kuna ka mtihani kananiumiza kichwa kidogo...
kuna jamaa amehamia hapa mtaani kama mwezi mmoja hivi.
baada ya wiki wife akaniambia huyu jamaa anamsumbua kwa kumpigia simu za kumtaka...
nikamwambia aachane nae.
sasa jana nimeshika simu ya wife nimekuta kuna sms za kumtukana jamaa. sasa nipo sielewi nimuadhibu wife kwa kuendelea kuwasiliana na jamaa au nimuadhibu jamaa kwa kutaka kuharibu nyumba yangu.
NIPO NJIA PANDA
Mkabe waifu
anamwambia asimsumbue yupo na mume wake, lakini si nilimwambia aachane nae?!
Yeah! Lazma ammbane kisawasawa. I smell somthing very fishy here!
nashukuru kwa ushauri na kunipa faraja...Taka kuona msg alizotumiwa mpaka akatukana. Maana inawezekana hiyo ni cover tu kwaajili ya kukupumbaza wewe, inawezekana wamegombana, au kweli huyo jamaa alikua anamsumbua mpaka mkeo akashindwa kumvumilia.
Ila kama kweli hayuko interested nae ablock namba ya huyo jamaa ili asipate simu na text zake. Kusema tu aignore zikiingia haitoshi maana watu wengine wanaboa kupitiliza.
ushauri wenu unahitajika nini nifanye
haswaaaai smell a rat!
Namba ya wife alitoa wapi?sio rafiki kiivyo
Mkabe waifu
upo very ryt kongosho ,silence z th greatest psychological weapon of all....huyo wife wako anamuentertain huyo jamaa...kuwa serious mbane mkeo ,s'thng fishy z going on hapo na kugombana na mwanaume mwenzio ni kujidhalilisha mwenyewe assume unamfuata jamaa hlf kumbe mkeo ndo anayemtokea....au wametibuana ndo akaanza kumtukana?
Kama humtaki wala huna wazo nae hata kumtukana is a favor.
jojipoji, kama ukigundua mkeo amechat uko tayari kuvunja ndoa?
Kama uko tayari mbane hzdi ujue ukweli
kama haukotayari ipotezee ila mwambie mkeo asiwasiliane tena la sivyo unamrudisha kwao.
Sababu kama haupo tayari kuachana afu ukagundua anacheat utaumia mno.
upo very ryt kongosho ,silence z th greatest psychological weapon of all....huyo wife wako anamuentertain huyo jamaa...kuwa serious mbane mkeo ,s'thng fishy z going on hapo na kugombana na mwanaume mwenzio ni kujidhalilisha mwenyewe assume unamfuata jamaa hlf kumbe mkeo ndo anayemtokea....