Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

Status
Not open for further replies.
Mi nadhani taarifa yao hiyo iko sahihi, kwa ukerewe huo ndo ukweli wenyewe. Mbunge wao yule wa muda mrefu nadhan alichangia kudumaa kwa maendeleo! Alikuwa busy sana na mambo ya kimataifa akasahau jimbo lake.
ukerewe ipi unayoijua ambayo imeelezwa hapa?
acha kushabikia ujinga na uongo utakuja kuolewa.ukrerewe hakuna umeme?ukrerwe wanaoa wajane? acha ujinga ukerewe ipi?mimi mkerewe hakuna ujinga huu bwana
 
Shukurani kwa kuonyesha details zinazoonyesha maendeleo yanakuja gradually.

Vipi kuhusu "kusafishwa", wanaacha au bado?

Kwanza tendo lenyewe ni la kipuuzi hivi, halafu pili hakuna siri siku hizi. Mtu kama kafa na ngoma ni ngoma tu haiitaji wikileaks. Halafu hapohapo atokee "bingwa" wa "kusafisha"? Noooo! nimetoa mfano kwenye post yangu moja! watu wanaacha, nitumie neno gradually au tuseme mila hiyo inakufa natural death. Teh teh teh...
 
Shukurani kwa kuonyesha details zinazoonyesha maendeleo yanakuja gradually.

Vipi kuhusu "kusafishwa", wanaacha au bado?

Mpui Lyazumbi said:
Kwanza tendo lenyewe ni la kipuuzi hivi, halafu pili hakuna siri siku hizi. Mtu kama kafa na ngoma ni ngoma tu haiitaji wikileaks. Halafu hapohapo atokee "bingwa" wa "kusafisha"? Noooo! nimetoa mfano kwenye post yangu moja! watu wanaacha, nitumie neno gradually au tuseme mila hiyo inakufa natural death. Teh teh teh...
Wachagga nao pia wana culture almost similar.Tofauti ni kwamba kwa wachagga mke anarithiwa na kaka mtu ikiwa mumewe amefariki..Ni culture ambayo ni rahisi sana ku spread ukimwi.Nadhani utamaduni huu sasa unaelekea kupuuziwa na wachagga.Ni kweli tamaduni zetu nyingine ni very uncivilized.Hivyo sishangazwi na haya.Cha muhimu ni kuachana na tamaduni hizi.
 
Well said mkuu, nimesema mapema ni makabila mengi yenye mila mbovu kama hizo. Nyingi zinapotea zenyewe. Nadhani ukweli ni bayana. Dunia inakwenda kasi. Haitusubiri. Sasa nalazimika kusoma habari za hawa jamaa kwa umakini mkubwa sana, kuna wakati unaweza kuchuma dhambi hivi hivi.
 
Lazima uelewe kwamba the most sensitive information huwa haziwekwi kwenye cables, kwani State Department wanajua cables hizi zinaweza kuvuja na baada ya miaka kadhaa zinakuwa declassified.

The most sensitive news is conveyed in person or on secure phone line. Ndiyo maana mara zote wiretaps zinakuwa more revealing kuliko cable.

Huwezi kuwalaumu WikiLeaks kwa sababu ma diplomat wa Kimarekani wamekuwa waangalifu na hawajaandika explosive bombshell. Unatakiwa kusaidia effort kwa kuendeleza pale WikiLeaks walipoishia. Sio kila kitu tusubiri kuletewa tu. Tutaletewa hata kinyesi, ashakum. Ndiyo maana nikasema corroboration muhimu.

To me, naona umehit around the bush halafu umekuja kuconclude kilekile nilichokisema. Ninachosema Wikileaks hakuna any "credible evidence" ya kuweza kumshitaki mtu zaidi ya "hearsay" za diplomatic circles. Mambo ya "he said this,... he said that".

Ni bora tu rely kwa akina Msemakweli wetu hapa, wanaokuja na evidence zenye mashiko!
 
Hamna beating around the bush hapo, labda reading comprehension yako haiwezi kufuata my train of thought which is not necessarily a simpleton's cup of tea.

Hizo unazoziita "hearsay" zinaweza kukupeleka kwenye credible evidence.

Mathalan, kuna habari kwamba JK ananunuliwa nguo na Waarabu Savile Row, hili linaweza kuchukuliwa kama chanzo cha uchunguzi ambao hata kama hautaweza kumshitaki JK ( all kinds of immunity complications for now) unaweza kufanya watu watake accountability zaidi, rais atakiwe kuwa na daftari la zawadi zote anazopokea na gharama zake na zimetoka kwa nani, ili watu tujue, kesho akimpa muarabu deal out of nowhere, na jamaa tumeona kamnunulia suti na kutoa dola milioni moja kwa CCM, tuweze kuuliza maswali hapa kimetokea kitu gani.

Ni kweli kwamba ni bora ku rely kwenye evidence zenye mshiko, lakini ni bora zaidi kama tutapata evidence zaidi kutoka sehemu mbalimbali zinazotuonyesha kitu hicho hicho.

Point moja haichori msitari, wala mbili hazichori duara.

Ian Fleming alisema once could be happenstance, twice could be coincidence, thrice is definitely design.

Tunahitaji habari zoote tunazoweza kuzipata, na si pungufu.

Moreover, si kweli kwamba US Embassy cables (WikiLeak is not the source by the way, just the leaking media) sio credible evidence. Huwezi kujua kama ni credible au incredible mpaka ufanye uchunguzi. Which is exactly the point of this discussion. Tunajadili watu wanaongezea hili na lile, wana connect the dot etc.

Mtu aliansisha thread kumsifu JK anavyopiga pamba kali, sasa tumeona habari kwamba hizo pamba nyingine ni suti za bei mbaya alizohongwa JK. while this in itself is not what you would consider evidence to bestow guilt beyond a shadow of doubt, it is certainly ground for further investigation as there is a connection between the poshness of the president and the accusations that he is being bribed with Savile Row suits
 
Nilikuwa mpenzi wa novel za kijasusi.Na kwa jinsi JK anavyofanya,kama wakitaka kumkill they will do bila shida yeyote.Huwa wanawekewa sumu kwenye vitu wanavyovipenda.Kama umeshasoma ile novel ya "Windmills of the gods" utaelewa what i am talking about.

Kwa kupenda suti za bure JK anaweza kupandikiziwa ki microscopic microphone watu wakawa wanamsikiliza kutoka mikutano ya cabinet mpaka anavyolala na mama Salma kitandani.

Anahatarisha usalama wa taifa huyu.
 
Nadhani ni sababu muhimu. Hawa jamaa si kila siku wanakamatwa Bagamoyo ama Kibaha wakiwa njiani kwenda SA kupitia Msumbiji!!

Naona Rais yupo na wageni wanne na Mtanzania mmoja, au na hao wengine ni Watanzania?
 
HAWA WOTE WAKO KWENYE DEAL KUTENGENEZA PESA HUKO SOMALIA
kifo cha wengi..............
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom