St. Paka Mweusi JF-Expert Member Sep 3, 2010 7,635 4,519 Jan 5, 2011 #21 Duh asante mkuu kwa darasa,mi nilikuwa najidungia tu hata faida zake sikuwa na mpango nazo...
Michelle JF-Expert Member Nov 16, 2010 7,621 3,514 Jan 5, 2011 #22 Nyie wote mnaolala after sex mnaboa,wenzenu tunakuwa macho????jitahidini bwana.LOL
Shinto JF-Expert Member Dec 6, 2010 1,781 96 Jan 5, 2011 #23 MadameX said: Uongo, kama ni hivyo mapadre na masista wangekufa zamani. Click to expand... Nani kakuambia huwa hawagongi? Ndio maana wakawa couples! Watawa wa kike na watawa wa kiume! They are not stupid!
MadameX said: Uongo, kama ni hivyo mapadre na masista wangekufa zamani. Click to expand... Nani kakuambia huwa hawagongi? Ndio maana wakawa couples! Watawa wa kike na watawa wa kiume! They are not stupid!