"Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu za Kufanya Miujiza ya Uponyaji kwa Imani. Kila Mtu Anazo!

daaa mm namiaka zaidi ya 25 sijawahi umwa ugonjwa wowote .yaani sana sana ni mafua na kifua kwa mbaali sababu ya kufanya zoezi hasa msimu wa baridi shauri ya kukimbia kwenye baridi.

ila cjui marelia homa na taka taka zingine huwanazisikia bombani.

nanimekuwa naota sana ndoto na mara ya mwisho nimeota Leo ndoto nilipofika tu kijiweni nikamsimulia niliyemuotea .ilihusu mambo ya lugombea nafasi za uongozi nilipo maliza tu alaniambia nashukuru sana mdogo wangu kwa bar aka zako ni kweli nagombania nafasi ya uongozi.
 
Lakini pia mkuu Pasco ni namna ipi na ninaweza kustart vipi nguvu hizi kuzifanya ziniletee maendeleo kiuchumi?by the way natambua napaswa kuanza na kuamini kwamba I can do but nashindwa kwamba naanzaje kutiisha jambo fulani litokee katika maisha yangu?kwa kukaa katika utulivu na kumwita muumba wa vyote au kwa kauli zipi na matendo yapi yatakayosababisha kupata kile nachohitaji?Please Pasco
Panga tuu malengo, unataka nini in life, be positive utapata vyote unavyotaka, nyumba nzuri, gari nzuri, mke mzuri, pesa nzuri, uishi maisha mazuri!. The elekeza hizo efforts zako kwenye jinsi ya kupata hayo mazuri, njia zitafunguka, utayapata!.

Mfano kama wewe ni muuza karanga, au kahawa, unataka kuendesha Vogue, kujenga ghorofa, na kumuoa Wema Sepetu!. Find out hao wenye magorofa, wanafanya nini kupata maghorofa hayo, hao wanaendesha Vogue, wanafanya nini kupata pesa ndefu kuendesha vogue, na huyo Wema Sepetu, anahitaji nini kumpata!. Baada ya kuyajua hayo, ukiifikiria hiyo biashara yako ya karanga, au kahawa, jee itakuwezesha kuyapata hayo, jibu ni no!, jiulize hivi kweli wewe uliumbwa kuuza karanga tuu, au kahawa, na hao wengine waliumbiwa kufanya hayo mengine?. Jibu ni no!, then you have to change!, wishi positively to change!, utabadilika, utanunua vogue, utajenga ghorofa, na mtampata mrembo umtakae!.
Pasco.
 
daaa mm namiaka zaidi ya 25 sijawahi umwa ugonjwa wowote .yaani sana sana ni mafua na kifua kwa mbaali sababu ya kufanya zoezi hasa msimu wa baridi shauri ya kukimbia kwenye baridi.

ila cjui marelia homa na taka taka zingine huwanazisikia bombani.

nanimekuwa naota sana ndoto na mara ya mwisho nimeota Leo ndoto nilipofika tu kijiweni nikamsimulia niliyemuotea .ilihusu mambo ya lugombea nafasi za uongozi nilipo maliza tu alaniambia nashukuru sana mdogo wangu kwa bar aka zako ni kweli nagombania nafasi ya uongozi.
Mkuu Lege, You have the powers!.
 
Pasco asante kwa mada nzuri, mi kuna jambo linanitatiza kuna msibs nilienda marehemu alitengana na mmewe kwa miaka 15 kabla hajafa aliwaambia watoto wake azikwe kwa babaake mzazi.
Alivyokufa mme akadai huyo ni mkewe halali na walifunga ndoa RC hawakutalikiana so mme akashinda kesi lakini cha ajabu jeneza halikuingia kaburini! Wazee wakamuomba marehemu akubali kuzikwa kwa mmewe lakini wakiliingiza kwa kaburi haliingii. Wakaamua basi akazikwe kwa babake cha ajabu jeneza lilishuka kaburini bila tatizo. Sasa je marehemu alikuwa anaona anapozikwa ndio anakataa?
Mkuu Bibi com, kinachokufa ni mwili tuu, astrabody ao roho haifi na inaona kila kitu. Huyo mama aliweka nadhiri kwa Mungu kuwa hata nikifa, usinizike!, then nadhiri ile ikawa sealed with powers za imani. Mume alipataka kutumia ubabe, ni powers za marehemu kupitia astral body zilizuia!. Kungekuwa na wazee karibu, wangefanya mambo, mzimu wake ungetulia na jeneza lingeshuka na wangeweza kuzika kinyume cha wishes za marehemu, ila cha moto angekipata!.

