William J. Malecela anagombea kuwakilisha Wazazi wa CCM Dar

Status
Not open for further replies.
Nilikuwa ninamuamini ila kila muda unavyokwenda ninaingiwa na wasiwasi na uwezo wake wa kuwa kiongozi. Inawezekana sana akawa mzuri sehemu nyingile ila swala la kuongoza katika siasa nina mashaka makubwa
 
Am disgusted by the system of people in the party leadership to pull their friends in leadership. I now start to think post for leadership should be announced and some kind of enterview conducted by independent organ before one appear for votes. Why all the losers and desparetes are contesting for leadership? Something is seriously very wrong
 
[h=6]William J. Malecela
[/h][h=6]MY FB PEOPLE THANK SANA KWA PRAYERS, LEO NIMECHAGULIWA KUWA MJUMBE WA KUWAKILISHA WAZAZI WA KATA YANGU KIVUKONI, KWENYE MKUTANO MKUU WA MKOA NA PIA KUWA KATIBU WA ELIMU, MAZINGIRA, NA PIA KATIBU MWENEZI WA KATA YA KIVUKONI, AMBAYO INAHUSISHA HATA IKULU NA VIONGOZI WENGI WAKUU WALIOPO MADARAKANI NA WALIOSTAAFU, AMBAO WENGI WAO WALIKUWEPO LEO NA WAKANIPA KURA ZAO; MY CAMPAIGN WAS GREAT NA NAWASHUKURU WOTE HASA FB PEOPLE KWA YOUR PRAYERS; IN TWO WEEKS NITAINGIA ULINGONI TENA KUGOMBEA UPANDE WA CCM PIA: LOVE YAH SANA PEOPLE NA KIDUMU CCM!! - Le Mutuz!![/h]
 
huyu ana tamaa sana ya madaraka..yaani amuwakilishe mzazi yupi?yaani wewe ni mzazi william?kheeee
 
Huyu William kibarua cha kubeba mabox marekani kiliota majani au alikosa nauli ya kurudia huko baada ya waswahili kumtafunia vijisenti vyake vyote wakati wa kinyang'anyiro cha ubunge wa EAC?
 
Hivi profession yake ni nini? Najua hobby zake ni music, totoz. Na kinachomfanya ajiamini kuwa ni kiongozi ni nini? Embu mnaomfahamu tupeni japo historia yake kiuongozi
 
[h=6]William J. Malecela
[/h][h=6]MY FB PEOPLE THANK SANA KWA PRAYERS, LEO NIMECHAGULIWA KUWA MJUMBE WA KUWAKILISHA WAZAZI WA KATA YANGU KIVUKONI, KWENYE MKUTANO MKUU WA MKOA NA PIA KUWA KATIBU WA ELIMU, MAZINGIRA, NA PIA KATIBU MWENEZI WA KATA YA KIVUKONI, AMBAYO INAHUSISHA HATA IKULU NA VIONGOZI WENGI WAKUU WALIOPO MADARAKANI NA WALIOSTAAFU, AMBAO WENGI WAO WALIKUWEPO LEO NA WAKANIPA KURA ZAO; MY CAMPAIGN WAS GREAT NA NAWASHUKURU WOTE HASA FB PEOPLE KWA YOUR PRAYERS; IN TWO WEEKS NITAINGIA ULINGONI TENA KUGOMBEA UPANDE WA CCM PIA: LOVE YAH SANA PEOPLE NA KIDUMU CCM!! - Le Mutuz!![/h]

Acha uroho wa madaraka, unataka kugombea tena after two weeks? Lo!
 
duuu kweli nimeamini jamaaa ni mroho wa madaraka na kugombea na kwa wazazi yumo harafu hana hata point huyu jamaa si afadhari afanye kazi zingine.
 
Huko ndio atapata kura 2 maana EAC alipata 40 tu kati ya wabunge wanaozidi 300. Jamaa mweupe sana kichwani.
 
verified.png
Banned

Join Date : 15th March 2009
Posts : 3,340
Rep Power : 0
Likes Received 1661
Likes Given 1666

Nimesearch W.J Malecela alikula Ban

ametoa likes kuliko alizopokea! Alifanya nini mpaka akala ban? Anapenda uongozi,hope atafanikiwa all the best kwake.
 
...tulishasema, mara mkazi wa segerea, sasa kashatimkia kivukoni, eti kunahusisha hata Ikulu na next week anachukua form UWT na kampeni manager wake ni sofia simba....go figure...lol

..Yaani huyu anawakilisha wazazi gani sijui ? Next Kinjeketile nae utasikia anaomba nafasi ya kusimamia nidhamu na utawala bora !!! Daaaaaaaaaaaaaaaaaaamn...
 
Hivi profession yake ni nini? Najua hobby zake ni music, totoz. Na kinachomfanya ajiamini kuwa ni kiongozi ni nini? Embu mnaomfahamu tupeni japo historia yake kiuongozi

Acheni hizo bwana...Willy ni social.He's a good guy.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom