Wikileaks: Dr. Salim akubali kuwa kulikuwa na ubaguzi uchaguzi wa 2005

Mungu wangu huyu Assange na leaks zake mbona anatuvua nguo. Hii website si ilifungiwa imekuwaje tena? Maneno hayo ni mazito nimeyasoma na naogopa. Kumbe unaweza ukawa unapewa kahawa wewe unaongea unadhani ni kubadilishana mawazo tu kumbe wenzako wana cable!!! Mzee Salim akanushe sasa. Kusema kweli siku ya mkutano mkuu wa CCM wakati ule wa kuwapigia kura wale watu watatu nilimsikia Salim akionge mwenyewe tena akiwa mnyonge sana; baadhi ya maneno ninayoyakumbuka ni, "Naombeni msinipime kwa RANGI yangu nipimeni kwa kazi niliyoifanyia Tanzania....". Kwenye rangi nimeweka msisitizo tu kwa herufi kubwa ila aliyasema maneno hayo ama kama haya na neno mnipime kwa rangi yangu nalikumbuka vizuri!! Duh
 
Mungu wangu huyu Assange na leaks zake mbona anatuvua nguo. Hii website si ilifungiwa imekuwaje tena? Maneno hayo ni mazito nimeyasoma na naogopa. Kumbe unaweza ukawa unapewa kahawa wewe unaongea unadhani ni kubadilishana mawazo tu kumbe wenzako wana cable!!! Mzee Salim akanushe sasa. Kusema kweli siku ya mkutano mkuu wa CCM wakati ule wa kuwapigia kura wale watu watatu nilimsikia Salim akionge mwenyewe tena akiwa mnyonge sana; baadhi ya maneno ninayoyakumbuka ni, &quot;<i>Naombeni msinipime kwa RANGI yangu nipimeni kwa kazi niliyoifanyia Tanzania....&quot;. </i>Kwenye rangi nimeweka msisitizo tu kwa herufi kubwa ila aliyasema maneno hayo ama kama haya na neno <i>mnipime kwa rangi yangu</i> nalikumbuka vizuri!! Duh
<br />
<br />
maneno haya ndio viashiria vya chokochoko za mahanga kama libya nakupata siku tu mkuu utasikia..
 
Mkuu unaweza kutumia Google Translator.......; Google Translate mimi hii kitu imenitumia sekunde nimecopy na ku-paste na kutoka na hii kitu ingawa sio accurate lakini unapata maana...

Lakini hii ndio best option sababu hakuna mtu ambae atatumia takriban masaa kuweza kutafsiri hii kitu...

Duh mkuu umenisaidia japokuwa kama unajua kidhungu ndio habari inatiririka vizuri, hii tafasiri mara mbele kuwe nyuma na nyuma kuwe mbeli. Lakini si haba
 
Wazenj wengi ni vilaza kwelikweli, but personally i believed in the ability of Salim ahmed salim, plenty of experience gathered in diplomatics arena internationalwise left him with a profound and experience to drive this finest vehicle we call Tanzania instead of getting our country into the hands of an amateur kwerean guy fond of chkks and not serious in his business..now it its bitterly eating us.
 
ohh kanunuliwa siti mara ohh sijui niini

mbona hapa hajavaa hiyo suti mnayompakazia?

GO9G6293.JPG



 
Mzalendo subiri kwanza salva ajibu mapigo ya Waitara halafu aje ya Umeme halafu aje kwenye hii si anajifanya ana pumzi ya paka kujibu maswala ya upuuzi wao wa ikulu

Salva kisha ambiwa na wakubwa zake kuwa wameishatumbukia kwenye shimo la choo sasa bora afunge bakuli lake ama sivyo watazama moja kwa moja!!
 
Julian Asange ni kiboko sasa tumuone tena Salva akija na press release nyingine. Ushauri wakae kimya tu kwani suti ni cha mtoto yako mengi yanakuja watakoma kuringa mwaka huu
 
hatuna viongozi nchi hii, kila kiongozi ni adui wa mwingine, majukwaani wanaongea na kucheka pamoja, lakini mioyo yao imejaa unafiki na chuki zinazotokana na tamaa za kujilimbikizia mali, kwa hali hii tutaendelea kuwaona wenzetu wakiendelea na sisi kubaki masikini unaosababishwa na woga miongoni mwetu na nchi za magharibi kuendelea kutuangalia na kutuchonganisha.
 
#teamlowassa huwa mnasoma hizi alama za nyakati?

'Mkapa simply said that Malacela was "too old" and "not electable."

lowassa is just to old
 
Back
Top Bottom