William J. Malecela anagombea kuwakilisha Wazazi wa CCM Dar

Status
Not open for further replies.

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Wakuu heshima mbele,
Leo nimetoka kuperezi Facebook Wall ya
W. J. Malecela nimekuta amendika hivi "People need your prayer, kesho ninaingia kwenye uchaguzi ninagombea nafasi mbili za kuwakilisha mkoa na saa 1 kesho asubuhi nitakuwa Star Tv Radio kuchambua kwa kina Bunge la Bajeti!! SO NEED YOUR PRAYERS; LEO KWANZA LOUNGE LATER NI MANGO GADERN KWENYE TWANGA SUGU; USIKU MWEMA NA MBARIKIWE!! - Wille".

Kwenye Post nyingine ameandika hivi "Le Mutuz leo between my show at TV Star at 7. 00 this morning na later at 10.00 AM Uchaguzi wa Kuwakilisha Wazazi na CCM Mkoa wa Dar; THANK YOU GUYS FOR THE PRAYERS I AM SO READY AND SO HELP ME GOD!! LOVE YOU SANA GUYS!! I AM ON MY WAY!! - Le Biiig Show!! "Mwisho wa kunukuu.

Concern yangu kuu kwa William, ni kwa nini safari hii kaamua kuingia kwenye uchaguzi bila kuja hapa JF kupata ushauri kama alivyofanya kwenye uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki? Alafu ni kwa nini siku hizi kapotea hapa jamvini?

TUMBIRI (University of Hull, UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Last edited by a moderator:
mnamsononesha kufikia matamanio yake

kauli kama 'le mutuz Wille una uchu'

who knows labda FB imekuwa ground zero kuliko JF
 
​kwani kule dodoma hakuna wazazi mbona kuna wagogo wengi kule dom dar hatutaki ombaomba tunasafisha mji wetu m4c 4rever
 
kila akija hapa anashindwa uchaguzi kuna wachawi wake humu...bora asikanyage hapa mpaka baada ya uchaguzi
 
Willy usitusumbue bwana kila siku sala tu, kufanikiwa kwenyewe hufanikiwi, mungu anaangalia mtu rohoni, inaonekana huna dhamira ya dhati ya kutumikia watanzania ndio maana sala zetu zinadunda. Tulia acha kupaparikia madaraka
 
Huyu jamaa kila kukicha anagombea .. leo hiki kesho kile. Halafu record ya Le Mutuz kwenye kugombea vyeo ni mbovu mno (success rate 0%)?
 
Hafai kwa lolote kama ndiye aliekuwa anatoa star tv leo asubuhi utetezi wa ovyo kuhusu udhaifu wa rais.

Ananidhamu ya woga na hajiamini na haamini anachokitetea.
 

verified.png
Banned


Join Date : 15th March 2009
Posts : 3,340
Rep Power : 0
Likes Received 1661
Likes Given 1666


Nimesearch W.J Malecela alikula Ban
 

verified.png
Banned


Join Date : 15th March 2009
Posts : 3,340
Rep Power : 0
Likes Received 1661
Likes Given 1666


Nimesearch W.J Malecela alikula Ban

JF Rules lazima ziheshimiwe,watu hawaamini kama anaweza kula BAN! Ukienda tofauti na JF RUles lazima upate marungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom