Will you Invite Your EX To Your Wedding Ceremony?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Naomba kujua mawazo yenu juu ya hii habari...

Nataka kupata jibu lako kama heading inavyojieleza wadau....

cake.jpg
 
He is my ex, I don't think I want to see him on that special day...
 
Co mbaya, kama mnaongea waweza mwalika, naye c atakuja na m2 wake, ila kwenye mkono wa pongezi anaweza acje, me x wangu 2lipoonana alilalamika kweli nimemnyima kadi ya haruc, nikamwambia ckujua unapokaa hata no yako ya cm ckuwa nayo, naye akaniambia eti amelipiza, ameoa na hajanialika kwenye haruc, nikamwambia hata ungenialika ruhusa kwangu ingekuwa ngumu, mana kwa mwanaume kutoka ni rahc kuliko kwa mwanamke, so hamna ubaya ni ww 2 mwenyewe uende au ucende. Wengine wanaogopa macho ya wa2, mana utakuta kuna waliokuwa wanamjua huyu alikuwa na uhucano na bw/bi haruc.
 
Kama hatuna ugomvi YES! Kuna some ex huwa wanageuka kuwa marafiki so akihudhuria ni poa tu
 
Mimi nilimpa kadi lakini alinikomesha, alikuja na box kuubwa la zawadi alikuwa na furaha mno ukumbini. kwenye box la zawadi aliwekea Box la Condom na mche wa sabuni!.
 
Kumbuka kwamba wedding ni Yenu na Sio yako peke yako..

Hivyo kama haitaleta maumivu kwa partner wako (who cares..), ila kama italeta awkwardness am sure hata EX ataelewa asipoletewa kadi
 
Duh ex wangu mimi hata namba ya simu siijui.

Inategemea mliachana kwenye mazingira gani,kuna watu huwa wanawambia ma ex wao kuwa hata ukisikia nimekufa usije kwenye msiba wangu,nisije nikashindikana kuzikwa.
 
Du ulikuwa testa?? ... Teua wawakilishi walau 2 au 3 maana 18 ni wengi sana bana...

Off topic.......
Where is Zawadi??.....

Sasa 18 ni wengi na wewe?

Naona niwaalike wote ili zawadi ziongezeke.
 
Back
Top Bottom