Why???

it is blue monday only if umeamka powah na inaenda flesh.. ka dili zako zimegoma u cant col t blue monday.!!! n' sio monday pek yake, t aplyz kweny siku zote...
myn iz a black mnday.!!
 
it is blue monday only if umeamka powah na inaenda flesh.. ka dili zako zimegoma u cant col t blue monday.!!! n' sio monday pek yake, t aplyz kweny siku zote...
myn iz a black mnday.!!
Junior. Cux we unaiita hvyo coz umeamka na Mining'inio yako ya jana pale Coco Beach
Bila kupata Mchemsho.
Kwangu me ni Blue n'White Monday!!
 
Last edited by a moderator:
Junior. Cux we unaiita hvyo coz umeamka na Mining'inio yako ya jana pale Coco Beach
Bila kupata Mchemsho.
Kwangu me ni Blue n'White Monday!!

umejuaje wangu, nawe nae ata kuja kuntoa ofa.!! Jana nlimalza ata hyo buku ya naul..
 
Last edited by a moderator:
mh,me yangu leo ni dark black monday. make nlikuwa kwny paper ila nimeona nyota kweli. i thnk supp inaninyemelea!
 
Nahisi ni kwa sababu ni siku ya kazi inayofuata toka weekend na watu wengi hujikuta wana makazi mengi ofisini na kujikuta wanaiita blue monday kutokana na ugumu au ubusy wa kazi ukichanganya na uchovu wa weekend.

Ni hisia tu lakini sijui kama nipo sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom