Why you guys always thinking about sex....!!!?

Zinduka ushapata kivazi cha kutupia?

Mada: subiri wenyewe wako njiani watakuja kukujibu.

Mzima weye?
 
Zinduka ushapata kivazi cha kutupia?

Mada: subiri wenyewe wako njiani watakuja kukujibu.

Mzima weye?

My Sweetlady, nishapata mwayego, hapa na count down tu, naisubiri jumamosi kwa shauku kweli.....
 
Good...jmosi kabla ya kwenda kwenye jihoteli la kifahari unitumie pic nikuone ulivyopendeza....

Hata mazoezi ya 'kat wok' nishaanza kufanya c unajua miondoko nayo inachangia katika kufanya maamuzi!!!
 
Hata mazoezi ya 'kat wok' nishaanza kufanya c unajua miondoko nayo inachangia katika kufanya maamuzi!!!
Hahahaha!... Zinduna jaman! Khaa sipati picha kat wok zinavyofanyika hapo chumbani!. I wish ningekuwepo nikupe maksi..lol...
 
Hapa nimeweka CD ya Miss TZ, naigilizia miondoko kiushkaji
 
Back
Top Bottom