Elections 2010 Wiki ya mwisho Makamba aahidi OIC na Kadhi

makamba na wapuuzi wengine wanawatumia waislamu vibaya, wanawafanya kama watoto, wakililia Gari unmnunulia pipi analamba anasahau, anasinzia.......
Hizi dharau zenu kwa waislamu ndizo zilizomletea laana mgombea wenu wa uraisi,amekuwa akibwabwaja mambo ambayo yamemuondoshea hadhi iliyodhaniwa kuwa ni hadhi aliyoipata bungeni.Yeye na Mrema ni sawa.
Kupanda kwenye jukwaa na mke wa mtu,bei ya mfuko wa saruji na vitisho ni mifano hai ya mambo yaliyombwaga chini.
Kuhusu waislamu,kwa adhabu atakayopewa Slaa mwaka huu,baada ya uchaguzi hapana shaka watanzania watawajua waislamu ni nani, kwa vile ambavyo maamuzi yao katika kura yatakuwa yamebadili muelekeo wa waliokuwa wakiwadharau.
 
crap o malt
 
kama Waislamu wanataka OIC na Mahakama ya Kadhi ni haki yao!! Kama Wakiristo nao wanataka Mahakama ya Kikristo au kujiunga OCC (Organization of Cristians Coutries) basi nao wanahaki ya kudai hivyo na si haki kuwalaumu Waislamu kudai haki yao hiyo ambayo wanaona ina faida kwao na kwa taifa!!

Sasa kama chadema na Wakiristo wanaona kuwa Waislamu wa Tanzania hawana haki kudai hayo basi musishangae CCM na Waislamu kutetea hilo!!!
 
kama waislamu wanataka oic na mahakama ya kadhi ni haki yao!! Kama wakiristo nao wanataka mahakama ya kikristo au kujiunga occ (organization of cristians coutries) basi nao wanahaki ya kudai hivyo na si haki kuwalaumu waislamu kudai haki yao hiyo ambayo wanaona ina faida kwao na kwa taifa!!

sasa kama chadema na wakiristo wanaona kuwa waislamu wa tanzania hawana haki kudai hayo basi musishangae ccm na waislamu kutetea hilo!!!

kwa hiyo unataka kusema kuwa ccm ni chama cha waislam?
 
What did you know? kwamba Dr. Buriani anagombea Arusha au vipi? Na kwa nini ulilink OIC na Dr. Buriani?

Biti, Dini isituondolee busara ya maoni.
Usijaribu kuleta logic zinazozidi kipimo wakati tunawajadili wanasiasa wetu. Tunawafahamu walivyo? Kweli wanajenga logic unazoleta!

Mbele ya kusaka kura wanasiasa hawaonyeshi mipaka. Huko US, Don't ask, don't tell ilitoka wapi? Lakini iliongeza kura kwa Clinton!

Je, Kwa CCM siyo vizuri kwamba OIC na kadhi iongeze hata kura 10,000 kwa Batilda?
 
kwa hiyo unataka kusema kuwa ccm ni chama cha waislam?
CCM mara nyingi waislamu walikiona ni chama cha wakristo.Mwaka huu wale wadini wa kikristo waliokuwa wakikichafua wamekihama kumfuata Slaa.Waislamu ambao wana historia nacho wameona ni afadhali wabaki huku wakitafakari hali ya baadae.

Hawezi kuwachezea waislam walio makini. Tumeishi kama wa Tanzania tokea enzi hizo za mwl. Sasa kuwatumia waislam kama rungu la mwehu ni kuwatukana tusi kuliko kutoa methali kali!

Kama wa Tanzania na siyo wa Kristu au Waislam, wenye dini na kina Kingunge, twendeni tukapige, na kulinda kura zetu.
 
CCM mara nyingi waislamu walikiona ni chama cha wakristo.Mwaka huu wale wadini wa kikristo waliokuwa wakikichafua wamekihama kumfuata Slaa.Waislamu ambao wana historia nacho wameona ni afadhali wabaki huku wakitafakari hali ya baadae.

Asante sana kwa admission hii mkuu.... je nafasi ya wakristo ndani ya ccm ni ipi?
 
CCM mara nyingi waislamu walikiona ni chama cha wakristo.Mwaka huu wale wadini wa kikristo waliokuwa wakikichafua wamekihama kumfuata Slaa.Waislamu ambao wana historia nacho wameona ni afadhali wabaki huku wakitafakari hali ya baadae.

What!! hali ya baadae ya kutuzidishia ufukara na CCM!. Sikiliza mkuu, haya mambo ya ajabu ajabu ya kuanza kumake stories upon religious beliefs haiwezi saidia MTANZANIA ambaye ni muislam na mkristo-wewe unajua wazi kuwa Watanzania wamekuwa betrayed na CCM unless kama upo ktk kundi la mafisadi na huo ndio ukweli bila kufuata upuuzi wa ushabiki wa Simba na yanga, na unajua wazi kuwa Watanzania wapo ktk harakati za kutaka kukomboka sasa unapokuja na haya mambo ya udini mimi binafsi wala sioni kama yatasaidia! Hebu ngoja nikuulize swali -Unaweza kunipa mfano mmoja wa nchi ya Africa ambayo imejiunga na OIC na imefanikiwa na huo umoja especially economically ambapo CCM wanafikiria kuwa tutafaidika!!????
 
Nna wasiwasi kuwa watarudi hawa baada ya Oct 31, kwani wanachofanya Chadema is another politiko game ya ku-way out cuf tuuu
 
kama Waislamu wanataka OIC na Mahakama ya Kadhi ni haki yao!! Kama Wakiristo nao wanataka Mahakama ya Kikristo au kujiunga OCC (Organization of Cristians Coutries) basi nao wanahaki ya kudai hivyo na si haki kuwalaumu Waislamu kudai haki yao hiyo ambayo wanaona ina faida kwao na kwa taifa!!

Sasa kama chadema na Wakiristo wanaona kuwa Waislamu wa Tanzania hawana haki kudai hayo basi musishangae CCM na Waislamu kutetea hilo!!!
ndio maana sikonge anachanganyikiwa juu yako-anajua akikuweka ndani, kaweka busara nyumbani
 
hamuwezi kuweka mbali dini na siasa kwasababu ktk uislamu dini na siasa hazitangamani ila kwa wakiristo!!
maana biblia inasema ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu!!

sasa kila ikizungumziwa dina na siasa muna kuja juu lakini maaskofu, mapadre na wachungaji wanapotoa tamko la kisiasa huwa muna wasapoti!!!!
sasa mimi nashindwa kuelewa hii double standard sijui inatoka wapi? Na faida yake kwa taifa ni nini??
 
What!! hali ya baadae ya kutuzidishia ufukara na CCM!. Sikiliza mkuu, haya mambo ya ajabu ajabu ya kuanza kumake stories upon religious beliefs haiwezi saidia MTANZANIA ambaye ni muislam na mkristo-wewe unajua wazi kuwa Watanzania wamekuwa betrayed na CCM unless kama upo ktk kundi la mafisadi na huo ndio ukweli bila kufuata upuuzi wa ushabiki wa Simba na yanga, na unajua wazi kuwa Watanzania wapo ktk harakati za kutaka kukomboka sasa unapokuja na haya mambo ya udini mimi binafsi wala sioni kama yatasaidia! Hebu ngoja nikuulize swali -Unaweza kunipa mfano mmoja wa nchi ya Africa ambayo imejiunga na OIC na imefanikiwa na huo umoja especially economically ambapo CCM wanafikiria kuwa tutafaidika!!????

NDIO, NCHI HIZI ZINA WAKIRISTO WENGI NA NI MEMBERS WA OIC NA WAKO MBELE KIUCHUMI KULIKO SISI!!
UGANDA, MSUMBIJI, GABON, MALDIVES, IVORY COST, CAMEROON, GUINEA BISSAU, GUYANA, GUINEA, SIERRA LEONE, REPUBLIC OF SURINAM, TOGO, BENIN, BURKINA FASO, UGANDA, ALBANIA, NA UKITAKA KUJUA NCHI ZINGINE, GONGA HAPA: http://www.oic-oci.org/member_states.asp
 
Hizi dharau zenu kwa waislamu ndizo zilizomletea laana mgombea wenu wa uraisi,amekuwa akibwabwaja mambo ambayo yamemuondoshea hadhi iliyodhaniwa kuwa ni hadhi aliyoipata bungeni.Yeye na Mrema ni sawa.
Kupanda kwenye jukwaa na mke wa mtu,bei ya mfuko wa saruji na vitisho ni mifano hai ya mambo yaliyombwaga chini.
Kuhusu waislamu,kwa adhabu atakayopewa Slaa mwaka huu,baada ya uchaguzi hapana shaka watanzania watawajua waislamu ni nani, kwa vile ambavyo maamuzi yao katika kura yatakuwa yamebadili muelekeo wa waliokuwa wakiwadharau.

I'm glad to see you're not letting your education get in the way of your ignorance.
 
Changa la macho tu, kira ni lazima zipatikane kwa namna yoyote ile
 
Safari hii Mchungaji Slaa kajaza walokole kibao hapa JF, sasa jf imeshuka hadhi!! nakaa pembeni

niwaachie walokole, nitarudi wakiondoka baada ya uchaguzi!!!! Asanteni.
 
I'd like to see things from your point of view but I can't seem to get my head that far up my ass.
 
Back
Top Bottom