Wife anakukera kwa kutaka uwepo home all the time? Mwarubaini huu hapa...

kaka basi bora huyo demu wake si mkabaji star- jamaa yangu alifanya mbinu hiyo hiyo lakini baadaye mkewe akadunduliza hela na kuununua TV nyiingine, ikafungwa Room, sasa jamaa akaambiwa kama anataka games na mambo mengine basi watakuwa wanabadilishana either yeye chumbani na wao sebuleni - mkewe ilibidi alipie ile decoder ya kuweza kucheki double channels at the same time.

Sasa jamaa anabuni njia nyingine - maana mkewe ni kama Defender mzuri sana.
 
Kweli huyo ni Vidic
 
Kuna .............na...........halafu ukiwa unaenda kwenye...........unaaga unasema............

Hizo minutes huwa tunzatioa kwenye vikao vyetu muhimu tu. hapa jamvini :nono::nono::nono:

You are a fast leaner...:becky:
kaka basi bora huyo demu wake si mkabaji star- jamaa yangu alifanya mbinu hiyo hiyo lakini baadaye mkewe akadunduliza hela na kuununua TV nyiingine, ikafungwa Room, sasa jamaa akaambiwa kama anataka games na mambo mengine basi watakuwa wanabadilishana either yeye chumbani na wao sebuleni - mkewe ilibidi alipie ile decoder ya kuweza kucheki double channels at the same time.

Sasa jamaa anabuni njia nyingine - maana mkewe ni kama Defender mzuri sana.

Kwani sababu ni tv peke yake???
 
hahaha hahah haha!!!!!!!naenda kuchek mech siyo??
aya bwana ni wap sasa la casta? r gaden?paradise?jackies?mcty?qbar? heinken mikochen?bas napika pika apa nkimaliza ntakuchek hny
lakin wanawake wengne tu si wa elewa km akikwambia kweli asi unamwacha tu.honey naenda kumit washkaji apo kati ...poa basi saa 4 kamili uwe usharud poa poa....kiivyo tu
mi siamin kwenye kuchungana km kondooo
aende awai kurud basi mambo mengne ukiyawaza sana utapata bp bure......!!!!!

mi avatar yako mamitoo.
 
Aiseee! Hizi mbinu mbona zipo kwenye ISC zamani sana! si vibaya kukumbushiana lakini
 
usisahau kuonyesha una dili nyingi sana na washikaji na hela ya poda kidogo unaacha. visa bwerere
 
Aiseee! Hizi mbinu mbona zipo kwenye ISC zamani sana! si vibaya kukumbushiana lakini

Shssss...utawafanya waandae antibodies.... (kwan hiyo tv haifai kuharibu na kwenda kuidump kwa fundi?)
 
Shssss...utawafanya waandae antibodies.... (kwan hiyo tv haifai kuharibu na kwenda kuidump kwa fundi?)

Orait orait (in fact mafundi Tv wanazidi kuziharibu so inaweza kukaa 3 months with daily follow ups):smile-big:
 
Sio kwamba nina nia mbaya na ndoa za watu, bali baadhi ya wanaume sometimes wanapenda wawe out separately, ama na friends au kwa raha zao lakini bila kuharibu upendo na umuhimu wa mke na familia kwa ujumla.
Tatizo ni kuwa baadhi ya wanawake wanakaba sana, yaani ukitoka kivyako ni hadi ujibu maswali, na ukijifanya kichwa ngumu tena ujue mnuno kwa kwenda mbele. Jamaa yangu alikuwa anatumia kisingizio kuwa anakwenda kuangalia mech (hom hawakuwa na DSTV), of coz kweli alikuwa anakwenda kuchek mech, lakini sometimes hata akiwa na mitikas mingine hicho ndo kilikuwa kisingizio, sometime hadi usiku (sio usiku saana, akizidisha saa nne).

Baadae waifu wake kaamua kuzibiti na hilo kwa kumshinikiza jamaa anunue DSTV dish, ili wawe wanachekia hom wote, hasa mech za jioni sana.

Jamaa alinunua, na akabanwa sawasawa. Baadae alikuja kugundua ujanja, kwani alishtukia waif na watoto pale wanapenda vitu vingine kama tamthilia, na vipindi, sijui bongo star search, tusker project, maigizo n.k. Kwa hiyo alichofanya mshakji ni kuwa all the time akijua wanachek wanachopenda, anakwenda sebuleni, anachun, superspot au channel nyingine ya michezo hata kama ni recorded. Pia akawa anashangilia kwa midadi na makelele. Haikupita mda, waif, kwa upole akawa anasema, baba nanihii, kama vipi bas tuachie we nenda kachek baa. Maana kwanza sisi tunakosa raha, alaf we na makelele yako yanaamsha mtoto, tena unasema na matusi utaniharibia watoto (jamaa sometimes katika kushabikia unakuta anapayuka ...'HUYU MSHENZI KABISA, UTAPIGAJE MPIRA VILE'... n.k)

Kwa hiyo from there akawin, yani akitaka kutoka tu, 'naenda kuchek mech, itaisha kama saa tatu na nusu'... Badae hny...

Heshima kwako Tuko.

Mkuu kumbe wanawake wote wana tabia zinazofanana.Ebu tupeane mbinu mpya maana hii wameshistukia siku nyingi.
 
Heshima kwako Tuko.

Mkuu kumbe wanawake wote wana tabia zinazofanana.Ebu tupeane mbinu mpya maana hii wameshistukia siku nyingi.[/QUOTE

Mkuu Ngongo,hata hizo mpya tutazishtukia only truth will set u free
 
yani mpwa ukimjua jina akusumbui kabisa yani nilibanwa sana ukisema ukaangalie mechi anataka mwende wote kuna vikao vya marafiki mwende wote yani mpaka kero ata akikupa mda kabla ya ule mda atapiga upo wapi nisubiri hapo hapo nakuja yani kama askari magereza na mfungwa lakini nilipo mpatia timing yani natesa kwa raha zangu naogopa kutoa mbinu adharani nisije haribu mambo
 
Mbinu nzuri sana,,kwani ukiwa unaangalia kimykimya bila matusi, utanunuliwa tv yako. Chamsingi ni kutukana,shenzy!!*&!!k***maye kabisa yule Runi.
 
Back
Top Bottom