mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,837
- 8,221
Du huyu mwanamke mbona ni kama bibi na mwanaume kama mjukuu ,mwanamke kakomaa kweli ni kama amekula simenti ya Wazo Hill bana,hapo mwanaume lazima atoke tu nje atafute ndogo ndogoDahhh
ndo nimesoma taarifa si za kweli ...
na Jade ame kataa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na co-worker mwenzake
Marc Anthony (J-LO Ex- husband) ambao wote wana act kwenye
television show HawthoRNe.
HAPPILY EVER AFTER: Will Smith and his wife Jada have denied reports that they were splitting up.