Project Foundation; and Jardo Muekalia, Dr. Savimbi's last official representative in the United States):
Dr. Jonas Savimbi was a great Angolan patriot, truly a man who served as a loving, self-sacrificing father to those of his countrymen who shared his love of freedom and who were willing to die to escape the bonds of Portuguese colonialism and Communist tyranny.
In the war against Soviet imperialism America had no more faithful and courageous ally.
CORRUPTION
Unfortunately, many Americans betrayed Savimbi's heroic friendship - - - Chevron and other oil companies and their minions in the top ranks of both major political parties degraded themselves for filthy lucre, even consenting to have their employees in Angola guarded by Fidel Castro's Cuban Communist troops.
BETRAYAL
At the State Department, Ronald Reagan's Assistant Secretary for African Affairs, Chester Crocker, consistently strove to undercut the Reagan Doctrine and to undermine Dr. Savimbi's UNITA freedom fighters.
BRIBERY
Herman Cohen who, under George Bush the elder, succeeded Crocker as Assistant Secretary for Africa, was such a despicable traitor to the cause of freedom and to America's national interests that he hired himself out as a foreign agent to the Leninist tyrants who still rule in Luanda, Angola.
THEFT
In 1992, Savimbi won a popular election, which victory was stolen from him even more blatantly than Mayor Daley stole Illinois for John F. Kennedy in 1960.
KENNEDY PAYOFF
On September 27, 1993, Bill Clinton issued an Executive Order and sent a message to Congress which asserted "I have exercised my statutory authority to declare a national emergency with respect to the actions and policies of the National Union for the Total Independence of Angola (‘UNITA')…. These actions are mandated in part by United Nations Security Council Resolution No. 864 of September 13, 1993."
COUNSELLORS FROM CHEVRON
Disgracefully, on September 24, 2001, George Bush the younger extended Clinton's outrageous Executive Order, demonstrating that, while the names of the players change, nonetheless, under both Democratic and Republican governance, considerations of commercial profit override commitments to liberty, or, indeed, to the larger national interest.
DOUBLE STANDARD
G.W. Bush's affirmation of the Crocker-Cohen-Clinton policy concerning Angola was a signal to the assassins who hold power in Luanda that, while pro-Communist terrorist Yasser Arafat enjoys the protection of the U.S. government, the anti-Communist hero Jonas Savimbi was fair game.
ACCESSORIES BEFORE THE FACT
No word of caution or indication of concern issued from either the White House or Foggy Bottom, despite repeated statements of the Jose Eduardo dos Santos government that the murder of Dr. Savimbi was its prime strategic objective, necessary to the consolidation of power by its corrupt Leninist tyranny.
AN INCONVENIENT PATRIOT
Thus, with no fear of rebuke from those who govern the New World Order of socially respectable international opinion, the Angolan Reds targeted Dr. Savimbi to be hunted down and murdered. His death is a tragic loss.
DISHONOR
His blood is on the hands of the government of the United States, as well as on the hands of the Angolan gangster government which directly gave the orders.
If President Bush meets on Tuesday with Jose Eduardo dos Santos, the President of Angola, as is now planned, within days of the murder of Dr. Savimbi, it will be a grievous, unforgettable insult to all Americans who are grateful for the sacrifices Dr. Savimbi made throughout his life and for the extraordinary assistance he provided to freedom's cause at a crucial time in America's epochal struggle with international Communism.
 
