Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Naomba wenyeji zaidi yangu wanisaidie haya,
GH isiyozidi 5000 mjini
Sehemu za kula cheap nazijua
Ntawaambia ntakapokuwa mtakaopenda "kupigwa mizinga ya bia"

See you there......
 
duh.. hiv hamna wadada wanaokuja mwz, maana wote naona vijeba tu.!!? mi ata ckupokei lbda erick ansaidie ngoja nsubiri mgen wa kike..
 
Hahahaa mgeni wa kike atakuja Lizzy au kongosho
 
duh.. hiv hamna wadada wanaokuja mwz, maana wote naona vijeba tu.!!? mi ata ckupokei lbda erick ansaidie ngoja nsubiri mgen wa kike..

We msaidie tu hata kumpeleka Mihama......kwani kuna shida gani??? Si unampandisa kipanya cha Mwaloni tu na hiyo elfu tano yake....!!!
 
Crest hotel nadhani hapafiki 5,000
Unakuja kwa miguu (tukuandalie samaki wa kukaushwa) ama unakuja na pipa (ndoo ya samaki wabichi itakuhusu)
 
Nakuja kwa bodaboda so samaki wakavu coz watanifaa njiani on my way back
 
We msaidie tu hata kumpeleka Mihama......kwani kuna shida gani??? Si unampandisa kipanya cha Mwaloni tu na hiyo elfu tano yake....!!!

hyu ata naul ya kurudia anaweza asiwe nayo.. Na vle vpnya vya mwalon vlivyochka vle unaeza kuta unapata na tetenas humo ndan.!!
 
Hahahaa kwani vile navyo nauli ni sawa na daladala nyingine?
 
Back
Top Bottom