Wifi yangu amezidi

Julieth Ms

Senior Member
Nov 29, 2011
102
37
Jamani mwenzenu na wifi yangu mke wa kaka angu baada ya kuukwaa Ukurugenzi huko Dodoma ameanza nyodo zilizo pitiliza wakati nilimpokea mwenyewe mjini kaja kujiendeleza kimasomo Chuo kikuu na tulikuwa tunakula dagaa leo hii amepata ukurugenzi anasema hawezi kabisa kufika kwangu anataka alale guest nilipo muuliza mbona pakulala nimekuandalia akasema hadhi yake hawezi kabisa kulala kwangu mitaani pale guest bei gani chumba nikamwambia zipo za Tsh.10000-30000/= akasema hakuna guest yenye hadhi ya kulala yeye akaniambia anaenda Sinza kulala kwenye guest za hadhi yake kwakweli ubinadamu kazi jamani.
 
wala usiwaze maana anakuja na kajamaa kake so hataki ujue na siunajua tena wakurugenzi wanakuwa na mambo yao so usiwaze mtafutie Hotel nzuri tu wafaidi watu
 
Asikumize kichwa shosti,unajua kuna watu wengine malimbukeni na juu yakua amesoma lakini bado hajaelimika vizuri,chakufanya muangalie tu kama keshapata bwana sasa anaona wewe utambana hapo kwako, aende akishapigwa na chini atarudi au atasinga mbele.
 
Mi nilidhani kakupiga wewe marufuku kwenda kwake?
Mwache afurahie ukurugenzi wake, sio kila mtu ameridhika na hadhi yake ya maisha.Wengine ni pesa tu hawana.
 
Labda ni for security reason, insurance haita mlipa in case ikitokea kitu in those guests? ila kwa kukataa kulala kwako nadhani kakosea.
 
Jamani mwenzenu na wifi yangu mke wa kaka angu baada ya kuukwaa Ukurugenzi huko Dodoma ameanza nyodo zilizo pitiliza wakati nilimpokea mwenyewe mjini kaja kujiendeleza kimasomo Chuo kikuu na tulikuwa tunakula dagaa leo hii amepata ukurugenzi anasema hawezi kabisa kufika kwangu anataka alale guest nilipo muuliza mbona pakulala nimekuandalia akasema hadhi yake hawezi kabisa kulala kwangu mitaani pale guest bei gani chumba nikamwambia zipo za Tsh.10000-30000/= akasema hakuna guest yenye hadhi ya kulala yeye akaniambia anaenda Sinza kulala kwenye guest za hadhi yake kwakweli ubinadamu kazi jamani.

tatizo ulimtesa kipindi alikuwa hana kitu pole sana kwa :embarassed2: ndio ubinadamu huo mama :shock:
 
Jamani mwenzenu na wifi yangu mke wa kaka angu baada ya kuukwaa Ukurugenzi huko Dodoma ameanza nyodo zilizo pitiliza wakati nilimpokea mwenyewe mjini kaja kujiendeleza kimasomo Chuo kikuu na tulikuwa tunakula dagaa leo hii amepata ukurugenzi anasema hawezi kabisa kufika kwangu anataka alale guest nilipo muuliza mbona pakulala nimekuandalia akasema hadhi yake hawezi kabisa kulala kwangu mitaani pale guest bei gani chumba nikamwambia zipo za Tsh.10000-30000/= akasema hakuna guest yenye hadhi ya kulala yeye akaniambia anaenda Sinza kulala kwenye guest za hadhi yake kwakweli ubinadamu kazi jamani.

Wewe nae ulitaka akuambie kinachompeleka kulala huko na wewe ni wifi yake kakuheshimu, unanini weyee?
 
Muda mfupi ujao utasikia kaolewa na mwenye hadhi inayoendana na nafasi yake!
Hii ndiyo tatizo la wanawake wa bongo! Pumbavu zake huyo wifi yako (wakilisha tusi langu kwake)
 
Hiyo ni definition ya mtu ambae elimu haijamsaidia hata kidogo! Na wako wengi sana!
 
Jamani mbona wakati hana kitu alikuwa anakuja kulala kwangu leo kupanda cheo ndo iwe dharau hivi?
 
pole .. usipende malipo kulingana na ulichotoa , wema ulioutoa kwakwe unatosha hakuna haja ya malipo
 
Sasa unadhani huyo aliyemsaidia akapata huo ukurugenzi atalipwa saa ngapi?
 
  • Thanks
Reactions: Edo
Ana ulimbukeni huyo, we achana naye wala usimtafute, siku huo ukurugenzi ukiisha ndo utamuona!!!
 
Muda mfupi ujao utasikia kaolewa na mwenye hadhi inayoendana na nafasi yake!
Hii ndiyo tatizo la wanawake wa bongo! Pumbavu zake huyo wifi yako (wakilisha tusi langu kwake)
Hapo kwenye RED hiyo issue is not applicable ndoa nyingi zimeshindwa kuwork out kwa sababu ya upuuzi huo. Pesa + pesa = matatizo matupu, kitakachosaidia tu ni kutokuwa na financial harassment lakini mtu anaweza akawa na hadhi kwenye jamii lakini ndani ya ndoa akawa hana hadhi ( nadhani umenielewa ) i feel very guilty kwa kuwa do sana wake za watu tena ambao siwapati kwa lolote kiuwezo. hii sio story ni fact.
 
Jamani mbona wakati hana kitu alikuwa anakuja kulala kwangu leo kupanda cheo ndo iwe dharau hivi?

Sasa unataka kumlazimisha jamani?

Waswahili nasi hatuna jema, ndo yake yale ya asipokua nacho akaja kwako ohhh ananijazi nyuma.Siku akipata akaenda kwingine ohhh kanidharau.We mwache akalale huko, kwani unapungukiwa nini?Ukute mtu na mumewe wamekubaliana alafu eti dada mtu ndio analalamika.
 
Muda mfupi ujao utasikia kaolewa na mwenye hadhi inayoendana na nafasi yake!
Hii ndiyo tatizo la wanawake wa bongo! Pumbavu zake huyo wifi yako (wakilisha tusi langu kwake)

Kuna kale kausemo kasemako ukitaka kujua tabia mtu subiri apandishwe cheo au apate pesa ndo anafunguka makucha yake.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom