Wiki nzima bila kutongozwa

mimi nitongozwe,nisitongozwe,naona sawa tu.s.times huwa naona kama ni kero fulani,nikitongozwa na mtu ambae sipo interest nae.Na kama tayari ninae mtu,huwa ndio kabisaaaaaa,sipendi kutongozwa

dada hilo jina lako lazima utongozwe mara 62 kwa wiki.
 
Halafu hujaeleza unafurahia kutongozwa kivipi! Kipwani pwani au kibara? Sasa wale kutongoza pwani ili wakopeleke kwao wakuingize kule pwani ni balaa! We penda kutongozwa tu! Leo lazima uote unatongozwa na kupatwa kabisaaaa
 
Halafu hujaeleza unafurahia kutongozwa kivipi! Kipwani pwani au kibara? Sasa wale kutongoza pwani ili wakopeleke kwao wakuingize kule pwani ni balaa! We penda kutongozwa tu! Leo lazima uote unatongozwa na kupatwa kabisaaaa

Duniani kuna mambo,amepata somo yake uyoooooooo...............:A S shade::playball:
 
Husninyo
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png
JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateSun Oct 2010LocationDsmPosts1,618Thanks6Thanked 209 Times in 174 Posts Rep Power24
im_yahoo.gif


Did you find this post helpful? |
icon1.png
Ukitongozwa ujue umependwa au umedharauliwa

Habari zenu wadada wote na makaka, mababu na mabibi!

Tunajua hakuna binti asiyetongozwa, awe mzuri au mbaya, awe mapepe au ametulia, awe anajiheshimu au hajiheshimu.

Sasa wadada jamani, tukitongozwa tusivimbe kichwa na kujiona ni wazuri sana. Ukitongozwa ujue umedharauliwa au umependwa. Ila kudharauliwa ndio mara nyingi. Mdada anayejiheshimu sio rahisi kutongozwa mara kwa mara maana hata wanaume hujifikiria mara mbili mbili.

Fikiria unatongozwa na libabu hilo au katoto kadogo hivi hapo si umedharauliwa?[ Au umetamaniwa]

Wanaume wanapenda kujaribu jaribu waone watapata au lah (uongo wanaume?). Tuwe wagumu kwa hilo.
Nawasilisha.​
 
Kumbe msipotongozwa huwa mnajisikia vibaya!!Mimi mpenzi sijamuomba mchezo wiki sasa naona kila wakati ananuna,inawezekana nayo ikawa ni sababu?
 
Ila kwa upande mwingine kina dada hapa mnamwonea NazJaz kwa kusema ukweli. Mi najua wadada wengi mnapenda hata kama sio kutongozwa siriaz, basi kwa utani...
 
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa anasifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.
Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.
Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (lm kidding, siamini mambo ya nyota)
Nazjaz, wakati mwingine uandishi ni uwakilishi wa jamii ya watu wa aina fulani, aidha kitabaka, kijinsia au hata kiimani.

Unapoandika jambo lolote lile kwenye haya majukwaa ya wazi, yakiwemo magazeti au mabaraza ya kwenye mitandao kama hii, wasomaji wako watakuwa wanaiangalia ile jamii unayo iwakilisha kwa jicho la mashaka na kuzua maswali mengi vichwani mwao. Yatupasa sisi wachangiaji au waandishi wa kwenye haya mabaraza ya kwenye mitandao kuwa makini sana na kile tunacho kiwakilisha kutoka kwenye mawazo yetu na matendo yetu ya kila siku.
 
nina wasiwasi na hiyo ID yako, NAZJAZ...?? wewe si she ni he, uliyebalehe very soon. Tatizo hili jukwaa limevamiwa siku hizi.
 
Hao watu wanaokutongoza kila unapopita au kukumezea mate wanakuonea wapi?

Lazima utakuwa unakaa uswazi with alot of interactions na lower end people!!
 
Tatizo hapa sio mada wala mtoa mada. yeye kajielezea anavyojisikia yeye wewe either muunge au usimuunge na utetee hoja yako sio kumwambia amekosea hajakosea chochote. hakuna mwanamke asiependa kutongozwa katu nakataa jamani

saa nyingine tuwe tunaongea na ukweli.mimi huwa napitia sana humu jamvini japo umember nimepata hv karibuni na kuna watu wamejiunga humu nawaona mpaka leo hii wanajiona wametawala hili jamvi.kwa hiyo wamezoeana mmoja akitoa mada wote wanajitia kumsaport.

tuwe wakweli na tuheshimu hoja ya kila mmoja msiangalie nani katoa na kwa nini. tatizo lenu mnakutana mshajuana so kila mdada hapa anajitia ana tabia nzuri anakunja makucha yake asionekane mbaya mbele ya jamii.

Bila mtu kusema anachojisikia nyie mngejuaje kwa hiyo mkubali kwenye jamii kuna kila mtu na kila mtu ana feelings zake jao wengine kujishaua ooo hatutaki kuolewa oooo hatutaki kutongozwa ooo sijui nini.
ndio hawa wanaolewa badae wanatoa makucha wanaume wanawakimbia.

msijiite tu ma great thinker, GT anaangalia strength and weakness na mengine kama hayo
ahsanteni, naomba kuwakilisha
Nakubaliana na wewe lakini huyu mtoa mada hii ishu yake kaitoa kinamna tofauti na wewe ulivyoielezea na ndio maana watu kama hawajamuelewa vile!!
 
Back
Top Bottom