WIKI MBAYA KABISA!:wiki ya uchaguzi-2010

Hahahhah Baba Gift...... pole mwaya hivi hata kina eliza unawaona wachungu? au nao wako kwenye uchaguzi lol

Babu hahhahah infii wako kulinda kura na kuchakachua ili mhishiwa arudi madarakani kwani alikuwa anawatengenezea mazingiza mazuri ya infidelity.........

:doh::doh::doh::doh::doh::doh:
 
mkuu naomba ukafute pale uliponinukuu kwenye ile post niliyochanganya habari.....

again
hakuna sheria inayoumruhusu INFIDELATOR kuoa mara mbili au zaid

Hiyo ni kwa mujibu ka katiba ya chama au findings za the king kutoka kwenye majournals?
 
Na hapa jf Invii kafunga kile chumba cha maongezi....:A S angry:....
Ila cha kufurahisha....kulikua na sababu ya kuchelewa kurudi nyumbani....kulinda kura zetu zisichakachuliwe...

Nina uhakika kile chumba kitarudi kesho aisee kilikuwa kinasaidia kwa mambo mengi kweli
 
mkuu naomba ukafute pale uliponinukuu kwenye ile post niliyochanganya habari.....

again
hakuna sheria inayoumruhusu INFIDELATOR kuoa mara mbili au zaid

This message has been deleted by Asprin.

Hiyo ni kwa mujibu ka katiba ya chama au findings za the king kutoka kwenye majournals?
mkuu sasa ukioa tena itakuwa ndoa au INFIDELITY......!
anyways ngoja nichek na mwenyekiti then tuone
 
Asee! mi nilikagua bailojia yangu jana naona kama imesizi kwa muda....Kila saa kusikia Dovutwa Dovutwa~ haa

nimeungana na baba Gift kuzima kiredio cha tuktuk homme TV naangalia India sports tu......mbona tunataka kusababishiana "ugumba" mapema ivi

Ngoja chumba kifunguliwe kesho tukatest zari

Hommie Asprin mfano jana alikuwa na HALI MBAYA kabisa hadi walimpomtangaza Mh. Halima Mdee....:A S angry:
 
Asee! mi nilikagua bailojia yangu jana naona kama imesizi kwa muda....Kila saa kusikia Dovutwa Dovutwa~ haa

nimeungana na baba Gift kuzima kiredio cha tuktuk homme TV naangalia India sports tu......mbona tunataka kusababishiana "ugumba" mapema ivi

Ngoja chumba kifunguliwe kesho tukatest zari

Hommie Asprin mfano jana alikuwa na HALI MBAYA kabisa hadi walimpomtangaza Mdee....:A S angry:

Hommie unaonaje hapo ungeanza na jina Halima? Hilo nalo ni angalizo....
 
Asee! mi nilikagua bailojia yangu jana naona kama imesizi kwa muda....Kila saa kusikia Dovutwa Dovutwa~ haa

nimeungana na baba Gift kuzima kiredio cha tuktuk homme TV naangalia India sports tu......mbona tunataka kusababishiana "ugumba" mapema ivi

Ngoja chumba kifunguliwe kesho tukatest zari

Hommie Asprin mfano jana alikuwa na HALI MBAYA kabisa hadi walimpomtangaza Mdee....:A S angry:

Aisee wakitajwa hao bwana mwili unasisimuka sijui kwanini
 
Asee! mi nilikagua bailojia yangu jana naona kama imesizi kwa muda....Kila saa kusikia Dovutwa Dovutwa~ haa

nimeungana na baba Gift kuzima kiredio cha tuktuk homme TV naangalia India sports tu......mbona tunataka kusababishiana "ugumba" mapema ivi

Ngoja chumba kifunguliwe kesho tukatest zari

Hommie Asprin mfano jana alikuwa na HALI MBAYA kabisa hadi walimpomtangaza Mdee....:A S angry:
ha ha ha ha!

sijawahi kucheka hivi aisee

hahahahahaha
 
Asee! mi nilikagua bailojia yangu jana naona kama imesizi kwa muda....Kila saa kusikia Dovutwa Dovutwa~ haa

nimeungana na baba Gift kuzima kiredio cha tuktuk homme TV naangalia India sports tu......mbona tunataka kusababishiana "ugumba" mapema ivi

Ngoja chumba kifunguliwe kesho tukatest zari

Hommie Asprin mfano jana alikuwa na HALI MBAYA kabisa hadi walimpomtangaza Mdee....:A S angry:

Kuna kipindi aliniambia kuwa anataka kwenda Kawe sasa sikumuelewa ni kuwa alikuwa anaenda for what purpose
 
jamani eeh ILI KUONDOA STRESS zaidi na zaidi labda pengine mnaonaje tungekutana pale mahala petu wajameni?
 
pole sana mzee.................duuuuuuuuuhhhhhhh mpaka unaona bia chungu hiiii mpya.
 
naunga mkono hoja kwa hisani ya chadema na isc
okay okay!......

tunahitaji kuonana leo kwa ajili ya ku-do ze needful na kuachana rasmi nahizi stress za politiks maanake dah!HAIWEZEKANI bana
 
Nimeshado ze nidiful hommie

Ewaaaaaaaaaa>.....

Unajua hommie, Halima alikuwa na sifa mbili kuu zilizonifanya nimchague
1. Ni mwanachama hai wa vyama vyetu CHADEMA na ISC
2. Nadhani mmeshaona japo picha yake....need I say more?

Ole wake atakayemchakachua Halima wangu..........
 
okay okay!......

tunahitaji kuonana leo kwa ajili ya ku-do ze needful na kuachana rasmi nahizi stress za politiks maanake dah!HAIWEZEKANI bana

Itabidi uwape daireksheni hawa binadamu...pale kwa Josephina panaweza kuua soko la Al-Batar
 
Mi nashauri iwe kesho bajameni!:car::car::car::phone::phone::peace:
okay okay!.....

kwa heshima ya mwenyekiti nina-ishu KIMEMO KIFUATACHO:

the king is hereby announcing that our internal meeting will be persued on friday of 05th November 2010 from 17:00hrs till down....the same venue!please be informend that forget NOT to come with your copy of constitution,as we all know that there are some amendments to be decided COLLECTIVELY!...on the very serious note:MWENYEKITI ATAKUWEPO
rgds,
the king
ROYAL PALECE
 
Back
Top Bottom