Wiki endi njema wana Jf wote

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,947
8,409
Upendo & Ukarimu wanawasalimu, Furaha & Unyenyekevu wako njiani kuja kwenu, ila Tabu na Shida hawatakuja sababu Mateso anaumwa. Mashaka, Mawazo & Kukata tamaa wako jela. Kukataliwa & Umasikini walikufa. Ushindi, Utajiri, Upendo & Amani wanakuja. Mungu awatie nguvu ktk majaribu yote mnayokutana nayo ktk maisha yenu. Muwe na wiki endi njema.
 
Asante sana sweetlady, ujumbe mzuri kama jina lako... Nakutakia weekend njema pia!!
 
Asante sana sweetlady! Barikiwa kwa ujumbe mzuri. Weekend njema kwako pia na kwa all JF friends. Enjoy and be happy!
 
Upendo & Ukarimu wanawasalimu, Furaha & Unyenyekevu wako njiani kuja kwenu, ila Tabu na Shida hawatakuja sababu Mateso anaumwa. Mashaka, Mawazo & Kukata tamaa wako jela. Kukataliwa & Umasikini walikufa. Ushindi, Utajiri, Upendo & Amani wanakuja. Mungu awatie nguvu ktk majaribu yote mnayokutana nayo ktk maisha yenu. Muwe na wiki endi njema.
ndombolo,konyagi na mirungi mbona hawako kwenye listi? au wamevua gamba wikiendi hii?
 
Upendo & Ukarimu wanawasalimu, Furaha & Unyenyekevu wako njiani kuja kwenu, ila Tabu na Shida hawatakuja sababu Mateso anaumwa. Mashaka, Mawazo & Kukata tamaa wako jela. Kukataliwa & Umasikini walikufa. Ushindi, Utajiri, Upendo & Amani wanakuja. Mungu awatie nguvu ktk majaribu yote mnayokutana nayo ktk maisha yenu. Muwe na wiki endi njema.

Tupo pamoja dada mtamu.
 
wow!!!!!!! what a msg!!!!!!!!!!!!!!1 NZURI ATI!!!!!!!! NIMEIpenda hii, aisee hii bomba. PLEASE THE SAME TO U, ENJOY THE WEEKEND
 
Upendo & Ukarimu wanawasalimu, Furaha & Unyenyekevu wako njiani kuja kwenu, ila Tabu na Shida hawatakuja sababu Mateso anaumwa. Mashaka, Mawazo & Kukata tamaa wako jela. Kukataliwa & Umasikini walikufa. Ushindi, Utajiri, Upendo & Amani wanakuja. Mungu awatie nguvu ktk majaribu yote mnayokutana nayo ktk maisha yenu. Muwe na wiki endi njema.
Naaaaaaam Asante sweetlady nawe weekend iwe njema kama jina lako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom