kwani kuna ulazima wa kuandika maneno kama haya? Jiheshimu mkuu hili ni jukwaa la elimu sio jukwaa la siasa
1.Wakuu naomba kujua hii huduma ya Wi-Fi inafanya kazi vipi? 2. Simu yangu ni Nokia E5 je hiyo huduma inafanyakazi?
vitu vingine sio vya kuuliza wajamini google kwanza ukikosa ndio uulize
tuwe tunajishughulisha kiakili na sio kutafuniwa kila kitu
Watanzania bwana kazi kweli kweli
haya bofya hapa Wi-Fi - Wikipedia, the free encyclopedia
tatizo kingreza kaka
ivi wi-fi haiwezi kukava WAN?maaana hapa tulipo tunapata y acoflani nanajua ko mbali na hapa
mbona mnazid kutuchanganya!! mara wi-fi mara WAN!!! tusiongee sa if we all experts baadhi yetu hatujui twahitaji msaada wenu so msituchanye..ivi wi-fi haiwezi kukava WAN?maaana hapa tulipo tunapata y acoflani nanajua ko mbali na hapa
Yaani kama mtu ulishawahi kuua unawaza mambo ya watu kufariki fariki hata kama mabo hayahusiani, sasa hapa mambo ya babu kufariki yametoka wapi?
Damu ya mtu mbaya kweli kweli (Igunga, USA na Singida).
tatizo kingreza kaka
WAN nam Wlan ni vtu2 tofauti.me nimeuliza WAN