Mimi niliwahi kusikia hizo stories za mwili kukatalia ndani!, au jeneza kugoma kuingia kaburini, sikuwahi kushuhudia kicha cha hivyo, na wala sijui ni nguvu gani hutumika mpaka jeneza kushindwa kubebeka!.
Pasco.
 
pasco maiti inapoombewa then ikafufuka nini kinatokea?kulingana na somo lako la imani kwenye uponyaji.
Mkuu Makeda, kufa ni roho tuu kuuacha mwili, roho haifi na inakuwa hapo hapo!. Inapoombewa, ni ile roho inaurudia mwili, mnamuona kama mtu kafufuka!.
Pasco
 
Mkuu Lege, You have the powers!.

MKUU #pasco naungana na wewe kuwa ukiwa unafanya mazoezi unakuwa na machale sana mpaka kupitiliza mm kunakipindi nilikuwa nafanya mazoezi mpaka nikaanza kujiogopa nikawa napenda sana kushinda msituni nafanya zoezi nakumbuka mkorea 1 MZEE alikuwa anatufundisha taikwondo alikuwa anatusihi sana juu ya maswala ya imani ya kuamini ya juu tuendacho kukifanya na tulicho nacho kuwa ndio siraha na kinga yetu.

amini mpaka kesho mm huwa naamini zoezi ndio kinga Yang na ndio dawa yangu. ninazaidi ya miaka 25 sijatumbukiza kidonge au dawa ya aina yoyote mdomoni mwangu.sindano sijui drip nazisikia bombani.

na mwisho zamani kabla ya kuanza mazoezi tulikuw a tunapewa mda wa kutosha wakuomba nakukumbuka mazoezi yoote na vitu vyote tulivyovifanya jana .ila chakushangaza Leo hii tokea nimepunguza kufanya zoezi hata ukinambia Nikon uke tokea nimeamka asubuhi nimefanya vitu gani siwezi kukumbuka.
nakumbuka zamani ninaweza nikawa nimekaa hivi nikihisi kitu nakugeuka nyuma nakutana na kitu ambacho si chakutegemea.

nilisha wahi pita uchochoro 1 mwenge pale vinyago nilipofika katikati nikustuka na kugeuka nyuma nakukutana na jamaa ananivizia ili anikabe nilimwangalia nakuanza kucheka nae akacheka sana
 
Pasco:

Binadamu ni mukusanyiko wa Mwili, Nafsi na Roho. Nimeongezea nafsi ambayo umeicha kwenye jibu lako.

Ni kweli kabisa Roho haifi wala hailali usingizi!!!! Nategemea ulisahau kusema kuwa ROHO HUWA HAILALI USINGIZI. Hivyo basi Mtu ambaye ndie Roho, huwa anaishi ndani ya Mwili ambao hauwezi kuwa hai bila ya Roho yenye uhai. NOTICE "ROHO YENYE UHAI". Kwanini nimeweka msisitizo wa Roho yenye UHAI, ni kwasababu kuna aina Mbili za Roho. Roho yenye uhai NA Roho ya mauti. Rejea Ufunuo 20:14. Kumbe basi hata mauti nayo ni Roho!!!!! Watu wengi hawafamu hilo kuwa MAUTI NI ROHO.

Kwahiyo kilicho tokea kwa Lazaro wa Bethany ni hiki: Lazaro ambaye ni Roho alihama kutoka kwenye mwili wa Lazaro, ndio maana huwa tunasema" MWILI WA MAREHEMU FULANI" Kwasabau "FULANI" amehama kutoka katika huo mwili na kwenda sehemu nyingine.

Sasabasi, Yesu alipo muita Lazaro njoo, NOTICE " YESU ANATUMIA JINA LA LAZARO" Na hakusema wewe mwili fufuka! Kilicho tokea hapo ni kuwa, Lazaro ambaye ni Roho alirudi kwenye mwili wake na ILE ROHO YA MAUTI ikabidi iondoke. Ndio maana nilipinga madai kuwa Mpokeaji Muujiza ndie awe mwamini" mwenye imani".

Kwahiyo Ukristo unayo mafundisho mengi sana ambayo yanahusu maisha baada ya kifo. Labda hilo ni SOMO la kipekee na tungelijalidli hapa, if that wont change mwelekeo wa hii mada.

