William mwenyewe hajaonyesha nia ya kugombea ili tumsupport au hapana. Tungoje atakapotangaza rasmi kwamba anagombea ndiyo tuanze kutoa mawazo yetu. Nina uhakika mwenywe anaona kinachoendelea hap JF kuhusu nyepesi nyepesi hii.Nyepesi nyepesi zilizotanta mitaa ya Mvumi, Mtera, Tegeta na Upanga ni kuwa baharia Mzee sauti ya umeme aka bwana William J. Malecela anajiandaa kugombea ubunge wa afrika mashariki kupitia No 1.