Which country has best intelligency agency

eti wakuu kati ya KGB,CIA,MOSSAD,MI6 NANYINGINEZO Ipi inaongoza kwa mambo ya intelejensia? napenda kuwasilisha
Bila kupoteza wakati ni vijana wa TISS ya Tanzania.Hawa jamaa nasikia ni one of the best intelligent agents in the world hasa inapotekea ukaenda kinyume na matakwa ya mabwana zao Magamba.wamebobea zaidi katika umbea na fitina.
 
Mwenzako ametoa mifano, jadili/pinga kwa mifano si imani tu!

Hakuna kitu bana. Israel iko overrated sana. Kamwe Israel haiifikii Marekani katika chochote kile.

Eti Amerika ni koloni la Israel....hata haya hamna nyie? Yaani kweli unadiriki kusema Amerika ni koloni la Israel?

Wewe huna akili kabisa!
 
Tofautisha hizi kwanza ndio uulze I and 1
The M16 (officially Rifle, Caliber 5.56 mm, M16) is the United States military designation for the AR-15 rifle adapted for semi-automatic, three-round burst and full-automatic fire. Colt purchased the rights to the AR-15 from ArmaLite, and currently uses that designation only for semi-automatic versions of the rifle. The M16 fires the 5.56×45mm NATO cartridge. The rifle entered United States Army service and was deployed for jungle warfare operations in South Vietnam in 1963,becoming the U.S. military's standard service rifle of the Vietnam War by 1969, replacing the M14 rifle in that role. The U.S. Army retained the M14 in CONUS, Europe, and South Korea until 1970. Since the Vietnam War, the M16 rifle family has been the primary service rifle of the U.S. armed forces. The M16 has also been widely adopted by other militaries around the world. Total worldwide production of M16-style weapons since the design's inception has been approximately 8 million, making it the most-produced firearm of its caliber. As of 2010, the M16 is being phased out in the U.S. Army, and is being replaced by the M4 carbine, which is itself a shortened derivative of the M16A2.
 
kaka wewe nafikiri ndie usiojua kitu na huwajui Jews ni kina nani hebu fanya utafiti uwajue Jews ni akina nani, unamjua Kissinger, Unajua Rockerfflar family hebu nenda deep kidogo ndo utajua kuwa Mosad ndio mama wa inteligency agents zote.

Hakuna kitu bana. Israel iko overrated sana. Kamwe Israel haiifikii Marekani katika chochote kile.

Eti Amerika ni koloni la Israel....hata haya hamna nyie? Yaani kweli unadiriki kusema Amerika ni koloni la Israel?

Wewe huna akili kabisa!
 
kaka wewe nafikiri ndie usiojua kitu na huwajui Jews ni kina nani hebu fanya utafiti uwajue Jews ni akina nani, unamjua Kissinger, Unajua Rockerfflar family hebu nenda deep kidogo ndo utajua kuwa Mosad ndio mama wa inteligency agents zote.

CIA mwanzo mwisho.

Hao Mossad walikuwa wapi wakati Hitler anawakaanga Wayahudi kwenye mavinu ya gesi huko Ujerumani?
 
Hakuna kitu bana. Israel iko overrated sana. Kamwe Israel haiifikii Marekani katika chochote kile.

Eti Amerika ni koloni la Israel....hata haya hamna nyie? Yaani kweli unadiriki kusema Amerika ni koloni la Israel?

Wewe huna akili kabisa!

wana influence kubwa kwa USA
najiuliza iwapo China itakuwa the most powerfull
Israel itafanyaje?
 
Kwani USA haina influence huko Israel?

kuna kitabu cha Pat Buchanan kinaitwa 'The Republic'
kisome hiko

sijasema hawana influence
nimezungumza China inavyoibuka na how Israel itakuwa affected
the shifting balance of power
 
kuna kitabu cha Pat Buchanan kinaitwa 'The Republic'
kisome hiko

sijasema hawana influence
nimezungumza China inavyoibuka na how Israel itakuwa affected
the shifting balance of power

Bottom line is the USA is the world's sole super power. Israel haioni ndani kwa Marekani na bila Marekani Israel ingekuwa haipo kwenye ramani ya dunia sasa hivi.
 
Bottom line is the USA is the world's sole super power. Israel haioni ndani kwa Marekani na bila Marekani Israel ingekuwa haipo kwenye ramani ya dunia sasa hivi.

mimi sijabisha hilo
but why USA hawawezi kuiacha Israel??
what so special kwa Israel hadi USA iwabebe come rain come sun?

kuna kitu ambacho hakiko wazi

hii influence ya Israel ina siri may be
 
mimi sijabisha hilo
but why USA hawawezi kuiacha Israel??
what so special kwa Israel hadi USA iwabebe come rain come sun?

kuna kitu ambacho hakiko wazi

hii influence ya Israel ina siri may be

Hata South Korea inabebwa na USA....why? Bila USA kina Kim wangekuwa washaifanyizia South Korea.

Taiwan nayo inabebwa na US. Na bila US, China wangekuwa washaiteka Taiwan.

Wote tulishuhudia jinsi Kuwait ilivyobebwa na Marekani baada Saddam kuivamia.

Ina maana nchi zote zinazobebwa na US basi zina influence kubwa sana huko Marekani? Na kama ni hivyo basi Marekani haina influence kwenye hizo nchi?
 
Utakuwa umesikia kuwa hata zile assasinations zilizokuwa carried out ndani ya Iran walikuwa CIA sio Mossad, hata ile stuntex attck kwenye centrifuges za Iran ilikuwa ni kazi ya CIA, na sasa yule waziri mkuu wao anayejidai kuwa masiha ameanza kuonekana kuwa ni wakubwabwaja tu.
 
Tanzania aisey..Jack zoka yuko juu..ni wa pili baada ya Israel...hata kova anajua hilo
 
Back
Top Bottom