???!! A SUMMARY REVIEW OF HOW AMERICA BETRAYED ITS FRIENDS AND AIDED OUR ENEMIES IN SUB-SAHARAN AFRICA
1. During the Presidency of Gerald Ford, Henry Kissinger pressured the then anti-Communist government of South Africa (RSA) (working through the traitor, Pik Botha) to halt its imminently successful drive on the Cuban troops which were helping to install a Communist regime to succeed the Portuguese in Luanda, Angola.
2. Ronald Reagan's Assistant Secretary of State for Africa, Chester Crocker, consistently undercut the Reagan Doctrine, pushing policies designed to facilitate Communist takeovers in RSA and Namibia, as well as in Angola.
3. Mitch Daniels, then Ronald Reagan's White House Political Director, blocked efforts to sustain President Reagan's veto of sanctions on the anti-Communist RSA government.
4. Gulf, Chevron, Texaco, and Conoco learned quickly how to entangle prominent Republicans in support of their alliance with Angola's Communist tyranny. GOP cabinet Secretaries George Shultz and Carla Hills served on the Chevron board, and Condoleezza Rice, now GWB's National Security Adviser, was not only awarded a seat on the Chevron board, an oil tanker was named after her, which carried oil from Angola to the United States.
5. Taking a bipartisan approach, the Angolan Reds awarded millions of dollars in oil concessions to the family of Senator Ted Kennedy and his nephews, Joseph and Michael Kennedy, each of whom received many hundreds of thousands of dollars in salaries from an Angola-funded entity called the Citizens Energy Corporation.
6. George Bush the elder's Assistant Secretary of State for Africa Herman Cohen collaborated with the Kennedy-controlled U.S.-Angolan Chamber of Commerce to legitimate the theft of Jonas Savimbi's election victory in 1992, and to prevent the holding of a Constitutionally required run-off election. Cohen was rewarded after he left the State Department with a $500,000 annual retainer as a registered foreign agent for the Angolan Leninists.
7. Maurice Tempelsman, a diamond broker who served as an agent of influence for the Angolan Communist regime, secured the companionship of Jacqueline Kennedy Onassis, who, for a number of years served as his mistress. Tempelsman was able to use this relationship, in combination with the Angolan oil payoffs to the Kennedy family to secure a completely pro-Communist Angolan policy by the new administration of Bill Clinton, which arranged for U.N. sanctions and follow-up U.S. sanctions on the anti-Communist UNITA freedom fighters led by Jonas Savimbi.
8. As soon as he had the opportunity, President George W. Bush embraced the Kissinger-Crocker-Cohen-Kennedy-Clinton policy on Angola. As with Enron, corruption and betrayal of the innocent is bipartisan. By the way, I neglected to mention that Dick Cheney's Halliburton reportedly had a $200 million contract with the Angolan Reds. - Howard Phillips
 
In the 1980s and early 1990s, Savimbi sought out vastly expanded relations with the U.S. He received considerable guidance from the Heritage Foundation, an influential conservative research institute in Washington, D.C. that maintained strong relations with both the Reagan administration and the U.S. Congress. Michael Johns, the Heritage Foundation's leading expert on Africa and Third World Affairs issues, visited Savimbi in his clandestine southern Angolan base camps, offering the UNITA leader both tactical military and political advice.


In 1986, U.S. conservatives convinced President Ronald Reagan to meet with Savimbi at the White House. While the meeting itself was confidential, Reagan emerged from it with support and enthusiasm for Savimbi's efforts, stating that he could envision a UNITA "victory that electrifies the world," suggesting that Reagan saw the outcome of the Angolan conflict as critical to his entire Reagan Doctrine foreign policy, consisting of support for anti-communist resistance movements in Central America, Southeast Asia, and elsewhere.


Under Savimbi's leadership, UNITA proved especially effective militarily before and after independence, becoming one of the world's most effective armed resistance movements of the late 20th century. According to the U.S. State Department, UNITA came to control "vast swaths of the interior (of Angola)". Savimbi's very survival in Angola in and of itself was viewed as an incredible accomplishment, and he came to be known as "Africa's most enduring bush fighter"given assassination attempts, aided by extensive Soviet, Cuban, and East German military troops, advisors and support, that he survived.


As Savimbi gained ground despite the forces aligned against him, American conservatives pointed to his success, and that of Afghan mujahideen, both of which, with U.S. support, were successfully opposing Soviet-sponsored governments, as evidence that the U.S. was beginning to gain an upper hand in the Cold War conflict and that the Reagan Doctrine was working. Critics, on the other hand, responded that the support given Savimbi and the Afghan mujahideen was inflaming regional conflicts at great expense to these nations. Furthermore, UNITA, like the Angolan government it fought, was criticized for human rights abuses.

Source: CIA factfile on Dr Jonas Savimbi

How could someone emulate Savimbi beats me!
 
Kwa kweli nina serious doubts, si tu na uwezo wa kufikiri wa William Malecela, bali pia na uwezo wake wa kupambanua nini aandike katika social forums. Kauli alizotoa hapa juu ya Savimbi katika misingi fulani ni sawa na "treason". Mwili unanisisimka kufikiria huyu ndiye angekuwa kiongozi anayetuwakilisha Afrika Mashariki. Lakini pia, inanifanya nielewe kwamba tuna watu wengi tu wenye uwezo mdogo wa kufikiri katika duru za siasa kama William Maelecela ambao tayari ndio viongozi wetu tuliowapa dhamana la kusimamia maendeleo ya nchi yetu. No wonder nchi yetu iko so shagla baghla!
 
Kwa wasiomjua huyu ndio SAVIMBI......nakumbuka mwaka 1985 kuna mwana mieleka aliamua kujiita POWER SAVIMBI na haraka serikali ikamkataza kutumia jina hilo akaamua kujiita POWER MROMA (nee JAFAAR VURU MROMA) sas sijui MWANA WA MKUBWA kapata wapi taarifa kuwa Tanzania tulikuwa tunamuunga mkono.

486px-Jonas_Savimbi.jpg
 
Assassinate Mugabe and the west shall glorify you!

Do the same thing to 'imperialist love child' JK, they will give you a bad name and hang you before dawn!

this is the game!
 
William Malecela,

Can you confirm you will stand by your earlier statement that former UNITA rebel leader JONAS SAVIMBI wa a hero...
 
Narudia tena "Huwezi simama na mimi jukwaani" pia siwezi badilishana maneno na wewe maana hutamaliza kusikiliza ukijisifu yamekuboa khaaaa!!! Umetembea sijui nchi 30, sijatoka hata nje ya Dar na umesoma shule tofauti na zenye majina mwenzio nimeanzia st. Kayumba nimemalizia UDSM una umri wa baba yangu na nina umri wa mjukuu wako lakini unizidi kwa exposure na ufahamu.

Siwezi ingia fb yako hata siku moja huo muda sina na kwenye blog ulituletea mwenyewe hapa nasisi watu wakuthaminisha tumepitia ndo tunakuletea tathmini mara umetuona ndo mashabiki wa blog yako. Aisee nakuheshimu sana tafazali vaa nguo haraka maana wajukuu zako wengine wanaingia wasijeona hizo mvi za huko pia
Unaonekana u have a lots of time in your hands
 
Kama Savimbi alikuwa muuaji kama tunavyoamini ilikuwaje kwenye uchaguzi mkuu wa 1992 apate zaidi ya 40%? Hii inaonyesha kwamba alikuwa na kundi kubwa la wananchi wa Angola waliokuwa wakimuunga mkono.

Kimbunga, Hitler hakuingia madarakani kwa kupindua serikali, chama chake cha Nazi kilikuwa kikishinda uchaguzi na hatimaye kuchukua nchi. Hitler alijiita pia mkombozi wa Wajerumani.

Basi leo tutakubaliana na William Malecela akimweka Hitler katika kundi la wapigania ukombozi?
 
Huyu jamaa niaje, eti bandarini alikuwa analishwa na nani, c tunajuaje ka alikuwa kaolewa, anajisifu kwa hela za kifisadi hata haya hana
 
huyo ni kilaza na anaanzisha uzi kwa lengo la kuchokoza.nashauri akilianzisha jambo lisifuatiliwe.mnafuatilia hata nyuzi za wagonjwa wa akili?
 
Willy amempindua kibonde kwa kusakamwa JF. Mkuu rudi to @NY then urudi 2014 ujaribu kumtoa nduguyo kibajaj.
2015 utakuwa Le Mutuz mjengoni

pambana mwanawani
 
Last edited by a moderator:
Haya mambo yapo kwenye mtandao ni suala la kujishughulisha tu. Historia ya Angola inaonyesha kwamba Savimbi aliliwa timing tu pale Luanda kwa Wareno kuwaachia MPLA mji mkuu wakati huo UNITA wamekamata maeneo mengi katika harakati za kuikomboa nchi. Baada tu ya kuachiwa Luanda MPLA ikawakaribisha Cuba na Russia kuwasaidia kutawala. Cuba ikasheheneza majeshi yake Angola kwa kusaidiwa kilojistic na USSR.

Kwa upande mwingine, Savimbi alikuwa na usaidizi wa Waamerika/washirika wake na Makaburu wa Afrika kusini. Savimbi alikuwa anatawala maeneo mengi mno huko Angola wakati MPLA wamejikita maeneo ya Luanda.

Vita ya Angola ilikuwa ikiwakilisha block za magharibi na mashariki.

Kama Savimbi alikuwa muuaji kama tunavyoamini ilikuwaje kwenye uchaguzi mkuu wa 1992 apate zaidi ya 40%? Hii inaonyesha kwamba alikuwa na kundi kubwa la wananchi wa Angola waliokuwa wakimuunga mkono.

Kwa kuwa Tanzania tulikuwa na mrengo wa Mashariki basi ilikuwa tunapeana propaganda za kumuona Savimbi ni muuaji na alipokataa matokeao ya uchaguzi ya 1992 na kurudi msituni basi akaonekana ni mbishi. Kukazuka propaganda za kuhusisha mtu yeyote anayekataa matokeo ya uchaguzi (hata kama umekuwa si huru na haki) aitwe Savimbi! Angalieni wenyewe kwamba usipokubali matokeo ya uchaguzi unaitwa Savimbi. Huo ndio ubaya wa Savimbi!! Kataa tu matokeo basi wewe ni Savimbi!

Kimbunga,

..Savimbi na Unita walikuwa wanafuata Ujamaa lakini ule wa Kichina.

..Augustino Neto na MPLA walikuwa wanafuata Ukomunisti na USSR.

..halafu kulikuwa na FNLA ambao walikuwa wanasaidiwa na Mobutu hawa sina kumbukumbu walikuwa wanafuata mrengo gani lakini inawezekana walikuwa wameegemea nchi za magharibi.

..kuna kipindi Tanzania ilikuwa inamsaidia Savimbi kwasababu ya mahusiano yetu na Wachina.

..SAVIMBI aliharibu kila kitu pale alipoamua kushirikiana na MAKABURU wa Afrika Kusini.

..alipochukua uamuzi huo tu, basi nchi zote za Kiafrika zilizokuwa zinam-support zikamtupa mkono.

..kubwa zaidi ni kwamba uhusiano wa Savimbi na makaburu ulikuwa kikwazo cha harakati za uhuru wa maeneo mengine kama Namibia,Zimbabwe,na Afrika Kusini.

..wananchi wa Angola wameumia sana kutokana na mis-calculations alizofanya Savimbi ambazo zilisababisha Angola kuwa uwanja wa mapambano ya "vita baridi" kati ya nchi za magharibi na zile za mashariki.

NB:

..msimamo wa serikali ya Tanzania ni kwamba Jonas Savimbi alikuwa gaidi.
 
Battle of Cuito Cuanavale
Part of Angolan Civil War and South African Border War
DateDecember 1987 – March 1988[SUP][1][/SUP]
Location
17px-WMA_button2b.png
15°09′50″S 19°10′23″ECuito Cuanavale, Angola
ResultStalemate[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP]
Belligerents
Angola (FAPLA)
22px-Flag_of_Cuba.svg.png
Cuba (FAR)
22px-Flag_of_South-West_Africa_People%27s_Organisation.svg.png
SWAPO (PLAN)
22px-African_National_Congress_Flag.svg.png
ANC (MK)[SUP][4][/SUP]
22px-Flag_of_South_Africa_1928-1994.svg.png
South Africa (SADF)
22px-Flag_of_Unita.jpg
UNITA (****)
Commanders and leaders
Gen. Leopoldo "Polo" Cintras Frías Col. Deon Ferreira
Strength
11,500 combined estimate (1,500 Cuba;[SUP][5][/SUP][SUP][6][/SUP] 10,000 FAPLA)11,000–12,000 combined estimate (3,000–4,000 SADF;[SUP][7][/SUP] 8,000 UNITA[SUP][8][/SUP])
Casualties and losses
- 4,785 Cuban/Faplan killed[SUP][9][/SUP]- 31 SADF(Official)
- 3,000 UNITA[SUP][10][/SUP]

 
Kimbunga, Hitler hakuingia madarakani kwa kupindua serikali, chama chake cha Nazi kilikuwa kikishinda uchaguzi na hatimaye kuchukua nchi. Hitler alijiita pia mkombozi wa Wajerumani.

Basi leo tutakubaliana na William Malecela akimweka Hitler katika kundi la wapigania ukombozi?

Mkuu Synthesizer nimesema kuwa mtu kuitwa mkombozi inategeme umekalia upande gani. Pia nilishasema huko nyuma kwamba kuna wakombozi ambao si wanasiasa lakini wakiingia madarakani wanakuwa wanasiasa wa hovyo! Huenda Hitler yuko kwenye kundi hilo.
 
Last edited by a moderator:
IDDI AMIN ALICHUKIWA KWA KUWA DIKTETA NYERERE ALIPENDWA KWA KUWAPIGANIA WANYONGE MANDELA HATASAHAULIKA KWA KUKATAA UBAGUZI CCM INAKATALIWA SABABU YA UFISADI NA WILLIAM UNCHUKIWA KWA KUOGEA PUMBA:violin:
 
Back
Top Bottom