Will Uganda and Tanzania’s rebounding economies soon overtake Kenya’s?

The greed in within us says we would rather have empty beds in a hotel rather than male lower profits, we would rather have food rot in the kitchen rather that sell it at an affordable price.

Which of the so called developed nations that we so much want to emulate has two sides in their hotels, one for the locals and one for foreigners, tunajibagua sisi wenyewe.

You find that the "foreigner" side has better service, cleaner, more courteous servers, while on the local side utadhani ulimtukama mhudumu ukasahau kumuomba msamaha, they act like they are doing you a favor, then they have the audacity to be angry when locals do not leave a tip.

[you can tell I have had a few encounters in such institutions].

I just had to laugh on the third paragraph of the 'quote'.

True the developed nations do not cater for two sides in you terms, nevertheless they do cater in terms of income, there too services vary depending on fees and services provided. And at times guest refuse to leave tips also for poor services, it is the reason they give stars to their services.

And you know with our home target 'Hotels' a majority of customers use them for infedilities and other debauchary purposes. Only a small propotion are business travelers. These poor people end up meeting a maid or a receptionist who has come to stereotype his guests as of no moral and respect. Thats just my take.
 
True the developed nations do not cater for two sides in you terms, nevertheless they do cater in terms of income, there too services vary depending on fees and services provided. And at times guest refuse to leave tips also for poor services, it is the reason they give stars to their services.

Very true, that is the essence of a business, to provide services for as many customers as is profitably possible. But in our case it is a matter of local vs foreigner instead of what was paid for.
For instance it is one thing to have a difference in price between a regular room and a presidential suite, on the other hand either of the customers who decide to take either of the room should expect and be accorded the same courtesy from the hotel staff.
Either should also not expect to go to the hotel restaurant and pay different prices for the same thing. My point is ubaguzi ni ubaguzi, in any form, we should not perpetrate any of it. And we should certainly not accept to treated any different because of the misplaced notion that, that is how it should be.
 
True that, though i must say i misunderstood u on the previous post. I thought ur were talking about different services aiming at different groups. What you brought forward is a problem and it seems a continental one.

We tend to discriminate each others but more on grounds of envy than anything else and at times our cultural differences. To others in such situations a customer logs his complaints with the customer services and the management will aim to improve or rid of the accussed if found blameworthy.

We are not there yet as most of us work on family ventures or employed through knowing people, discipline is hard to achieve. Again the argument returns back to where we started, we need to sort our interanl affairs and see ourselves as a single unit before anything starts or else those kind of things will remain a common occurance not just in Kenya or Tanzania but anywhere on earth so long as blacks are the residents.
 
Overtake what? Ni umburukenge tu kwa sababu hao Kenya ambao wanasema economy yao ni kubwa hakuna any manufactured products ambazo ni 100% Kenyan ukiacha vitu kama vyakula. Hebu mtu ambaye anabisha aweke hapa products zinazotengenezwa Kenya tuone. ( Hapa namaanisha vitu kama magari, machine, simu, TV, Radios,etc. usije kuniambia unga wa ugali, maharage, nyama au vitumbua). Afrika tumekuwa vibaraka wa mataifa makubwa hata wakisema twende cho$o%n66i tunakwenda bila kufikiria unakwenda kufanya nini.
 
1. Uchumi ni lazima utegemee masoko.

2. Mwanadamu ni lazima azalishe kile kidogo
anacho.

Utanisamehe kwa kiswahili lakini nimevutiwa na maoni yako ndipo i'm writing
this.

Here in Kenya, we have very limited resources and it is mainly production which
keep us going.

I produce and you produce and exchange the commodities through the markets.

In this way, we are multiplying the little we have.

It is not good for people to become just consumers without producing.

A neighbor who has two or three cows, sells the milk to the people around
and uses the money to buy vegetables in the market is producing.

The person who brought the vegetable in the market is also producing.

This is where the market forces comes into play and fixes the prices according
to the productions.

Too much milk in the market and the price of the milk comes down.

So in this ways, all neighbors are producing, others are buying and selling
and everybody is busy and the whole country is working.

The work of the government, and that is good government, is to make this possible.

To make good roads for farmers to take their produce to the markets easily and
cheaply.

I've given just a few examples of simple productions and markets.

Competition is healthy because it brings new inventions or news ways of doing things
easier and cheaply.

You should always learn from a person who is doing better than you and in this way get
into his or her level and it is now upon you to even surpass him or her.

So the best thing is to learn so as be better than to take the person who does better than
you as an enemy.
Lakini kipi ni kipya? Sijaona.

Maelezo uliotoa ni mazuri lakini nna mashaka bado hujaelewa ninachokiongelea na kukikusudia kwa undani kidogo. Ninaongelea kuhusu globalisation ktk market. Sio hiyo small scale ya mtu kuuza maziwa kwa jirani ake and the like.

Mie si mchumi lakini I understand kuna models nyingi za kiuchumi zinazoeza kumsaidia mwanadamu, ambazo zinaeza kuwa adopted successful into practice. I just happen to understand effects of globalisation kwa uchumi wa nchi uchumi mdogo kaa Tz na uongozi legelege wa kifisadi kaa Tz.

Nitaongelea scenario ya Tz, kwa sababu ya kuishi sana huku na kuelewa uzito wa tatizo lenyewe.
Kwa sasa bado rasilimali zinaonekana bado zipo(kama ardhi, madini na pia kuna prospect ya kuwa na mafuta etc) na watu kwa sababu hawajui magnitude ya mazingaombwe wanayoingia wanadhani wawekezaji wanakuja kuendeleza nchi, kumbe to the contrary, wawekezaji na kaa bwana anayelala na malaya, ikifika usubuhi anaendelea na maisha yake. Hizi rasilimali tunazogawa burebure in next 30, 50-100 years zitakuwa zimepungua kwa kiasi kikubwa au kuisha kabisa. Ktk hali hiyo tutakuwa hatuna kitu cha ku-exchange na hao wawekezaji tulodhani ndio masiha, na kwa hakika hali itakuwa mbaya na kutisha na tutawaachia wajukuu wetu a MEGA problem ambayo hawatakuwa na majibu.
Nyerere had a right concept, he understood the magnitude za kutupa rasilimali kwa sababu alitambua rasilimali za taifa ni kitu muhimu sana kwa maendeleo ya taifa. Alielewa kuwa mali hii ya taifa inapaswa kutumika kuwaendeleza waTz wote na sio mawakala wa mabeberu. Hiki ndio chanzo cha siasa za ujamaa na kujitegemea, kwamba njia kuu za uchumi(major means of production) zimilikiwe na umma, na nguvu ya umma itawale jinsi gani keki hii ya taifa igawanywe kuwafaidia waTz wote. Unfortunately mabeberu hawakufurahia hili maana liliwakosesha control ya uchumi wetu, nways siezi kuongelea kuhusu utekelezaji ujamaa na kujitegemea (currently siasa ya 'jamaa na kujimegea') lakini I will die the witness of this good brain JK Nyerere ujamaa na kujitegemea ideology.

Kwa upande wa Kenya nadhani mlisha-succumb kwenye hizi policy za kuruhusu mabeberu wachache wamiliki uchumi wenu tangia zamani, na kama nilivosema kuwa hii policy inacentralize uchumi na resources kwa kikundi fulani tu cha watu, say 5% na kuwaacha a chunk of people with virtually nothing. Nadhani wewe mwenyewe umesema hili kuwa Kenya resources ni kidogo, I bet hukusema vyema resources ni kidogo kwa tabaka la hao 95%. Sasa ni ajabu mnataka kuleta hayo masumbufu mnayokumbana nayo huko kwenu kwa Tz, UG , Rw na Bur.

Nakukaribisha kama unalo la kuongelea.
 
Until our way of thinking changes, the few of us shall continue to cry and complain till we die, then leave the crying and complaining to our children.

There are very few people who have this kind of understanding. I can see miles away... you MUST be a rare kind... I salute you.
 
I was going to say somen then i thought the better of it, what an ignorant of society we have in Tz. May be JK has a case its time we get rid of wazee of on our fore front of development.

Ps. Hivi mchwa wana kaaa wapi?
 
Lakini kipi ni kipya??

Uongozi wa sasa naufananisha na SUltan Mangungo wa Msovero. Huyu alisubmit mamlaka yake kwa wakoloni baada ya kuoneshwa mazingaombwe mawili matatu. Akakabidhi dola.

Najaribu kufikiria maudhui ya kadhia za madini with mgao wa 3%?? Are we real? Unaeza kusema with bold face kua tunaongozwa na watu wenye akili timamu? Ukiuliza watakwambia aaah duniani kote wanafanya hivohivo?? Inashangaza mtu anaishi anaishi leo lakini is much dumb-bell kuliko Mzee Nyerere aliyeishi muongo mmoja ulopita, aliposema kama waTz hawana nyenzo za kuchimba madini kwa faida yaacheni hayo madini yaendelee kukaa huko ardhini..hayaozi! Lakini nani alijali? Je hasara inayongia itakuwa compensated kivipi?

Lakini nini la kutegemewa? Majuzikati hapa tumeona matokeo ya kidato cha nne, roughly 80% ya watoto wetu wamefeli, lakini tunaambiwa kwenye EAC turuhusu milango la ajira! Ni kweli tuna nia njema na kizazi cha kesho? Tunasahau kuwa mipango ya leo ndio maendeleo ya kesho.
Our future is bleak.
 
Kwa upande wa Kenya nadhani mlisha-succumb kwenye hizi policy za kuruhusu mabeberu wachache wamiliki uchumi wenu tangia zamani, na kama nilivosema kuwa hii policy inacentralize uchumi na resources kwa kikundi fulani tu cha watu, say 5% na kuwaacha a chunk of people with virtually nothing. Nadhani wewe mwenyewe umesema hili kuwa Kenya resources ni kidogo, I bet hukusema vyema resources ni kidogo kwa tabaka la hao 95%. Sasa ni ajabu mnataka kuleta hayo masumbufu mnayokumbana nayo huko kwenu kwa Tz, UG , Rw na Bur.

Nakukaribisha kama unalo la kuongelea.

95% of kenyans are left with virtually nothing? uuuummmm.......never mind, i wont respond to that.

i prefer the system kenya has than what tanzania has. the last thing i care about is who owns what business in kenya. if you work hard and get successful then more power to you, if you got money and you own much of the business in kenya then i will not lose sleep over that. it is a free market and i prefer that.

you do not want uniliver to have it EA hq's in tanzania? you do not want cocacola to have its east central and southern africa hq's in tanzania, you prefer if tanzania stays without a successful airline than have a successful airline based on the ownership model of kenyan airways? you do not want EA breweries headquaters in tanzania? you do not want a company like safaricom in tanzania?

my point is who owns what business i think is trivial compared to the benefits the businesses bring to kenya.

as i said earlier i preffer the kenyan economic model than the tanzanian model
 
I don't care unadhani ni uchumi gani sijui uko vile unavokupendeza, thats was far beyond my argument. Nadhani una fikra potofu kua nabishania ipi ni bora kati Kenya na Tz.

ZOTE NI NCHI MASKINI WA KUTUPA PERIOD.

As long as kuna involvement ya big powers kutoka nje, the common mwananchi will continue to suffer for less and reach condition of deterioration into static. Sababu nimeshazieka hapo ju, kaa unalo la ziada weka chini tuchambue.
 
Thats where a salient point lies broda!.....i dont care kama ni socialism,liberal au capitalism, kama wanangu wa Kibera au Manzese pale, wana-access quality education, health services and amicably social relationships....who cares anyways?
Kilio chetu ni kuwa those figures doesnt reflects the actual livelihood of mwanachi wa kawaida!.
 
Lakini kipi ni kipya??

Uongozi wa sasa naufananisha na SUltan Mangungo wa Msovero. Huyu alisubmit mamlaka yake kwa wakoloni baada ya kuoneshwa mazingaombwe mawili matatu. Akakabidhi dola.

Najaribu kufikiria maudhui ya kadhia za madini with mgao wa 3%?? Are we real? Unaeza kusema with bold face kua tunaongozwa na watu wenye akili timamu? Ukiuliza watakwambia aaah duniani kote wanafanya hivohivo?? Inashangaza mtu anaishi anaishi leo lakini is much dumb-bell kuliko Mzee Nyerere aliyeishi muongo mmoja ulopita, aliposema kama waTz hawana nyenzo za kuchimba madini kwa faida yaacheni hayo madini yaendelee kukaa huko ardhini..hayaozi! Lakini nani alijali? Je hasara inayongia itakuwa compensated kivipi?

Lakini nini la kutegemewa? Majuzikati hapa tumeona matokeo ya kidato cha nne, roughly 80% ya watoto wetu wamefeli, lakini tunaambiwa kwenye EAC turuhusu milango la ajira! Ni kweli tuna nia njema na kizazi cha kesho? Tunasahau kuwa mipango ya leo ndio maendeleo ya kesho.
Our future is bleak.

Kweli amna jipya, zaidi ya kuondoa wazee kwenye siasa labda hilo liwe jipya kwetu.
 
Watu wengi hawataki kutazama ukweli kwamba uchumi unaotegemea masoko, ni kama DECI. Unaegemea ktk assumption kwamba ili humanity kuweza ku-prosper there should be infinity resources kwa ajili ya everyone greedy. Yaani kufikia kila mtu kuishi vizuri kutoka NYC, Dhaka, London mpaka Manzese, inabidi kuwe na excess somewhere ili huyu mtu aeze kuwa na kipato comfortable kitakachoweza kumfanya aishi vile anavyotaka. Kulazimisha kila mtu anachohodhi kiwe na excess value manake inabidi kuwepo na infinitively amounts of resources. Na kaa inavojulikana hakuna limit ya greedy.

Unfortunately we all know resources ktk dunia zipo fixed. Most of us ignore this facts. Sasa kama hatuezi ku-guarantee kuwa at the end of the day hakuna mechanism ya ku-ensure a common mwananchi anafaidika kwa sababu ya Economic Break Point ambayo ni evident, ni wazi tunakwepa maswali magumu. Whatever happens kwenye GDP ni indicators za vitabu zaidi na with time vizazi vijavyovitatucheka tulivokuwa wapumbavu by knocking ourselves down intentionally.

Uchumi na masoko ni kitu kimoja.
 
Overtake what? Ni umburukenge tu kwa sababu hao Kenya ambao wanasema economy yao ni kubwa hakuna any manufactured products ambazo ni 100% Kenyan ukiacha vitu kama vyakula. Hebu mtu ambaye anabisha aweke hapa products zinazotengenezwa Kenya tuone. ( Hapa namaanisha vitu kama magari, machine, simu, TV, Radios,etc. usije kuniambia unga wa ugali, maharage, nyama au vitumbua). Afrika tumekuwa vibaraka wa mataifa makubwa hata wakisema twende cho$o%n66i tunakwenda bila kufikiria unakwenda kufanya nini.

You do not have to manufacture cars and TV's to be a manufacturer as you say.

You are a manufacturere if you can produce carpets.

Sisi ni vibaraka tuu kama ni lazima we manufacture or do like them, the western
world.

We use their eyes to look around and end up seeing nothing and say 'we have nothing'

They come and take what we do not see.

Hata unaweza kwa kutumia miti ilioko kutengeneza madawa na hii bado
ni manufacturing.
 
Sasa ndio umeandika nini umeulizwa swali una flip flop.
 
Lakini kipi ni kipya? Sijaona.

Maelezo uliotoa ni mazuri lakini nna mashaka bado hujaelewa ninachokiongelea na kukikusudia kwa undani kidogo. Ninaongelea kuhusu globalisation ktk market. Sio hiyo small scale ya mtu kuuza maziwa kwa jirani ake and the like.

Mie si mchumi lakini I understand kuna models nyingi za kiuchumi zinazoeza kumsaidia mwanadamu, ambazo zinaeza kuwa adopted successful into practice. I just happen to understand effects of globalisation kwa uchumi wa nchi uchumi mdogo kaa Tz na uongozi legelege wa kifisadi kaa Tz.

Nitaongelea scenario ya Tz, kwa sababu ya kuishi sana huku na kuelewa uzito wa tatizo lenyewe.
Kwa sasa bado rasilimali zinaonekana bado zipo(kama ardhi, madini na pia kuna prospect ya kuwa na mafuta etc) na watu kwa sababu hawajui magnitude ya mazingaombwe wanayoingia wanadhani wawekezaji wanakuja kuendeleza nchi, kumbe to the contrary, wawekezaji na kaa bwana anayelala na malaya, ikifika usubuhi anaendelea na maisha yake. Hizi rasilimali tunazogawa burebure in next 30, 50-100 years zitakuwa zimepungua kwa kiasi kikubwa au kuisha kabisa. Ktk hali hiyo tutakuwa hatuna kitu cha ku-exchange na hao wawekezaji tulodhani ndio masiha, na kwa hakika hali itakuwa mbaya na kutisha na tutawaachia wajukuu wetu a MEGA problem ambayo hawatakuwa na majibu.
Nyerere had a right concept, he understood the magnitude za kutupa rasilimali kwa sababu alitambua rasilimali za taifa ni kitu muhimu sana kwa maendeleo ya taifa. Alielewa kuwa mali hii ya taifa inapaswa kutumika kuwaendeleza waTz wote na sio mawakala wa mabeberu. Hiki ndio chanzo cha siasa za ujamaa na kujitegemea, kwamba njia kuu za uchumi(major means of production) zimilikiwe na umma, na nguvu ya umma itawale jinsi gani keki hii ya taifa igawanywe kuwafaidia waTz wote. Unfortunately mabeberu hawakufurahia hili maana liliwakosesha control ya uchumi wetu, nways siezi kuongelea kuhusu utekelezaji ujamaa na kujitegemea (currently siasa ya 'jamaa na kujimegea') lakini I will die the witness of this good brain JK Nyerere ujamaa na kujitegemea ideology.

Kwa upande wa Kenya nadhani mlisha-succumb kwenye hizi policy za kuruhusu mabeberu wachache wamiliki uchumi wenu tangia zamani, na kama nilivosema kuwa hii policy inacentralize uchumi na resources kwa kikundi fulani tu cha watu, say 5% na kuwaacha a chunk of people with virtually nothing. Nadhani wewe mwenyewe umesema hili kuwa Kenya resources ni kidogo, I bet hukusema vyema resources ni kidogo kwa tabaka la hao 95%. Sasa ni ajabu mnataka kuleta hayo masumbufu mnayokumbana nayo huko kwenu kwa Tz, UG , Rw na Bur.

Nakukaribisha kama unalo la kuongelea.

Abdulhalim, pole sikua nimeona huu ukurasa na nina kujibu.

The best resource is the human one. You can have all the resorces like DRC or Angola
and remain just as poor as those without.

"Sasa ni ajabu mnataka kuleta hayo masumbufu mnayokumbana nayo huko kwenu kwa"
This is completely misleading. Sisi tu na raha mstarehe na sijui unalo liongelea.

What East african countries are trying to do is to create a big market for all the people of E Africa, not for Kenyans only and we are not forcing anyone for we are still doing fine.

There are many fears that we might dominate all the markets. This fear is being spread by
some selfish politicians and people who do not know what is the meaning of a ' market'

You have your own style which suits you and we have our own and is okay for us and we never
complain..

Yes we have been parsuing the concept of private ownership.

This has allowed competitons among us and we love it that way.

If i own a company, i think about it all the time, wake up very early in the morning, draw
new plans, invent new ways of doing things easier and cheaply.

If it is ours, why care wake up very early in the morning when there are other people who
can do that?

This private companies employ many people who are well paid and also generate most of all taxes which the government needs.

Most of the corruption cases are found in the government quarters and in those poor performin government parastatals.

Workers in those parastatals 'mali ya umma' are poorly paid. Mismanangement, corruption and laziness is the order of the day.

