Wife kanibadilikia, msaada pls

kwa kifupi wanawake/wasichana naweza kutumia lugha kama hii "Mungu wao alishakufa na huwa wanajaribu kumfufua" maana hata utafanyaje yai lao ni moja na akili zao zinafanana hata asome/asisome lao ni moja. kwanza hawajiamini kama wako kwenye ndoa, vivu usio na maendeleo, etc.
 
Mkuu mimi sisemi kitu,kwangu ndio usisema ila navumilia tu.mpaka sasa najiandaa kumuachia kila kitu nianze maisha upya.hatufunga ndoa,tuna watoto wawili.

yaani wewe naona kama uko kwenye akili yangu ni kumuachia kila kitu unaanza maisha mapya
 
Hilo ni pepo ndugu yangu! Mke hawezi kukuchenjia hv hv. Uwe unaangalia Emanuel tv utajua nakuambia nini! Shetani hapendi kuona watu wako na amani, wanaendelea so usikae ukilalamika, piga goti muite Mungu atakusikia na atambadilisha mkeo.
 
Kichapo muhimu, sometimes huwa hatusikii mpaka yatukute. Mpe makofi ya kishikaji atatulia.
Caroline Danzi haikuwa makofi ya kishkaji, kilikuwa kichapo heavy. Nilimtandika kofi akafanya kosa la kunirudishia nikamshushia kichapo cha nguvu kilichomfanya asitoke ndani kwa siku 3 sura ilivyovimba. Ila baada ya kichapo nikamuonea huruma nikaanza kumkanda na barafu, penzi lakarudi kama zamani.

Baada ya hapo heshima imerudi safi kabisa
 
Last edited by a moderator:
ushauri wangu wa bure kabisa wewe ni mnywaji?
basi leo nenda kapombeke hadi late times na ukirudi home mgongee binti wa kazi akufungulie mlango ukiingia ndani akibwawaja tu mtie kibao kimoja kitakatifu. kisha mwambie hii ni trela picha inakuja. lazima atatia akili.
gfsonwin njia hii ilizaa matunda kwangu kama nilivyoeleza awali, nilimtandika kibao cha nguvu akanirudishia nikamuangushia mvua ya kipigo nikamwambia hii ni trela picha bado na kwenu unarudi.

Hakika alikaa sawa na matembezi yalikwisha, kawa mtakatifu ile mbaya
 
Last edited by a moderator:
Caroline Danzi haikuwa makofi ya kishkaji, kilikuwa kichapo heavy. Nilimtandika kofi akafanya kosa la kunirudishia nikamshushia kichapo cha nguvu kilichomfanya asitoke ndani kwa siku 3 sura ilivyovimba. Ila baada ya kichapo nikamuonea huruma nikaanza kumkanda na barafu, penzi lakarudi kama zamani.

Baada ya hapo heshima imerudi safi kabisa

hahahah! wanawake bwana, wakipata mabwana wazuri wanaanza kusimuliana alivyomjinga. Kumbe watu wanatulia kuangalia nini kinaendelea. Hahahaha kama namuona vile anarudisha kofi moja, inamiminika mvua ya ngumi. wadada tuwe na heshima kwa waume zetu. Wengine wako desperate street watamani kuolewa kwa mume mwenye wake 3 sisi tunaleta gozi gozi. Kumuepushia mume kwenda nje ya ndoa na kufanya mambo yasiyo mazuri, aah unakuwa punching bag!
 
yaani wewe naona kama uko kwenye akili yangu ni kumuachia kila kitu unaanza maisha mapya

Acha uvivu wa kufikiri kaka, unamwacha ili iweje kama wanawake wote wako hivyo hivyo. Tunafundishana taratibu mpaka tufikie kiwango. Hakuna lisiolowezekana kwa Mungu, unaomba Mungu mtu abadilike.
 
Inavyo onekana ameanza kukuchoka hivyo usipokuwa makini atakukondesha kwa mawazo
ongea nae tena kwa sauti ya upole mweleze kuwa unampenda hivyo huko teari kumkosa, kwani yeye ni mkeo wako halali wa ndoa na mmeishi miaka mingi teari

mwambie kuwa tabia yake hiyo hujaipenda na kama kweli na yeye anakupenda basi atajirekebisha
ukiona diplomas imekataa baasi anza za kichina china huuhaaaa. kwani hata mataifa kiburi diplomasia ikikataa zinafuata vita. ila usimwache kwani wote wana kasoro tena inawezekana huyo akawa afadhali
 
ISHI NA WAKE ZENU KWA AKILI zingatia hayo maneno ya hrufi kubwa, huyo inaonyesha maempata mtu ambaye anauwezo wa kifedha yaan anamuwezesha hivyo anafanya vipimo, yan anacompare , cha msingi anza uchunguzi taratibu ukweli utaujua, alafu ww ni dini gani?
 
Back
Top Bottom