wife kutengenezwa kucha

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,086
15,980
niko bar hapa na mshkaji wangu,kapita kijana wale wa mitaaani kutengeneza kucha,wife wa jamaa yangu kamuita kwa shangwe wee njoo
dogo akaanza mambo yake,mara mguu wa wife wa jamaa aunyanyue aweke begani,mara amtanue mapaja,mara yaani visa tu
huyu kidume ye karelax tu na ndovu yake wakati wife wake anaugulia kwa raha ya kupakwa kucha rangi
sasa hapa huyu kidume akichukuliwa wife na mpaka rangi kucha atalalamika?
Maana huwa inaanza hivi hivi
 
Mimi nilishapiga marofouk hii habari, huwa nafanya mwenyewe............................vifaa si vinauzwa madukani bana.........
 
hapa najua nna kazi ya kusuluhisha ndoa baadae.
Mbaya zaidi kwa uzembe wa huyu jamaa
maana baadae wife atachukua no amwambie mtengeneza kucha aje amtengenezee kucha nyumbani
na ndio hapo ndugu yangu ataisikia ndovu yake chungu
 
We sema tu umemtamani wife wa rafiki yako huyo na unamuonea donge mpaka rangi. yaani umepata picha ingekua ni wewe ingekua ndio njia ya kuanza kabisa mambo hapo hapo...
 
We sema tu umemtamani wife wa rafiki yako huyo na unamuonea donge mpaka rangi. yaani umepata picha ingekua ni wewe ingekua ndio njia ya kuanza kabisa mambo hapo hapo...
ha ha haa,aisee we roulete mi sina hamu kabisa hapa nilipo nshakamuliwa vya kutosha,halafu wife wa jamaa sio dizaini yangu,we fikiria mke wa mtu anayetembea na jezi ya taifa star mitaani atakuwaje
anyway its nt my type
maybe wewe russian ntakufikiria
 
Haki ya Mungu, siku nikimkuta mke wangu anafanyiwa huu upuuzi atanitambua. Hawa jamaa si wazuri.
 
Sio wapaka rangi wote wenye tabia hizo ni baadhi tu,wengi wako kikazi zaidi,isitoshe hata wale wenye tabia hivyo sio kila mwanamke wanamfanyia hivyo,inategemea na ww mwanamke umejiachia kiasi gani,wale wana tabia ya kumsoma mtu kwa kumwangalia machon ukiwa serious na wala hucheki cheki nao wala kupiga story za kijinga nao,wala hawathubutu wanapaka rangi na unaondoka kwa aman ila ukiwachekea tu utashangaa na roho!!!
 
Dah mimi huwa inanikera tu pale jamaa anapochukua mguu GF na kuuweka kwenye u.boo(halafu ukute jamaa anaukwasi ile mbaya na anaupimia na wakwako!) wake huku akisugua na kumshika unyayo!..........mjini shule!
 
dah ilipoishis mkata kucha kalipwa 12000 sasa sijui ndo bei au,akasahau na kikatia kucha mume kakiona,kaanza kumuita mkata kucha achukue,bwana kifaa chake,mkata kucha kaona anaitwa ishakua soo isiwe tabu katoka nduki vibaya
 
kunae mama mmoja hapa mtaan kwe2 almwta mpaka rang kucha hku akiwa na kanga moja na taulo. . Den akamwambia aende ndan akampake rang! Je, kama ndo wife utamfanyaje?
 
cku utakayomkta mpaka rang kcha ypo mezan amekarbshwa chai na mkeo. . . Alaf anakwambia et amemwonea hruma, na anajfanya n ukarmu utamchkliaje wfe?
 
walivyo na mbwembwe kama madada wa salon tu kwenye scrub wanavyootufanya
maana kuna kamoja kanantia majaribuni na hizo style zake kanatumia we ngoja tu
 
Sio wapaka rangi wote wenye tabia hizo ni baadhi tu,wengi wako kikazi zaidi,isitoshe hata wale wenye tabia hivyo sio kila mwanamke wanamfanyia hivyo,inategemea na ww mwanamke umejiachia kiasi gani,wale wana tabia ya kumsoma mtu kwa kumwangalia machon ukiwa serious na wala hucheki cheki nao wala kupiga story za kijinga nao,wala hawathubutu wanapaka rangi na unaondoka kwa aman ila ukiwachekea tu utashangaa na roho!!!
Na ajitokeze mmoja aliyewahi kutaka kuvunjiwa heshima na hawa wapaka rangi za kucha..
 
Mpaka watengenezwe kucha na wanaume mitaani?

Kwangu kwanza ni ukosefu wa class kwa mwanamke mzima kunyanyua mguu sijui mko bar sijui mko wapi mbele ya wanaume wengine tele ati unatengeneza kucha!
 
Mimi nilishapiga marofouk hii habari, huwa nafanya mwenyewe............................vifaa si vinauzwa madukani bana.........
yani ww uko na akili sana mana wa ivi ni wawili tu ktk mia nazani ni ww tu na mchumba wangu mm tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom