Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

Cg keshakuambia na wala mi sio kishua nikiwa dar mi mtoto wakwatumboo upo hapo kijana so usiwe muoga we fanya hima uende 5000 yako uweke 1000 kwa siku tano hiyo hapo nenda pale au sio ishi ukuja ntakupeleka

ntajitaid ma dr na hiv ntakua na ww c ndo itaitajika 50000 kabxa.!!
 
we c mtoto wa twn, maisha bora lunch mboga nane.. Bt ntaktafta unshke mkono twende.!!! vp hao maidz wanajua kswahil, maana lugha zingne zilikuja na ndege

Cg keshakuambia na wala mi sio kishua nikiwa dar mi mtoto wakwatumboo upo hapo kijana so usiwe muoga we fanya hima uende 5000 yako uweke 1000 kwa siku tano hiyo hapo nenda pale au sio ishi ukuja ntakupeleka
 
52 uknw ilivokua ngumu kwa jg kuniconvice mpaka kikaeleweka siwez muacha kwenye mataa hata kidogo sema hayupo hapa kaman looh ngemchumu mim aaaah shem usinifanyie hivoo
Hahahahaaaa sweet covering
 
52 uknw ilivokua ngumu kwa jg kuniconvice mpaka kikaeleweka siwez muacha kwenye mataa hata kidogo sema hayupo hapa kaman looh ngemchumu mim aaaah shem usinifanyie hivoo

Jg niko mazima, my swit!
Nambie !
Sikuwepo jamvi just few dayz, coz nilikua pembezoni na mwa nchi pasipokua na ntwk!
En'hee my lv hebu nambie kinacho...
 
Mwanza Mwanza........love it
 
Ila uzuri shem wangu yuko vizuri kwa msimamo

Ok 52 mambo? Arif nilikua pembezoni mwa Tz kidogo, kwa few dyz hapakua na ntwk, nimekusoma mkuu!
Angejua Shughuli ilivyokua days past hadi halua tukaipata kisosini asinge try kubofyabofya! Bt atakua ameelewa hopely .
 
Mambo pouwa JG...dah huwa unapotea sana...siku nyingine uende na mkeo aisee hili suala la kulinda gumu jamaa hawakawii kunipiga bao
 
52 umenena mineno "kwa kinywa kipana" (Source Makwaia wa Kuhenga, Chnl 10).
Mwenye Tazama haambiwi Macho!
Akipita hapa mlengwa, namshauri aya regard maneno yako such as a wills .
Wapi Shem Amy ? Mbona na yeye hayuko active on'board kama tulivyomzoea?
 
Back
Top Bottom