Hakuna anaye kubania iko hivyo hivyo kulekule angalia hapaXXXXXXXXXXXXX naomba kumjua huyo mtu ni nani jama mbona manatubania?
XXXXXXXXXXXXX naomba kumjua huyo mtu ni nani jama mbona manatubania?
- Siamini anything that was said by Hosea, nothing serious kwa mtu aliyekua anaongea free akiamini kwamba anayoyasema ni siri, infact yanaonekana ni maneno ya ujanja ujanja wa kikundi flani na sio yake mwenyewe, kwa kifupi kwa maoni yangu ilikuwa danganya toto tu ya kujaribu kuwazuga hao wazungu, nothing serious hapo!
- Hawa Mafisadi they are very good at ujanja ujanja people, tunahitaji kuamka usingizini, look what they did to Dowans, hivi umeshasikia kwamba Tanesco ilienda huko kwenye kesi bila kuiarifu serikali the owner wa Tanesco, I mean wananchi tusipoamka na hawa watu we are finished hili taifa!
William.
Mkuu nadhani huwa sometimes tuna-overestimate uwezo na utendaji wa some of these top govt officials. Have been in the same bandwagon before. Lakini kwa nilichokiona in the last 5 yrs, very likely Hoseah was speaking his own mind! His own very mind.
- Really? Which is?
William.
"He told us point blank ... that cases against the prime minister or the president were off the table ..." The cable then details allegations against former leaders and their inner circles, saying they would be "untouchable".
"He noted that President Kikwete does not appear comfortable letting the law handle corruption cases which might implicate top-level officials." The cable then says Kwitke "does not want to set a precedent" by going after any of his predecessors.
Bottom line alisema yaliyosemwa kwenye wikileaks but sivyo ambavyo afisa wa ubalozi amesema mh!!!! Something is missing somewhere!
Nilishasema kuhusu tatizo hili la hawa wakuu wetu kukubali walichosema kwao ni mwiko!!!!!!!! Tumeshaona hata pale kwenye ushahidi wa wazi na sometimes video lakini bado mtu anakana kabisa alichokisema. In short he's saying he's taken out of context...........siasa kama kawa!