SASA NARUDI KWENYE POWER THAT IS WITHIN:
Ningependa utupe undani wa maneno yako kabla sija changia nini hasa maana ya "POWER THAT IS WITHIN' Naomba vile vile utueleze hiyo within ipo wapi na ni nini?

Nashukuru Manangwa Pasco.
Mkuu Schiendler, najaribu sana kuepuka kuchangia misimamo mikali mikali ya kidini, nisije nikashukiwa humu na wanaojifanya wafia dini!. Mwili unasehemu kuu mbili tuu, Mwili na Roho, na ulimwengu ziko mbili, ulimwengu wa mwili, na ulimwengu wa roho. Hicho kinachoitwa nafsi, utashi, etc, mi application ya roho kwenye mwili.

The powers within ni nguvu za Uungu zilizo ndani yetu ambazo zimewekwa na Mungu ile siku anatuumba!. Mungu alituumba kwa mfano wake na kutupa nguvu za uungu, alipotupulizia pumzi ya uhai!. Nguvu hizo zinatuwezesha kufanya chochote ikiwemo miujiza!. Moja ya sifa kuu za Mungu ni omnipresence, hiyo presence yake ndio part ya uungu uliondani yetu!.
Pasco
 
MKUU #pasco naungana na wewe kuwa ukiwa unafanya mazoezi unakuwa na machale sana mpaka kupitiliza mm kunakipindi nilikuwa nafanya mazoezi mpaka nikaanza kujiogopa nikawa napenda sana kushinda msituni nafanya zoezi nakumbuka mkorea 1 MZEE alikuwa anatufundisha taikwondo alikuwa anatusihi sana juu ya maswala ya imani ya kuamini ya juu tuendacho kukifanya na tulicho nacho kuwa ndio siraha na kinga yetu.

amini mpaka kesho mm huwa naamini zoezi ndio kinga Yang na ndio dawa yangu. ninazaidi ya miaka 25 sijatumbukiza kidonge au dawa ya aina yoyote mdomoni mwangu.sindano sijui drip nazisikia bombani.

na mwisho zamani kabla ya kuanza mazoezi tulikuw a tunapewa mda wa kutosha wakuomba nakukumbuka mazoezi yoote na vitu vyote tulivyovifanya jana .ila chakushangaza Leo hii tokea nimepunguza kufanya zoezi hata ukinambia Nikon uke tokea nimeamka asubuhi nimefanya vitu gani siwezi kukumbuka.
nakumbuka zamani ninaweza nikawa nimekaa hivi nikihisi kitu nakugeuka nyuma nakutana na kitu ambacho si chakutegemea.

nilisha wahi pita uchochoro 1 mwenge pale vinyago nilipofika katikati nikustuka na kugeuka nyuma nakukutana na jamaa ananivizia ili anikabe nilimwangalia nakuanza kucheka nae akacheka sana
Lege Hongera sana!. Ukiristu na Uislamu ni dini za juzi sana kulinganisha na Hindu, Budha na Eastern Sciences na Biblia na Quran inafundisha so little, hivyo wale wote ambao wanagotea hapo, wanajikuta hawajui chochote nje ya box, mfano martial arts ni very high discipline ya powers control uki master, unaweza kutembea hewani, kupaa hata kuwa invisible kama wale ma ninja!. Ukimweleza asiye jua atakuambia ni uchawi, kumbe ni mazoezi tuu!.
Usiache mazoezi!.

Hilo la memory halo neno, mimi mpake leo, ni more that ten names za watt niliosoma nap nursery na nikikutana nao, ninawakumbuka more than thiry years back!, lakini watu nimemaliza nap UDSM juzi tuu hapa siwakumbuki!.
Pasco.
 
Mkuu Schiendler, najaribu sana kuepuka kuchangia misimamo mikali mikali ya kidini, nisije nikashukiwa humu na wanaojifanya wafia dini!. Mwili unasehemu kuu mbili tuu, Mwili na Roho, na ulimwengu ziko mbili, ulimwengu wa mwili, na ulimwengu wa roho. Hicho kinachoitwa nafsi, utashi, etc, mi application ya roho kwenye mwili.

The powers within ni nguvu za Uungu zilizo ndani yetu ambazo zimewekwa na Mungu ile siku anatuumba!. Mungu alituumba kwa mfano wake na kutupa nguvu za uungu, alipotupulizia pumzi ya uhai!. Nguvu hizo zinatuwezesha kufanya chochote ikiwemo miujiza!. Moja ya sifa kuu za Mungu ni omnipresence, hiyo presence yake ndio part ya uungu uliondani yetu!.
Pasco

Manangwa Pasco:

Hapo penye rangi nyekunda pana utata. Nategemea ulimaanisha binadamu ana sehemu mbili kuu na si mwili una sehemu mbili kuu. Anyways, sioni kivipi NAFSI inakuwa zaidi kwenye udini kuliko Roho ambayo iliyo kuwepo hata kabla ya Mwili na nafsi kuumbwa.

Ngoja niielezee hii "Nafsi" kwa kifupi sana. Nasfi au Soul ni "the self", the "I" ambayo ina inhabits mwili and acts through it, inter alia, hiyo Nafsi ni central to the personhood ya binadamu. Ngoja niiache kwanza nafsi na nitarudi baadae hapo mbeleni kuieleza na labda kuifundisha pia.

Mimi nipo kinyume kidogo na mawazo yako kuhusu hiyo "power within". Mungu alipo pulizia pumzi ya uhai kama ulivyo sema hapo juu"in green words" ni kuwa. Hapo ndip Roho ya Binadamu iliingizwa ndani ya mwili ulio kuwa hauna uhai. Kama unakumbuka in my prior post nilisema kuwa Roho zipo za aina mbili. Kuna Roho ya Uhai ....na.... Roho ya Mauti. Zote hizo mbili zinaweza chukua mamlaka ya kuongoza mwili. Unapo ingiwa na Roho ya mauti, basi wataalam wanasema kuwa fulani amefariki dunia. Roho ya umauti inapo toka na ile ya Uhai kuingia kwenye mwili, basi binadamu wanasema HUO NI MUUJIZA, kwasababu mfua amefufuka.

Sasa basi, our power is limited to what was given to us in the beginning and or time of creation by our Creator. The giver of said power anaweza kuichukua kama utaabuse hiyo "power". Nilipo sema kuwa nguvu zetu zipo limited niliimanisha kuwa: Mfano Magonjwa kama Aids, Cancer et al, yanawezakuponywa kwa kutumia External Power ambayo ni ya Mungu. Meaning that either huyo mgonjwa anaweza amini na kupona through imani yake AU huyo mgonjwa anaweza kuwa haamini lakini anaye muombea akawa na imani tosha ya kumponya. Rejea Injili ya Mark 16:17. Jibu lipo hapo. Kumbe basi imani ni evidence of things not seen. Kumbe basi mgonjwa alikuwa amesha pona hata kabla ya kuomba uponyaji kutoka kwa Mungu.

Sasa swali hapa, je, unaweza kuicharge vipi hiyo power?
 
Mkuu Schiendler, kwa vile tunatofautiana kwenye basic, saa hizi ikiwa ni usiku wa mane, tutaishia kubishana mpaka asubuhi!. Hiyo self, soul, spirit, astra, roho, "I" ndio Uungu wenyewe ulio ndani yetu!.

The power is unlimited!.

I can understand that. Pumzika usiku mwema.
 
mkuu Pasco naomba msaada jinsi ya kuingia jukwaa la dini/imani
Unaomba kwa mode, Invisible, au mtumie pm, mtu aayeitwa Maxence Mello au Mike Mushi humu jf.
NB ukienda kule inakubidi uwe na moyo!, bahati mbaya mimi sijawahi kukanyaga huko!.
Pasco
 
mchungaji pasco, ha ha ha, anyway, just for laugh.. nimekuwa fun wako kwenye hizi topic zako. kimsingi unaeleza vitu ambavyo vinatokea na vinawatokea watu, but pia si rahisi kwa kila mtu kukubali kwani wana-framework za kidini vichwani mwao. but they have truth.
nakumbuka bwana yesu alisema; ukiwa na imani hata chembe ya haradali, unaweza kuuwambia mlima huu ng'ooka ukapandwe baharini.
japo, namna ya ku-harness hizi power haiko-clear sana kwetu. lakini lazima ni-admit kuwa kuna ukweli uliyoyasema yana happen katika real world.
ninao ushuhuda nitaueleza kwa kifupi: na kuna matatizo ya kuugua malaria yaliwahi kunikuta ambapo kwa miaka isiyopungua saba, yaani kila baada ya wiki 2 naugua malaria. nimemeza dawa nyingi sana, za hospitali zilichemka nikawa natumia za kienyeji, kihindi, majani ya mpapai, maombi n,k,nikawa nikipimwa inakutwa, wakanishauri nikachunguze sijui malaria kwenye mifupa, brucellosis, uti,typhid, circlecell, nikaenda kwenye culture media(kuotesha vingine vidudu kama vitaota japo)lakini vika-prove nothing but malaria iko palepale. it was damn real. mpaka nilipo-change namna ya kufikiri , siku hizi sina shida tena. japo sikuchange tu kirahisi bali ilitokana na kukata tamaa, nikawa sijali wala sina hofu na ninavyojiskia kuhusu kuumwa. lakini ndo ikawa pona yangu. kwani mentally sikuwa nahofu tena na maisha 100%.