You will never find mismanangement and corruptions in private entarprises kwani hauwezi kuiba kutoka kwa kampuni yako, lakini kama ni ya umma utachota kitu kidogo as we say here.

Since the privatation of the Kenya Telecom, now the phones are working and its workers are well paid than before.

If you need help from them, you get it promptly than before when you had to wait for those abusive and lazy workers to have their tea.

The company is partly owned by the french and partly by government.

I'm writting this through their Orange broadband service.

Before this, it was a miracle if your call went through.

Here in Kenya, you get better treatment and service in private hospitals.

You have a choice to go to governments ones where you have to wait for longer for doctors
to finish talking on their phones.

You also have a choice to take your children to government schools or private ones.

We had those nyayo busses 'mali ya Umma' which went down very fast because of
mismanangement and corrupton.

So anything 'Umma' here seems to be doing very badly and that is why most of people
are supporting that it is time that we go 90% privatization in all quarter and just leave things
like some roads,some hospitals as as 'ya Umma'.

I would even advocate that there should be no free things like free education for it is bringing
down the quality of education.

For the past few years, in the primary education, the privately owned schools have been performing better than those government owned schools where you find teachers reading newspapers all the time.

A teacher has to perform in private schools and you will never see a teacher carrying a newspaper.

Atapoteza kazi mara moja.

Most of the teachers in the government schools are running away to look for jobs in those privately owned ones for they earn salaries which is almost twice as the one paid by the government.

Kwa hivyo kwetu " mali ya Umma" ni yakuibiwa tuu na kama unafanya kazi katika
serikali na wew si corrupt you are told 'kwanini usiibe na mali si yako ni ya umma?'

huwa tuna msemo hapa Kenya kama mtu hataki kufanya kazi ' hakuna chabure na ukitaka cha bure basi enda Tanzania'.

Ni na mengi kuhusu haya mambo lakini ni usiku sana kwaheri.
 
Abdulhalim, pole sikua nimeona huu ukurasa na nina kujibu.

...................................

Ni na mengi kuhusu haya mambo lakini ni usiku sana kwaheri.

NI kweli uko na mambo mingi ya kuongea, lakini sijui kaa umenipata vema. Wewe unaongea bado ndani ya box, mie niko nje kabisa ya box unaloongelea, hapo ndipo tatizo lilipo. Sio lazima ujibu post yangu, unachotakiwa kufanya ni kuongelea vile unavoona.

Ukisoma post yangu #9, ndio utajaona kwamba nipo nje ya box lako la fikra. Kaa ungekua umeelewa ile post unge-save muda sana buddy.
 
Hatutapatana kwani nia yako ni tusipatane na unaweza kua wakili au mwanasiasa
mzuri sana.

Mwanasiasa na wakili hua wanatumia njia ya back route akikwepa ukweli kama hana lakusema.

Uliongelea kuhusu ubepari hapa kenya vs Ujamaa huko Tz. Ukasema tusimletee masumbuko yetu
huko kwenu ,(i was not and cannot be bitter about it, kwani haya ni mazungumzo tuu, nahayo ni maoni yako na unahaki kutoa maoni yako) i answered you and here you talk about sijui 'in box, outer box'.

Post ya kwanza uliongea kuhusu raslimali na nilijibu mara kadha na ya mwisho nikaandika kwa number
nyekudu kwamba

Raslimali ile kubwa zaidi ni mwanadamu yeye mwenyewe, vile umejihami zaidi na uerevu ndivyo
utaweza kukumbana na ulimwengu.

Mwanadamu hana nguvu kama simba,ndovu lakini mwana damu hua anauwezo wa kuwaweka katika ukomboni hawa wanyama kwa kutumia akili yake ya kipekee.

Hana nguvu, hana mbio lakini katika kichwa chake iko raslimali yenye dhamana kuliko dhahabu
ama madini ya aina yeyote.

Usinielewe vibaya, ndugu, hii ni forum, ama bunge, abampo people converse on their free will.

Kwaheri.
 
Back
Top Bottom