William Malecela: Dissaster waiting to happen

Kwakuwa Wiliamu Malecela ni mtanzania na amezaliwa Tanzania, anahaki ya kushiriki siasa za Tanzania bila kuwekewa mipaka. Acheni kujifanya ninyi ndio wenye haki kuliko watu wengine, eboo!!!

Kama ebooo!!!!! ni tusi basi MWENYEWE!!!!
 
- Well, nimesoma yote na kwa makini sana I mean kwanza naomba kusema hivi:

1. Mleta mada kwa kutumia picha hii kuna a misguided understanding, ni kwamba nilipokuwa ninaishi New York City, USA nilikuwa STAR wa kipindi maarufu sana cha Growing UP African TV Realty Show, sasa kitaalamu ukiwa muhusika wa TV show kama nilivyokuwa, unapangiwa namna ya kuvaa na the whole appearance yako na PRODUCERS wa kile kipindi cha TV, kwa hiyo ndio maana kwenye picha zangu nyingi nikiwa US utakuta nimevaa kwa ridhaa za watayarishaji wa kipindi. I mean nilitaka kusawazisha hilo kwamba sio tabia yangu kuvaa namna hiyo isipokuwa ni moja ya kazi zangu kule US za kuwa mchezaji wa TV Show ndio maana nilikuwa ninavaalishwa Chain, Fulana, na nguo za aina mbali mbali ili kukizi matakwa ya watayarishaji wa kipindi, au waajiri wangu.

- Kuhusu mengine yote niliyoyasema kwenye mahojiano na Skype/Radio World, UK ninayasimamia kwa 100% ndio msimamo wangu na ninaamini unapaswa kuwa msimamo wa Taifa langu, kwamba:

- EAC ilivunjwa na Kenya Mwaka 1977 baada ya kudumu kwa Miaka 10 tu, ilipovunjika sisi Tanzania ndio tulioumia sana hasa nyanja za Airline na Railways ambazo mpaka leo hatuja-recover, leo Tanzania tuna Ardhi inayomilikiwa na Serikali kisheria wakati Kenya hakuna sheria kama zetu, sasa tunaingiaje kwenye One Currency na Political Federation bila ya kuwa makini na kutafakari kwanza? Ninasema kwamba tuwe makini sana kabla ya kuingia huko kichwa kichwa, sasa kama kwa kuwa na msimamo huu ni kuwa a disaster in waiting so let it be! Lakini given a chance nitarudia tena na tena kwamba ndio msimamo wangu na ninaamini kwamba unatakiwa kuwa msimamo wa Taifa letu!

- Kuhusu JKT: Kama nilivyosema ninasema tena hivi Serikali yetu ni muhimu sana ikarudisha JKT kwa sababu mimi binafsi imenifundisha sana Uzalendo, mpaka kweza kuishi nje miaka yote niliyoishi bila kubadili Uraia wangu, again ninasema JKT irudishwe it was a very good thing kwa Taifa.

- Moja ya mafanikio yangu makubwa on Community Organizing ilikuwa kuwakusanya wa-Tanzania karibu 300 mjini New York na kushirikiana nao kutayarisha Sherehe kubwa ya kumpokea Naibu Katibu Mkuu wa UN, DR. Asha-Rose Migiro na pia kuwaunganisha Wa-Tanzania kama Chama kwenye Community ya New York, na pia mimi ndiye muasisi wa tawi jipya la CCM, New York City, USA: Now let me say this kama wewe msomaji unaamini kwamba anybody can have this skills za kuweza kufanya hayo niliyoyafanya, then forget about it lakini mtumzima yoyote mwenye akili timamua anyeijua New York City, anajaua kwamba it takes a lot of skills za uongozi kuyafanya hayo niliyoyafanya na infact I am proud of it!

- Otherwise, ninaomba kusema hivi this is me, siwezi kujifanya something I am not kwa sababu nitakwua a pretender au fake, EAC imekuwepo kwa miaka mingapi hebu sema ni lini uliwahi kusikia Mbunge wetu wa EAC akisema anything? iwe huko bungeni au popote pale nchini? You know that wont be the case with me, kwanza nataka wananchi wote wa Tanzania wajue kwamba kuna hilo bunge na sisi ni mwanachama wa Bunge hilo, pili sitathubutu hata siku moja kuamua maamuzi mazito bila kuongea na Bunge letu la Jamhuri for their approval, kama na wao hawaelewi na ninaona ni ishu yenye faida kwa Taifa letu hasa wananchi, nitaichukua kesi yangu kwa Wananchi, waamue wanataka nini hasa baada ya kuwaelimisha on the ishu!

- Kwa hayo machache ndugu zangu, naomba kurudi kwenye kuendelea na michakato ya kampeni yangu na mihimu tukasaidiana maana taifa ni letu wote!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!

William.
 
Mazee kumbe ulikuwa reality TV star?
 
Wiliamu,

Kuna mambo mengi sana ambayo sikubalini nawe kutokana na sababu mbalimbali hasa za kiitikadi. Hata hivyo leo nitalazimika nikubaliane nawa japo kwa shingo upade kuhusu swala la EAC. I did not like it then, and I do not like it now, and I will never like it at anytime; not there or here or anywhere.

Let us continue collaborating as good neighbors but independent entities.
 
Safi sana hiki ndicho mie nilikuwa nakitafuta, 10/10

Kuhusu jkt to hell, mie sijapita jkt lakini najihisi niko mzalendo sana,
 
Narudia kusema tena watu wa mtera ni vituko vitupu kwenye hili taifa ....eti ulikuwa Tv reality star.. star,..huwezi kujieleza /kupanga hoja broda tatizo nini
 
- Mwalimu Kichuguu, msimamo wangu siku zote ikiitikadi ni kwamba mimi ni mwanachama wa CCM tena damu sana, ninaamini tumekaa sana kwenye madaraka na wengine wetu wameanza kulewa nayo sasa ni wakati wa kufanya mapinduzi au mabadiliko ambayo yatlinufaisha taifa letu, ninakubaliana sana na mawazo mengi ya kitikadi kutoka CDM na Upinzani kwa ujumla, lakini sio yote lakini ninakubaliana na mengi yhusuyo Taifa.

- Otheriwse, mimi ninataka tuwe na Jumuiya au tuwe mwanachama katika EAC, kwa sababu umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, isipokuwa tusikubali kukokotwa na Kenya, to me our competitor katika EAC ni Kenya tu sio wengine, wao wana Viwanda vingi kuliko sisi na sisi tuna Ardhi, sasa tuitumie Ardhi yetu ku-bargain oue way for the economic balance tukizngatia introduction ya Micro-Economics na Sound Economic Policies, lakini pia tusimamie NTB I mean haiwezekani bidhaa za Kenya ziuzwe kirahisi kwetu huku zetu Kenya zinawekewa masharti ya ajabu, kwa mfano kuna kesi nyingi sana za matunda yetu yanayopelekwa huko kuoza kabla ya kufikia soko lao na hili hufanywa kwa makusudi na Wa-Kenya kwa sababu wao wanatumia sheria yao ya kutaka mtunda yasiuzwe kwao mpaka mtaalamu wao aje ayapime mpakani, na wataalamu hao huchelewa makusudi kuja kuyapima ili yaoze, sasa haya ni mambo muhimu sana kuyajali yarekebishwe kabla hatujaingia kwenye makubwa kama ya Federation na Currency!

- OTHERWISE, EAC is a good thing isipokuwa tu Taifa letu tunahitaji kwua makini sana na mwenendo wetu huko EAC na ni muhimu tukakaa chini na kutafakari tena kama toka ianzishwe tena mwaka 1999 ni nini tumafaidika nacho as opposed na wenzetu, kuna hotuba moja ya Kibaki on EAC kwa wananchi wa Kenya, alisema wananchi wa Kenya "wajitayarishe" you wonder na nini?

HESHIMA MBELE MKUU!

William.
 
Narudia kusema tena watu wa mtera ni vituko vitupu kwenye hili taifa ....eti ulikuwa Tv reality star.. star,..huwezi kujieleza /kupanga hoja broda tatizo nini

- Nilipokuwa USA, nimefanya kazi nyingi sana kwa wakati mmoja na moja ya kazi yangu kama part time ilikuwa ni STAR wa GROWING UP AFRICAN TV REALITY SHOW, NA ndio maana nilikuwa mara nyingi ninaava amavazi ya aina fulani ni kwa sababu moja ya sheria ya uajiri wa vipindi kazi kama hizo ni kupangiwa mavazi na watayarishaji wa vipindi, ninaamini nimeeeleweka, kama bado naomba useme nikusaidie zaidi!

William.
 
William kasema

EAC ilivunjwa na Kenya Mwaka 1977 baada ya kudumu kwa Miaka 10 tu

Kwa kauli kama hizi tutegemee nini zaidi ya milipuko ya kunyoosheana vidole isiyo na tija huko bungeni?

William unaweza kuandika mawazo yako kuhusu pros and cons za East African Federation?
 
Safi sana hiki ndicho mie nilikuwa nakitafuta, 10/10

Kuhusu jkt to hell, mie sijapita jkt lakini najihisi niko mzalendo sana,

- Great, isipokuwa mimi Uzalendo wangu ulikuwa enforced kwa 100% kutokana na kupitia JKT Mwaka mmoja kwa mujibu wa sheria ya taifa.

William.
 
William kasema

Kwa kauli kama hizi tutegemee nini zaidi ya milipuko ya kunyoosheana vidole isiyo na tija huko bungeni?

- Huwezi kujua Jumuiya ya sasa ilipo kama hujui ya zamani iliishia wapi na kwa nini? Na ni muhimu Wabunge wetu huko wakasemaq wazi bila kuogopa anybody kwamba kutokana na historia tunajaribu kuwa makini na waangalifu sana na mwendo wetu kwenye kuingia na mambo ya Federation na One Currency, sina haja ya kumuomba anybody msamaha kwa kujaribu kukumbuka historia ya EAC!

William.
 
- Huwezi kujua Jumuiya ya sasa ilipo kama hujui ya zamani iliishia wapi na kwa nini?

William.

Huwezi kufanya kazi ya mahusiano ya kimataifa kama huna kauli za kidiplomasia na hii kauli yako imekaa kunyoosheana vidole zaidi ya diplomasia, ndiyo maana nikauliza tutegemee nini zaidi ya milipuko huko bungeni?

Wakenya wakisikia hivyo watakuja juu na kulaumu kwamba Iddi Amin alichangia kuvunja zaidi yao na wewe unawaonea kuwaambia hivyo, mnaacha ku focus kujenga jumuiya mnashikana mashati kuhusu nani kavunja jumuiya.

Matokeo yake mnaivunja tena!

Nimekuuliza unaweza kutupa pros and cons za EA Federation hapa tujue mawazo na maoni yako? Na kama muwakilishi wa Tanzania utahakikishaje Watanzania hawapunjwi katika mambo ya jumuiya?

Una mkakati gani?
 
Huwezi kufanya kazi ya mahusiano ya kimataifa kama huna kauli za kidiplomasia na hii kauli yako imekaa kunyoosheana vidole zaidi ya diplomasia, ndiyo maana nikauliza tutegemee nini zaidi ya milipuko huko bungeni?

Wakenya wakisikia hivyo watakuja juu na kulaumu kwamba Iddi Amin alichangia kuvunja zaidi yao na wewe unawaonea kuwaambia hivyo, mnaacha ku focus kujenga jumuiya mnashikana mashati kuhusu nani kavunja jumuiya.

Nimekuuliza unaweza kutupa pros and cons za EA Federation hapa tujue mawazo na maoni yako?

- Hakuna Diplomasia kwenye Historia ndio maana tumekalia Diplomasia wenzetu wanatuzidi akili, sina mpango wa kuwa Mbunge wa namna hiyo hata siku moja, hatuwezi kujenga Jumuiya ambayo ni unbalanced kwa sababu tu tunataka tuonekane tunajua Diplomasia kwa hili mkuu sina cha kukuomba msamaha, ninasema hivi Kenya ndio waliovunja Jumuiya in the first place na sasa ndio machampion wa kuundwa kwa haraka haraka Jumuiya mpya na hasa One Currency na Federation, ninasema kwa haya mtu yoyote mwenye akili timamu ni lazima ashituke, sasa na wao kwa sababu wanajua tunao wananchi kama wewe ambao wako tayari kuuuza nchi kwa maneno ya kuheshimu Diplomasia, ndio maana wanakuja kwa kasi ya ajabu sana, ninasema hapana!

- Otherwise, nitajibu maswali ambayo yana valid arguments muhimu kwa wananchi na Taifa, ukiona sikujibu ujue halina mshiko!

William.
 
- Well, nimesoma yote na kwa makini sana I mean kwanza naomba kusema hivi:

1. Mleta mada kwa kutumia picha hii kuna a misguided understanding, ni kwamba nilipokuwa ninaishi New York City, USA nilikuwa STAR wa kipindi maarufu sana cha Growing UP African TV Realty Show, sasa kitaalamu ukiwa muhusika wa TV show kama nilivyokuwa, unapangiwa namna ya kuvaa na the whole appearance yako na PRODUCERS wa kile kipindi cha TV, kwa hiyo ndio maana kwenye picha zangu nyingi nikiwa US utakuta nimevaa kwa ridhaa za watayarishaji wa kipindi. I mean nilitaka kusawazisha hilo kwamba sio tabia yangu kuvaa namna hiyo isipokuwa ni moja ya kazi zangu kule US za kuwa mchezaji wa TV Show ndio maana nilikuwa ninavaalishwa Chain, Fulana, na nguo za aina mbali mbali ili kukizi matakwa ya watayarishaji wa kipindi, au waajiri wangu.

- Kuhusu mengine yote niliyoyasema kwenye mahojiano na Skype/Radio World, UK ninayasimamia kwa 100% ndio msimamo wangu na ninaamini unapaswa kuwa msimamo wa Taifa langu, kwamba:

- EAC ilivunjwa na Kenya Mwaka 1977 baada ya kudumu kwa Miaka 10 tu, ilipovunjika sisi Tanzania ndio tulioumia sana hasa nyanja za Airline na Railways ambazo mpaka leo hatuja-recover, leo Tanzania tuna Ardhi inayomilikiwa na Serikali kisheria wakati Kenya hakuna sheria kama zetu, sasa tunaingiaje kwenye One Currency na Political Federation bila ya kuwa makini na kutafakari kwanza? Ninasema kwamba tuwe makini sana kabla ya kuingia huko kichwa kichwa, sasa kama kwa kuwa na msimamo huu ni kuwa a disaster in waiting so let it be! Lakini given a chance nitarudia tena na tena kwamba ndio msimamo wangu na ninaamini kwamba unatakiwa kuwa msimamo wa Taifa letu!

- Kuhusu JKT: Kama nilivyosema ninasema tena hivi Serikali yetu ni muhimu sana ikarudisha JKT kwa sababu mimi binafsi imenifundisha sana Uzalendo, mpaka kweza kuishi nje miaka yote niliyoishi bila kubadili Uraia wangu, again ninasema JKT irudishwe it was a very good thing kwa Taifa.

- Moja ya mafanikio yangu makubwa on Community Organizing ilikuwa kuwakusanya wa-Tanzania karibu 300 mjini New York na kushirikiana nao kutayarisha Sherehe kubwa ya kumpokea Naibu Katibu Mkuu wa UN, DR. Asha-Rose Migiro na pia kuwaunganisha Wa-Tanzania kama Chama kwenye Community ya New York, na pia mimi ndiye muasisi wa tawi jipya la CCM, New York City, USA: Now let me say this kama wewe msomaji unaamini kwamba anybody can have this skills za kuweza kufanya hayo niliyoyafanya, then forget about it lakini mtumzima yoyote mwenye akili timamua anyeijua New York City, anajaua kwamba it takes a lot of skills za uongozi kuyafanya hayo niliyoyafanya na infact I am proud of it!

- Otherwise, ninaomba kusema hivi this is me, siwezi kujifanya something I am not kwa sababu nitakwua a pretender au fake, EAC imekuwepo kwa miaka mingapi hebu sema ni lini uliwahi kusikia Mbunge wetu wa EAC akisema anything? iwe huko bungeni au popote pale nchini? You know that wont be the case with me, kwanza nataka wananchi wote wa Tanzania wajue kwamba kuna hilo bunge na sisi ni mwanachama wa Bunge hilo, pili sitathubutu hata siku moja kuamua maamuzi mazito bila kuongea na Bunge letu la Jamhuri for their approval, kama na wao hawaelewi na ninaona ni ishu yenye faida kwa Taifa letu hasa wananchi, nitaichukua kesi yangu kwa Wananchi, waamue wanataka nini hasa baada ya kuwaelimisha on the ishu!

- Kwa hayo machache ndugu zangu, naomba kurudi kwenye kuendelea na michakato ya kampeni yangu na mihimu tukasaidiana maana taifa ni letu wote!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!

William.

Na Tumbo kubwa pia ulivaa au ulivalishwa na maproducers. Tafuta shughuli zingine za kufanya mkuu..Wacheni siasa za kuwanyonya watanzania?
 
Back
Top Bottom