Will Smith Atamani Siasa

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Wakuu,habari !
Habari nyepesinyepesi nilizozipata ni kuwa Galacha mahiri na mkongwe wa filamu na muziki,Willy Smith ameeleza kuwa amedhamiria kujikita kwenye Siasa.
Kwa mujibu wa mkewe Jada Pinkett Smith,mume wake yuko katika dhamira thabiti kuhakikisha kuwa anajikita katika Siasa.
Galacha huyo wa filamu ya The Independence Day awali alisema anatafakari maisha ya kuwa mwanasiasa,amesema ni jambo la kuchekesha kuwa nyota wa filamu maisha yako yote.

Wakuu tunasemaje katika hili?
 
Back
Top Bottom