Elections 2010 Will JK accept the negative election results??

Labda nikuulize mdau, Kwa nini watu wengi humu JF wanaonekana kuwa upinzani na hasa CHADEMA?

Mkuu sababu zaweza kuwa nyingi na zina vary from person to person. Njia nzuri ya kujibu swali lako ingekua kuconduct survey ya wanaJF na kuwauliza hilo swali but I doubt wengi wao wata kupa jibu la ukweli. Mimi kama mimi naweza kuguess tu sababu ni zipi na naona ni hizi hapa
a)Kuna wale ambo ni kweli wana uchungu na taifa na wana amini Chadema ndiyo chama mbadala
b)Kuna wale ambao ni die hard fans wa Chadema ambao wao hawa angalii maslahi ya taifa bali chama chao kuwa madarakani
c)Kuna wae wafuata upepo tu.
d)Wengi wapo nje. Kwa hiyo the only way they can feel they can make any difference ni kupitia mitandao. Wengi wao ni watu ambao wata kuambia wapo nje kwa sababu ya mfumo mbovu nyumbani.

Pia jiulize. Katika members wote wa JF wangapi ni registered voters ambao wata weza kupiga kura mwezi ujao? Mimi napenda mabadiliko but I don't take serious opinions za wanaJF linapo kuja swala la uchaguzi kwa sababu najua wengi wao hawata piga kura anyway. Sija wahi kuona sehemu yoyote duniani ambapo opinion poll ya uchaguzi ina husisha watu ambao si wapiga kura na wengine labda si hata Watanzania tena kwa uraia. Uki taka kusoma upepo wa uchaguzi soma known voters.
 
If he will not accept defit - a swear DAMU ITAMWAGIKA

If you remember some of his words in campaigns, he claimed that "ushindi ni lazima" and "nitawaachia nchi katika hali ambayo mtanikumbuka". If he failed to make majority of tanzanians accept him for the past five years he was in that post, what do you people think this time he will do to make us remember him, the answer is obviously clear "WAR".
Am strongly support my argument by the following reasons, 1. During his campaigns in northen zone JK told wananchi that "msiwasikilize hao wapinzani ni wachochezi, watawaacha mnauana wao wataenda kuishi ulaya"
For God sake who real has treasures abroad, the one who going there every day and nights who even proven to have bank accounts with millions of US dollars there, or the one who is moving arround the villages, surbubs, towns, municipals, cities and even the islands telling people on how to erradicate poverty?
Thy who gotteth da weapons could be the first to start combat.
 
It is not the matter of willingly. Jk whether he likes or not, should respect the bullot results. Tz we don't want going back singing Kibaki's chorus.
 
Good question. Je na upinzani nao uta kuwa tayari kukubali matokeo? For it to be a democracy it should be a two way thing. I hope who ever loses will accept defeat. Maana kwa wengine uchaguzi si huru na wa haki mpaka washinde wao.

Well said, kura zingekua zinapigwa JF, then chadema akishindwa lazima watu wajiulize...tusubiri uchaguzi, tusianze kulalama kabla ya matokeo. Kwa mtazamo wangu binafsi na kampeni zinavyokwenda: let's stop kidding ourselves, chadema has no chance this time...I repeat, NO CHANCE!!
 
Mkuu sababu zaweza kuwa nyingi na zina vary from person to person. Njia nzuri ya kujibu swali lako ingekua kuconduct survey ya wanaJF na kuwauliza hilo swali but I doubt wengi wao wata kupa jibu la ukweli. Mimi kama mimi naweza kuguess tu sababu ni zipi na naona ni hizi hapa
a)Kuna wale ambo ni kweli wana uchungu na taifa na wana amini Chadema ndiyo chama mbadala
b)Kuna wale ambao ni die hard fans wa Chadema ambao wao hawa angalii maslahi ya taifa bali chama chao kuwa madarakani
c)Kuna wae wafuata upepo tu.
d)Wengi wapo nje. Kwa hiyo the only way they can feel they can make any difference ni kupitia mitandao. Wengi wao ni watu ambao wata kuambia wapo nje kwa sababu ya mfumo mbovu nyumbani.