nilikuwa napenda kukuuliza swali je wewe ni muumini wa wale wanaofanya meditation?
pili je powers ulizonazo uliwahi kujaribu kumwombea mtu akapona?
 
Mkuu mimi ni Muslim na sina elimu ya Bible!
Wacha niwe neutral na nijaribu kukuambia kitu hapo.
...
Hivi vitabu vya dini haviko complete! I mean havijacover mambo yote na vipengele vyote! Hivyo basi, kama unataka upate elimu tofauti tofauti, usiegemee saana kwenye hivyo vitabu! Coz hivo vitabu vyenyewe vinashauri watu kutafuta elimu ktk vyanzo tofauti!
...
Angalia maelezo haya:
Islam inaichukuli bible kama kitabu kisichokamilishwa na kinachakachuliwa! (sorry kwa hili) Yesu aliondoka/ondoshwa/alikufa kabla ya kukamilisha ujumbe, bible iliandikwa na watu tofauti baada ya kundoka Yesu!
Thus why akaletwa Muhamad!
...
Kwa upande wa pili just jiulize kwanini kuna makundi mengi ya kidini wakati wote wanatumia kitabu hiko hiko? Kwa mfano: kuna Lutheran, catholic, Protestarant, na wengineo! Also kuna Sunni, Shia, Ibadh na wengineo!
The logic is that, kama vitabu vingecover angle zote kusingekua na hayo matabaka!
...
Also ukumbuke hivi vitabu viliandikwa zamani na kila leo kunaibuka issue mpya!
...
NB:
SIJAANDIKA KWA LENGO LA KUKASHIFU DINI YOYOTE! Its only matter of logic!
splendid. thank you mkuu.
 
Kweli Mengi mesema lakini hamna yakini yeyote namnalosema Mara roho Mara nafsi Mara Nguvu
Binaadam Hana mwisho katika kufikiri Hilo ndiyo tatizo kubwa linalo mkabili kiumbe anayeitwa binaadam kuona yani macho
Ya sema katika kufikiri yahusu rangi,vitu,Wanyama ,visa mbingu,milima, nakazalika vyote kwa vyote binaadam Amejaza makabati ya vitabu mbali mbali miaka nenda miaka rudi bado kusikia yani Sauti kubwa,ndogo,za Wanyama mabomu mawe,radi,Mvua,
Na Sauti hizi zote pia unajaza vitabu makabati kwa makabati lakini mwisho ni Dunia yenyewe pia ni tatizo kubwa kwa viumbe vyote hapa duniani maana mchana na usiku tayari ni tatizo kwa binaadam mpaka Leo hii hakuna binaadam aliyeweza kuubadlisha utaratibu huu hapo mtihani unakuwa mgumuu kuliko kawaida watu wanaanza kugawanyika kila lugha inaanza mungu wangu, au Yesu Wangu ,au mama yangu hofu ,woga, ushujaa visa miujiza au uzushi vyote vina patikana Baada ya kukosa miliki halali wa hii Dunia sasa wana jamii Somo hili ni kubwa sana hakuna aliye kufa akarudi kupata taarifa sahihi na za ukweli kuhusu mambo yote
Binaadam anayowaza kuhusu Baada ya kifo kukosa huku habari au ukweli ndiyo mateso Mengi yanamkuta binaadam kuliko kiumbe mwingine yeyote hapa duniani Maada hii unaweza ukaiweka unvyo fikiria lakini bado utapata matatizo namna yakuelezea
Nje ya ujinga au kutoweza kwako kuukubali ujinga huo yani bado elimu Yetu sisi binaadam ni ndogo sana hata mbuu hakuna uwezo wakumzidii bado utakataa maana wewe utalinganisha na magari , au ndege au traini sio uwezo huo ni namna mbuu ana ruka nakukudhamulia bila ya bunduki Wala diesel au petrol na mnakufa kwa maelfu kisa malaria msambazaji mbuu
Leo na I pad na am computer tele lakini hamjui mwenye Dunia hii nani kila binaadam aneleza kivyake
Asanteni Nita sema nanyi baadaye
 
Unaomba kwa mode, Invisible, au mtumie pm, mtu aayeitwa Maxence Mello au Mike Mushi humu jf.
NB ukienda kule inakubidi uwe na moyo!, bahati mbaya mimi sijawahi kukanyaga huko!.
Pasco
Pasco. Do you practice what you preach?​

Uponyaji wa kimwili na kiroho ni jambo la muhimu katika maisha ya mkristo imeandikwa Mathayo 4:23 "naye alikuwa akizunnguka katika galilaya yote akifundisha akatika masinagogi yao, na kuihubiri habari njema ya ufalme na kuponya ugonjwa na udhaifu wa kila namna katika watu."

Uponyaji wa magonjwa sio tu jambo la hali ya juu ambalo Mungu anweza kupeana tu. Imeandikwa Mathayo 9:2 "Natazama wakamletea mtu mwenye kupooza amelala kitandani; naye Yesu alipoiona imani yao alimwambia yule mwenye kupooza jipe mwonyo mkuu mwanangu umesamehewa dhambi zako."

Uponyaji wa mwili unafanyika kwa sababu Mungu anataka kutuponya kiroho. Imeandikwa Mathayo 9:6 "Lakini mpate kujua ya kwamba mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi (amwambia yule mwenye kupooza ) ondoka jitwike kitanda chako uende nyumbani kwako."

Uponyaji wa kiroho ulitolewa na Yesu alipokufa msalabani na kuilipa deni ya dhambi zetu. Imeandikwa Isaiah 53:4-5 "Hakika ameyachukua masikitiko yetu, amezitwika huzuni zetu lakini tulimdhania ya kuwa amepingwa, amepigwa na Mungu na kuteswa Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu alichubuliwa kwa maovu yetu adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake na kwa kupigwa kwake sisi tumepona."

Miujiza yauponyaji iliipa ushuja kanisa la mwanzo hapomwanzo wa imani ya Yesu. Imeandikwa Matendo ya mitume 5:16 " Nayo makutano ya miji iliyoko kandokando ya Yerusalemu wakakutanika wakileta wagonjwa nao walioudhiwa na pepo wachafu nao waote wakaponywa."

Iwapo miujiza ni kipawa cha Mungu lazima tuwe waangalifu kwani shetani anaweza kufanya miujiza pia Imeandikwa Ufunuo 16:14 " hizo ndizo roho za mashetani zifanyazo ishara zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu mwenyezi."

Miujiza haiondoi imani ya mtu Imeandikwa Yohana 20:29-31 "Yesu akamwambia wewe kwa kuwa umeniona umesadiki, wa heri wale wasioona wakasadiki. Basi kuna ishara nyingi alizozifanya Yesu zisizoandikwa katika kitabu hiki. Lakini hizi zimeandikwa ilimpate kuamini ya kwamba Yesu ndiye Kristo mwana wa Mungu na kwa kuamini mwe na uzima kwa jina lake."

Kufuata maagizo ya Mungu huleta uponyaji. Imeandikwa Kutoka 15:26 "Akawaambia kwamba utaisikiza kwa bidii sauti ya Bwana, Mungu wako na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake na kuzishika amri zake mimi sitatia juu yako maradhi yo yote niliyowatia wamisiri kwa kuwa mimi ndimi Bwana nikuponyaye."

Mungu aweza kuyaponya magonywa mabaya yanao weza kuleta kifo upesi Imeandikwa Zaburi 107:20 "Hulituma neno lake, huwaponya huwatoa katika maangamizo yao."

Maombi ya imani hufaywa kwa kutakaswa na mafuta huleta uponyaji. Imeandikwa Yakobo 5:14-15 "Mtu wa kwanu amekuwa hawezi? na awaite wazee wa kanisa nao wamwombee na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Nakule kuomba kwa imani kutamwokoa mgojwa yule na Bwana atamwinua hata ikiwa amefanya dhambi atasamehewa."
 
Back
Top Bottom