Wiki nzima bila kutongozwa

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,831
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.

Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.

Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)
 
Mmmmmm!!
Napita kwanza:car::car:
Nitarudi baadae!!
 
Acha mawazo ya uzinifu - Fanya kazi kwa bidii kwa manufaa yako na ya familia yako sasa na baadaye
 
Hivi kuna kutongozwa/kutongozwa tena? Hii fani ilikuwa zamani, sio siku hizi dada yangu.
 
Nazjaz, ina maana kila jioni unafanya tathmini ya wakaka waliokuchangamkia/kukutongoza? maana mpaka unakuja kugundua kuwa siku ya leo sijachangamkiwa au hakuna aliyeniambia kuwa ananipenda ina maana unafwatilia sana hayo maswala.
kwa kusema ukweli sijawahi kuliwazia hili, siku zinapita tu naona mambo yapo kawaida
 
Duuuh! Kumbe badooooo! Ngoja niivunje hiyo wiki uanze kunihesabu mimi wa kwanza
 
Nazjaz umenichekesha saana
Kumbe kuna mambo haya tena oops pole sana
Lakini kama unajiamini hata mwaka ukipita kuna tatizo gani?
Haya mambo ya nyota kufifia yanatoka wapi?
 
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.

Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.

Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?

Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)
jitongozeshe
 
Karibu Husninyo! Tusepe zetu manake unaezajikuta unamchapa mtu mzima fimbo kama mtoto hivi hivi.
kweli mwenzangu, unaweza ukajikuta unamtemea mate kumbe unatemea screen. Lol!
Nitapita pita tu kuchungulia kwa juu juu.
 
:A S-fire1: sioni kama kuna ulazima wa kutongozwa by the way wengi ni waongo na wenye tamaa, kila msichana akipita anataka amsemeshe!
kwani wakikutongoza unakubali wangapi na kukataa wa ngapi?:A S kiss:
 
Habari senyu binafsi, tumekusoma baba paroko mtarajiwa (baba enock)
 
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (lm kidding, siamini mambo ya nyota)

Usiwadanganye watu. Last week nilikuchangamkia mimi, ila hukuniona.
 
Back
Top Bottom