William J. Malecela anagombea kuwakilisha Wazazi wa CCM Dar

Status
Not open for further replies.
Hafai kwa lolote kama ndiye aliekuwa anatoa star tv leo asubuhi utetezi wa ovyo kuhusu udhaifu wa rais.

Ananidhamu ya woga na hajiamini na haamini anachokitetea.

Si unajua zile nafasi 10 za mkuru bado hazijaisha? so bado analinda heshima ya chama/mkuru ili amkumbuke kama Mbatia na wengine
 
William J. Malecela


MY FB PEOPLE THANK SANA KWA PRAYERS, LEO NIMECHAGULIWA KUWA MJUMBE WA KUWAKILISHA WAZAZI WA KATA YANGU KIVUKONI, KWENYE MKUTANO MKUU WA MKOA NA PIA KUWA KATIBU WA ELIMU, MAZINGIRA, NA PIA KATIBU MWENEZI WA KATA YA KIVUKONI, AMBAYO INAHUSISHA HATA IKULU NA VIONGOZI WENGI WAKUU WALIOPO MADARAKANI NA WALIOSTAAFU, AMBAO WENGI WAO WALIKUWEPO LEO NA WAKANIPA KURA ZAO; MY CAMPAIGN WAS GREAT NA NAWASHUKURU WOTE HASA FB PEOPLE KWA YOUR PRAYERS; IN TWO WEEKS NITAINGIA ULINGONI TENA KUGOMBEA UPANDE WA CCM PIA: LOVE YAH SANA PEOPLE NA KIDUMU CCM!! - Le Mutuz!!

basi basi huyu nilimuona kwenye kipindi cha tuongee Asubuhi Star Tv, kama umepita basi kila mtu anauwezo wa kuwa kiongozi ndani ya CCM , kwani ujengaji hoja wako ulikuwa dhaifu hata lafudhi tuu inaonesha kwamba huyu mtu siasa si fani yake kwa kweli lakini kama kapita basi CCM imepata mtu wa namna yake si ajabu.
 
Willy usitusumbue bwana kila siku sala tu, kufanikiwa kwenyewe hufanikiwi, mungu anaangalia mtu rohoni, inaonekana huna dhamira ya dhati ya kutumikia watanzania ndio maana sala zetu zinadunda. Tulia acha kupaparikia madaraka


Pia anatumia lugha za kibaharia sana .Siku za nyuma he called Mbowe names na dhihaka kubwa now he is in there moto unamuwakia .Jamaa kweli anapenda Sifa kila hatua yake anatangaza au kuwa kwenye TV ni big deal ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom