Wife Chopped Off Husband's What?

Eeh, hebu fikiria, kama ilikuwa inaibwa kwa pembeni basi tena, mmiliki wa halali basi tena, na yule mshikiliaji (sijui ni mmiliki orijino ) naye kwisha habari yake....heheeee!

upo mae? mic u sana sana, mbona kimya kingi jamani?
 
What if akilipiza na yeye......have ever imagined a revenge? I will even the score..somehow....!
Atarevenge aje bana? Achop mkono au mguu? (labdda)Hw will u even the score?
 
U are not planning a chop...are u?
Hahahaha Unaogopa nini tu lolz..Nway huyu si wa kwanza kuna mmojaIlikatwa mmke akaichukua na kiendesha Na ku pita kama three traffic lights halafuAkaitupa nje kupitia dirishaa la gari..Bobity nadhani hilo ndo jina lake ..
 
upo mae? mic u sana sana, mbona kimya kingi jamani?
eeh mae nipo! Na mbona??Nawazia hizi hasira za kumchop mtu kifaa chake jamaneni, sijui unakuwa umekasirishwa kiasi gani tu!!? Unaamua basi ngoja tukikose wote.... Wee na hizo hasira zako mwenyewe huthubutu hii jinai...lol!
 
Hahahaha Unaogopa nini tu lolz..Nway huyu si wa kwanza kuna mmojaIlikatwa mmke akaichukua na kiendesha Na ku pita kama three traffic lights halafuAkaitupa nje kupitia dirishaa la gari..Bobity nadhani hilo ndo jina lake ..

Wale walikuwa John na Lorena Bobbit...ila waliiwahi wakaipeleka hospitali ikaunganishwa tena na jamaa akaja kucheza filamu ya pono.....teh teh teh....I guess wife aliona kapatia mwenyewe kumbe wapi.
 
Hahahaha Unaogopa nini tu lolz..Nway huyu si wa kwanza kuna mmojaIlikatwa mmke akaichukua na kiendesha Na ku pita kama three traffic lights halafuAkaitupa nje kupitia dirishaa la gari..Bobity nadhani hilo ndo jina lake ..

Sio kuogopa......we all make mistakes....sasa hizi adhabu za kuharibu......
What if you are wrong...surely you can't reverse the chopping......
 
Khaaa si mpaka sasa akipate? Baada ya tukio ki downloader kitalindwa hicho ka ngome ya wajeshi!

BHT waishi dunia ipi....
Utapatikana tu....na hicho kinanhii kitaharibiwa kimoja.....
 
Hahahaha Unaogopa nini tu lolz..Nway huyu si wa kwanza kuna mmojaIlikatwa mmke akaichukua na kiendesha Na ku pita kama three traffic lights halafuAkaitupa nje kupitia dirishaa la gari..Bobity nadhani hilo ndo jina lake ..

mwenye hasara ni huyo aliechopiwa,mke c atapata nyingine tu.
 
kupeana vilema vya maisha hakuhusiki bana....kama noma na iwe noma nami namharibu tu kinyau chake forever and ever even stevens
NN nilikuwa najaribu kufikiria ukimwamga tindikali kwenye kimkojo downloader madaktari itabidi wafanye kazi ya zaidi maana ukiangalia na maumbile yake kurudisha hali iliyokuwepo mwanzoni itakuwa ishu.
 
NN hujambo...Embu acha fujo ..tindikali??? Lohhh

teh teh teh....do you think it is fair to cut off your man's phallus? No way Jose! Yes, licentious behavior and two-timing are not right but in the hierarchy of fairness, if you have been cheated on cutting the cheater's long john ain't fair in every way. What say you ma?
 
Back
Top Bottom