wife Vs Internet

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Hello CC members (not Central committee but chit chat) due to advancement of usage of internet i Think Men should be taught this way on marriage lessons....
1. Wife is not Google: that she knows everything at every time you need.... understand her
2. Wife is not Facebook: that she knows all your friends..... introduce them to her
3. wife is not yahoo: that she knows the addresses of your friends when you are missing.... tell her where you are
4. wife is not skype: that you may always make cheap calls........... be ready to incur huge expenses for her when needed
5. wife is not global publishers: that she knows all is happening in the city...... take a time to explain to her on your issues
6. Wife is Jamii forums: where you dare talk openly


Kwa leo naishia hapa ila kaka yangu Erickb52, Mphamvu, uncle Bishanga.... kijana wenu nimeona niwasaidie hapa bila kumsahau Saint Ivuga ili asije akakosea tena kama ilivyokuwa kwa Mwali, Shemeji yangu Amyner usichekelee sana....
 
Somo zuri kwa hao wakaguaji. Hasa huyu Erickb52, Kaizer, Aspirin, na PakaJimmy.
 
wife pia sio vocha, kwamba unaikwangua muda woteeeeeeee! Khaaaa!

hahahaaaaaa mweh! Jf raha kweli kweli, ila waliosema mwana tunda hawakukosea maana sometimes mwanamke aweza kuwa tunda (la passion) unalikata, unalitia kidole halafu unalichokonoa!
 
Somo zuri kwa hao wakaguaji. Hasa huyu Erickb52, Kaizer, Aspirin, na PakaJimmy.

Remmy mie naona kama PakaJimmy umemsingizia .....hebu thibitisha au futa kauli yako kabla sijaomba mwongozo !

Nafuta kauli! Nisamehe PJ.

PakaJimmy hayumo kwenye list tafadhali.
sweetlady
Asante mwaya kwa kunisafisha kutokana na tuhuma na kashfa nzito zilizoelekezwa kwangu na mtu asiyenitakia mema. Nadhani ningekuwa naishi jirani na pale kwao Mchambiasime angenilewesha Konyagi na kunipeleka hadi Mabwepande, sasa huko labda angening'oa ULIMI kwa kutumia ile spana ya mabomba inayoitwa pipe-range!.
Remmy
Nimekusamehe best yangu, najua Sweetlady amekunukuu vibaya, alijua anamsema Mwigulu Chemba, kumbe wewe dear!
 
sweetlady
Asante mwaya kwa kunisafisha kutokana na tuhuma na kashfa nzito zilizoelekezwa kwangu na mtu asiyenitakia mema. Nadhani ningekuwa naishi jirani na pale kwao Mchambiasime angenilewesha Konyagi na kunipeleka hadi Mabwepande, sasa huko labda angening'a ULIMI kwa kutumia ile spana ya mabomba inayoitwa pipe-range!.
Remmy
Nimekusamehe best yangu, najua Sweetlady amekunukuu vibaya, alijua anamsema Mwigulu Chemba, kumbe wewe dear!


Asante sana my best!
You are real kind!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom