Wiki ya usalama barabarani vs Mgomo wa waandishi wa habari

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nimedokezwa apa kuwa wiki ya usalama barabarani inaanza next week!
Na waandishi wa habari wanasema wako kwenye majonzi ya kumlilia Mwangosi kwa siku 40 thus hakutakuwa na taarifa zozote zinazohusu polisi kuandikwa.
My take
Kwanza its the right timing
Am sure TBCCm wao wataendelea as if wao sio waandishi wa habari
Hofu yangu ni Arusha na Ruvuma kama walishindwa kuandamana watashindwaje kundelea kuandika habari za kipolisi kama ilivyo tamkwa na Nevil jana!
Polisi kwenu ili liwe fundisho kila mtz ana haki ya kuishi na kazi yenu ni kulinda sio kuua raia,imagine kama hawa raia wasipokuwepo mtalinda nini?
Keep in mind kuwa raia ni kama mteja kwenu treat him or her decently kama mtu ambaye amekuja kwenye duka lako kwa ajili ya mahitaji mbali mbali
 
Lumaga uko dunia ipi yaani TBC huijui?
Unless kama ulikuwa una maana ingine
 
hiki ni kituo cha televisheni hapa nchini kinamilikiwa na watanzania walipa kodi la cha kushangaza kinafanya kazi kwa karibu na chama cha mapuuzi

haujakosea kabisa kusema chama cha mapuuzi, umeifanya siku yangu kuwa njema, hili lichama siku litaondoka madarakani ninaendelea kuwaza chakufanya ili furaha yangu itimie tumechoka vyakutosha. Kwa wale waliomsikiliza kamanda wa anga juzi kasema msiangalie taarifa ya habari tbccm, wala msipeleke matangazo yoyote acheni wapaki na umagamba wao kitu kinafanyika hivi wanakuja kutangaza vingine ili kuwakosha mabwana zao.
 
Kwahiyo barabarani kusipokuwa na usalama polisi ndio wamekomolewa?

Kususia kuhamasisha usalama barabarani kunamdhuru polisi?
 
Nimedokezwa apa kuwa wiki ya usalama barabarani inaanza next week!
Na waandishi wa habari wanasema wako kwenye majonzi ya kumlilia Mwangosi kwa siku 40 thus hakutakuwa na taarifa zozote zinazohusu polisi kuandikwa.
My take
Kwanza its the right timing
Am sure TBCCm wao wataendelea as if wao sio waandishi wa habari
Hofu yangu ni Arusha na Ruvuma kama walishindwa kuandamana watashindwaje kundelea kuandika habari za kipolisi kama ilivyo tamkwa na Nevil jana!
Polisi kwenu ili liwe fundisho kila mtz ana haki ya kuishi na kazi yenu ni kulinda sio kuua raia,imagine kama hawa raia wasipokuwepo mtalinda nini?
Keep in mind kuwa raia ni kama mteja kwenu treat him or her decently kama mtu ambaye amekuja kwenye duka lako kwa ajili ya mahitaji mbali mbali

Kwa Arusha mkuu jana walisema wamepisha mkutano wa mazingira umalizike na watapanga siku ya maandamano. Kwa upande wa maombolezo hata wao wapo katika maombolezo hivyo kama ni baridi ni kwa wote ambao ni wazalendo. Ila nina wasiwasi wale wahariri ambao wapo kwa ajili ya SSM wataandika, we subiri tuone kweli kama wao wataacha!! Kwa magazeti ya Chama na yale ya serikali wataandika tu maana wanalipwa kwa ajili hiyo including TBC1 and TBC Taifa. Ila si unajua tena wenye vyombo vya habari some are fisadis ambao ndiyo washirika wa SSM na hawataweza kutoandika, labda editors wagome maana hao ndiyo maguji kuamua ni kipi kitoke na kipi kiachwe!!!
 
Back
Top Bottom