Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

unatakiwa uwahi pale kwenye zile bech za nyegezi stand kwani ulipopewa hifadhi makoroboi leo machokoraa wana nyembe nyingi watakuchuna nawe ngozi ni nyembaba ya elf5.
 
We umetoa wazo lenye manufaa sana....thanx alot
 
Hahhahahaaa makoroboi kumefanya nin jaman aah nyegezi stand kufanya nin sasa jaman kweli utoke isamilo upite mjin uende nyegez stand masihara haya jaman haya nenda ila angalia usije pitiliza buzuruga hahahah
 
Hahahahaaa kule nyegezi kwa "Nice meeting you" huko siendi bhana maana utabiri wa hali ya hewa unanikataza kwenda. Haya beibe nasty, hebu nisaidie kutafuta sehemu ya mjini kwa kukaa na kukutana na marafiki (kulala bado nasubiri maoni na ushauri)
 
Center kabisa kuna pizzeria, kuna sizzzer mida ya sambilimbilu hivi ndo panakua pazuri, kuna villa huko mbali mbali kiduchu, kuna salma cone if u wana icecream kuna sehemu nyingi tuu dear one wewe tuu so bado unataka kwenda stand tuu? Basi utakuwa unamatatizo au miad
 
basi mi pizzeria napaogopa hapo.. Hivi naeza nkapata vitumbua pale.!!
 
chakula kikubwa ni pizza pia hata mikate nahis ipo kuna icecream , kuna fruit kuna kahawa kuna chai na hivo so i uoga tuu dia kama hadi mi naenda wafikiri mchezoo bt there sm plc nying tuu mbna
 
Back
Top Bottom