Pia jiulize. Katika members wote wa JF wangapi ni registered voters ambao wata weza kupiga kura mwezi ujao? Mimi napenda mabadiliko but I don't take serious opinions za wanaJF linapo kuja swala la uchaguzi kwa sababu najua wengi wao hawata piga kura anyway. Sija wahi kuona sehemu yoyote duniani ambapo opinion poll ya uchaguzi ina husisha watu ambao si wapiga kura na wengine labda si hata Watanzania tena kwa uraia. Uki taka kusoma upepo wa uchaguzi soma known voters.
Mkuu maneno yako sawa kabisa lakini unachokosea ni kwamba Wote hawa wanaoandika hapa wanajua kinachoendelea Tanzania karibu kila siku. Labda wewe huna habari zinazoendelea Bongo lakini mkuu wangu JK ni sababu kubwa sana ya Dr.Slaa kuelekea IKULU.

Haya sii maneno ya ushabiki wala kutungwa kwani wapo wagombea kiti cha Urais zaidi ya Dr.Slaa na iweje wote wamzungumzie Dr badala ya wagombea wengine? kwani Dr.Slaa ndiye mwenye uchungu zaidi yao au Chadema ndio chama pekee?. Ushindani wa Dr. Slaa kwa JK unatosha kabisa kumfahamisha mtu yeyote mbora nani kati yao, na hata wewe hapo ulipo unajua fika kwamba JK kachemsha, ila unachotumia hapa ni hizo hizo sababu tatu ulizozitaja.
 
Hilo wengi wanajua ndio maana kwenye kampeni za chadema wanasema chagua mtu na sio chama. Japo baadhi wanaelewa kuwa mtu na chama vinakwenda pamoja.
 
Hilo wengi wanajua ndio maana kwenye kampeni za chadema wanasema chagua mtu na sio chama. Japo baadhi wanaelewa kuwa mtu na chama vinakwenda pamoja.
Mkuu lakini sii lazima kama unaelewa kwamba kila mgombea huwa na vision yake ambayo sii lazima iwe ya chama au inakubalika na wanachama wote. Sema bado sana siasa zetu hazijaweza kutofautisha chama na mgombea na ndio maana hatuna upinzani mkubwa ndani ya vyama inapofikia nafasi ya Urais.

Mimi nina hakika kama JK angekuwa amefanya vizuri miaka mitano iliyopita hasa ile ahadi kubwa ya kuwashughulikia Mafisadi ingekuwa hakuna ushindani mwaka huu na nadhani utakubaliana na mimi kwamba wapo viongozi wengi ndani ya CCM wanaopingana na JK kuhusiana na uongozi wake wa kukumbatia Mafisadi.

Kwa hiyo, maadam Dr.Slaa ndiye pekee alokuja na kuwaahidi wananchi kuondoa chuki yao nadhani hapo ndipo alipata wafuasi zaidi hata hapa JF na pengine kuwepo kwake hapa JF kumemsaidia sana kuelewa kero za wananchi ambazo sasa hivi anazitumia ktk kampeni zake tofauti na JK ambaye anaahidi maji, umeme, meli, barabara hali mjii mkuu tu wa Dar ameshindwa kuimarisha miradi hiyo. Sasa kama Dar ameshindwa ataweza vipi kufikisha maendleeo vijijini, Watanzania sii wajinga tena!
 
Mkuu maneno yako sawa kabisa lakini unachokosea ni kwamba Wote hawa wanaoandika hapa wanajua kinachoendelea Tanzania karibu kila siku. Labda wewe huna habari zinazoendelea Bongo lakini mkuu wangu JK ni sababu kubwa sana ya Dr.Slaa kuelekea IKULU.

Haya sii maneno ya ushabiki wala kutungwa kwani wapo wagombea kiti cha Urais zaidi ya Dr.Slaa na iweje wote wamzungumzie Dr badala ya wagombea wengine? kwani Dr.Slaa ndiye mwenye uchungu zaidi yao au Chadema ndio chama pekee?. Ushindani wa Dr. Slaa kwa JK unatosha kabisa kumfahamisha mtu yeyote mbora nani kati yao, na hata wewe hapo ulipo unajua fika kwamba JK kachemsha, ila unachotumia hapa ni hizo hizo sababu tatu ulizozitaja.

Mkuu much respect kwako kama kawaida. Mkuu sikatai JK kachemsha tena sana. Na sikatai Dr. Slaa is a damn good candidate no doubt. But mkuu Dr. Slaa kuzungumziwa siyo issue kwani hata JK ali pata publicity sana 2005. Unless kama kwa mtu uraisi ni popularity contest hauta angalia tu in terms of nani ana tajwa tajwa sana bali utaingia kiundani zaidi.

Mimi kwenye conversations za uchaguzi huwa sijiangalii mimi kama mimi bali nini wapiga kura wapo likely kufanya. Ndiyo maana naweka matakwa yangu binafsi pembeni. Swala hapa la kujiuliza ni je kwa nini Dr. Slaa ni popular? Simple answer ni kwamba JK kachemsha na Slaa ndiyo anaye onekana the best choice. Lakini je ni watu wote huzani hivyo? Nguvu nyingi za Slaa zina tokana na watu kama humu JF wenye uelewa wa mambo na platform ya kutoa mawazo yao. Ndiyo maana Slaa ana weza kuwa na nguvu kwa sababu watu wanaomsupport wana platform ya kuongelea. Cha kujiuliza ni kwamba je hao wenyewe uelewa huo ni wangapi?

Kila siku nainsist watu waangalie wapiga kura. Mkuu sidhani kama utabisha nikisema majority ya watu wa humu ndani ya JF ni Watanzania lakini si wapiga kura. Raisi ana tokana na wapiga kura. Meaning kwamba kama mimi ninge kua nagombea uraisi na nataka ushindi ninge tazama wapiga kura and everybody else can say what they want. Wapiga kura wengi hawapo mjini na hawapo kwenye sehemu ambazo zina source of information na platform ya kybadilishana mawazo. Humu ndani tuta debate all day lakini most of us will be a non-factor in determining the next president. Tatizo humu ndani watu wana fikiri mawazo yao ni mawazo ya wapiga kura wengi which may or may not be true. JF haiwezi kuwa sample group hata siku moja for obvious reasons.

Najua wengi mtasema oh lazima uwe na faith au oh ni watu kama nyie ndiyo maana hamna mabadiliko. People can say what they may but ukweli ni kwamba they have to be realistic. Watu wanafanya polls ambazo ziko very unscientific na wana kuja na kuhype up mambo the media back home included. Ninacho ogopa ni kwamba as good as Slaa is umaarufu wake unaweza kuwa the result of being over hyped. The best way to win is to be realistic and concentrate on the group which matters the most which is wapiga kura na siyo yoyote mwingine.

Uzuri mkuu Oktoba ina karibia. I have said a lot and it's on record JF. I could be wrong but mwezi ujao hukumu ita toka. Kama Slaa ata shindwa ita kuwa makosa ya mashabiki wake ambao hawa kuwa realistic kujaribu kuona ukweli. Mkuu as always I respect you. Uchaguzi si mbali. Whatever the results are bado nita kuepo baada ya uchaguzi na tuta evaluate post zetu.
 
Well said, kura zingekua zinapigwa JF, then chadema akishindwa lazima watu wajiulize...tusubiri uchaguzi, tusianze kulalama kabla ya matokeo. Kwa mtazamo wangu binafsi na kampeni zinavyokwenda: let's stop kidding ourselves, chadema has no chance this time...I repeat, NO CHANCE!!

Mkuu Watanzania wengi au niwe specific wanaJF wengi ndivyo walivyo. Hawaoni kwamba kukataa ukweli ulio wazi ndiyo unao mpunguzia Slaa chance ya kushinda. Mtu yoyote ambae yupo kwenye ushindani haangalii tu yale mazuri bali ana angalia weak points zipo wapi. Sasa watu wakiona mazuri tu wata kuja kushangazwa. Anyway as for me personally naona uchaguzi huu uta kuwa win-win situation kwa Watanzania. Slaa akishinda the best candidate has won. Slaa akishindwa tuta jifunza kwamba kuna strategies za uchaguzi na jinsi ya kushinda na kuongea tu hakumsaidiii mgombea yoyote.
 
Mwanafalsafa1,
Mkuu bado sijakuelewa vizuri kwani nachoweza kusema mimi ni kwamba mtazamo wa hapa JF mara nyingi hutokana na hali iliyopo nyumbani nikiwa na maana kwamba kama Hapa JFhuyo JK kaonekana ni msanii basi lugha hiyo inatumika na sehemu kubwa ya Watanzania hata kuweza kuathiri kura za wapigaji. Kumbuka tu kwamba nguvu ya siasa hutokana na habari

Mwenye kushika kipaza sauti (mic) ndiye mshindi kama vile unavyoona Marekani wakitupiga na marungu ya Terrorists dunia nzima tunaamini kwamba makao yao makuu ni Afghanstan hali hao watangazaji hawatawahi hata kukanyaga huko..Siasa ndizo zilitufanya sote tuamini kwamba Saadam hakuwa kiongozi bora na akaondolewa katika madaraka hali uchaguzi nchi kwake ulionyesha mshindi wa asilimia 90 miaka miwili tu kabla. Lakini sisi tusopiga kura ndio tumemwondoa madarakani kwa kutokuwa na imani naye na wapo wengi tu kina Mugabe ambao ni majeruhi wa vyombo kama hivi...Waswahili wanasema lisemwalo lipo kama halipo basi laja!

Naweza kusema kwamba mchango wa JF ktk jamii yetu ni mkubwa sana hata kama kijiwe hiki hakisomwi na watu wengi lakini habari zake zinasambaa haraka sana kuliko unavyofikiria..Kweli JK kajikoroga mwenyewe wakati kazi alotakiwa kuifanya ilikuwa ndogo sana (kwa mtazamo wangu) ila ushikaji ndio umemponza na kuna kila sababu ya JK kushindwa uchaguzi huu. Nina imani kubwa sana JK anashindwa uchaguzi huu na mara nyingi huwa sikosei ktk maswala kama haya. Mwisho wa siku JK atashindwa na Dr.Slaa ktk uchaguzi huu lakini sidhani kama system iko tayari kumpokea Dr.Slaa badala ya JK.

Hivyo sii swala la JK kutokubali kuachia ngazi ila nadhani kubwa zaidi ni system nzima ya CCM inapokea vipi ushindani wa Dr.Slaa ambaye ameahidi mengi makubwa dhidi ya chama tawala. Sasa tahadhali kubwa ni kwamba CCM kwa chaguzi zote zilizopita wameshinda na vyama vya Upinzani walikubali kushindwa na tumekuwa salama miaka yote...Lakini, Je kama CCM ikishindwa nao watakubali kushindwa?

Hilo ndio somo kubwa hapa na CCM wanapowatisha wananchi kwamba wakichagua Upinzani usalama wa nchi hii utakuwa hatarini unadhihirisha wazi kwamba CCM hawatakubali kushindwa hivyo wao watahakikisha hakuna Usalama tena.. Hivyo hofu yangu na pengine wanaJF ni kwamba JK atakubali kushindwa? siii lazima Dr.Slaa ashinde isipokuwa ni usemi unauliza kama kweli JK na CCM watakubali kuachia ngazi pindi matokeo yakiwa kinyume cha matarajio yao.
 
The Issue of accepting/rejecting JK's negative results should not viewed from his perspectives only. Remember there are so many people who benefit by JK being the President and these are the most dangerous people. There some who even know they will be ministers of which ministry, therefore telling them JK has lost is a big war.
That is also why you see people use most of their time to convince the majority of Tanzanians to vote for JK because they benefit from that.

Therefore if you want to assess the chance of either accepting or not, you should go to the lower level and identify that group which benefit from him. A good example is Dr. Bilal, I am sure now he is wishing the positive results because he is sure he will benefit. Otherwise before getting that opportunity he would definitely support the negative results.
 
If he will not accept defit - a swear DAMU ITAMWAGIKA
Wanachama ccm mjini Iringa ambao walikubaliana kukutana na mwenyekiti wao mgombea Urais Jakaya kikwete wameamu kuondoka kwenye eneo walilokuwa wakimsubiria katika chuo cha ufundi veta baada ya jk kuchelewa kuwasili eneo hilo ,amebakiwana watu wa chache ,vyanzo huru vimedai kukutana na wanachama hao ni mkakati maalumu wakuhakikisha monica mbega anashi kwa njia yoyote .hata mtunza hazina wa ccm makala amewasili mjini leo hapo ndiyo ujue nini kitafanyika kama kwaida yao ccm kuwanunu wapiga kura halafu wawatumikishe kwa miaka mitano kama watumwa .
 
If he will not accept defit - a swear DAMU ITAMWAGIKA
Wanachama ccm mjini Iringa ambao walikubaliana kukutana na mwenyekiti wao mgombea Urais Jakaya kikwete wameamu kuondoka kwenye eneo walilokuwa wakimsubiria katika chuo cha ufundi veta baada ya jk kuchelewa kuwasili eneo hilo ,amebakiwa na watu wa chache ,vyanzo huru vimedai kukutana na wanachama hao ni mkakati maalumu wakuhakikisha monica mbega anashinda kwa njia yoyote .hata mtunza hazina wa ccm makala amewasili mjini leo hapo ndiyo ujue nini kitafanyika kama kawaida yao ccm kuwanunu wapiga kura halafu wawatumikishe kwa miaka mitano kama watumwa .
 
No! hang on a minute! His allies especially mafisadi will find it hard to swallow, they will cry to death! kilio cha kusaga meno! they will flee to the west! BUT him(JK) will be alright :peep:
 
Though it is always hard to accept a defeat, I ask him to agree on the negative results so that he can earn highest respect around the world as that of Ghana.
 
Back
Top Bottom