Umesahau moja kuu,
Wiki hii CDM iliendelea kusajili magarasa yaliyoachwa na CUF, safari wamemchukua Prof. Safari.
Kumbuka wameshawahi kuwasajili Shaibu Akwilombe, Wilfred Rwakatare nk. Wote hawa hawakusaidia kitu kwenye timu yao mpya!
Hakuna ulichoongea hapa naona umechanganya mambo, mara ushirikina mara bunge mara majini mara falsafa tushike lipi tuache lipi? weka mada moja moja utafeli mtihani pamoja na kuwa na uelewa.
Naona hii inachangia sana kwa wabongo kubaki kwenye zama za jiwe (stone age!). Wakati wengine wanaendelea kisayansi sisi ndio kwanza tunarudi kwenye imani za giza, dah, kaazi tunayo! Wabongooo tuko ovyoooo!!!!Fuvu la mtu wa kwanza aligunduliwa bonde la olduvai, bila shaka kama kuna kiama kitaanzia Tanzania.
It is Great Thinkers who see deep ndiyo ambao wameelewa na kujiandaa kupokea hiyo historia mpya!!!!!!!!!!!!!!!!!Hakuna ulichoongea hapa naona umechanganya mambo, mara ushirikina mara bunge mara majini mara falsafa tushike lipi tuache lipi? weka mada moja moja utafeli mtihani pamoja na kuwa na uelewa.
Kweli kuishi kwingi ni kuona mengi!
1: Muhimu katika habari kubwa na tamu za leo Jumatatu Aprili 4, 2011 - Kumbe kikombe cha Babu wa Loliondo ni USHIRIKINA!!!!!!
2: Rais na waziri wake wa sheria watofautiana na muswada wa katiba wanaowasilisha bungeni wiki hii - kwa waliofuatilia kongamano la UDASA Jumamosi 2,Aprili 2011 watakumbuka cheche za akina Marando na Mtatiro, na Mbowe kurudi kwa umma; vigogo wa CCM waliingia mitini wakamsukumia masikini wa watu Prince Bagenda, ambaye naye kwa kuhofia cheche akaelekeza kwamba waTz wasidhani katiba nzuri itapatikana kirahisi (alinishangaza kama kweli hapa alikuwa anasemea CCM kweli?); kwa wadadisi linganisha habari za HABARILEO ya leo Jumatatu, Aprili 4, 2011;
3: Mjadala na hatimaye kura ya wabunge wiki hii kuhusu muswada wa katiba mpya kuamua kama ni-sisiemu na serikali yake kusalimu amri na kufuta mtazamo waliopeleka bungeni wa rais kuchukua nafasi ya waTz kutengeneza katiba mpya ama katiba mpya kupatikana kupitia pipoooos pawa-ambayo kwa mtindo uliosemwa kwenye kongamano la Jumamosi kuwa ni ule wa Tunisia na Misri, na sasa Libya!
4: Macho YOTE ya waTz kugeuzwa kutoka kwenye ushirikina Loliondo na kuelekezwa kwenye bunge Dodoma-patawaka moto!
5: Hatimaye Tz kubakia kuwa taifa la viongoizi wanaoongozwa na falsafa ya ushirikina-rais kulindwa na majini ya sheikh na sasa serikali yote imejimwaga katika kikombe cha mashetani Loliondo!
6: Bila shaka wanaJf nao hawatabaki nyuma!!