Why wasomi na waelewa hawapendi chama tawala?

mafinga kwetu

Member
Nov 21, 2010
35
3
1-Je ni wana jelous?
2-Wana uelewa wa jinsi ambavyo haki haitendeki?
3-Wanafahamu zaidi ya wizi unaofanyika?
4-Wanaufahamu wa mambo yanayofanyika nchi nyingine?
5-Wanafahamu jinsi rasilimali ambavyo haziwasaidii watanzania ipasavyo?
6-Hawaridhiki na utendaji kwa ujumla?
7-Wanajua walivyotakiwa kupata na kufanyiwa na serikali lakini havifanyiki?

Ninahitaji mchango wako mdau wa JF.......
 
mkuu tunaelewa mbivu na mbichi ni zipi ...... kwa hiyo mbichi zimekuwa zimetawala nchi toka 1961.... bora tungemwachia mkoloni kido hata mpaka 1977......
 
Wewe huwezi kuona CCM imepelekesha vipi nchi hii miaka yote? Tuko maskini kuliko mataifa yote duniani, inasemekana duniani mataifa yaliyo maskini sana yako 169, na sisi tuko 148, sasa imagine miaka 5 ijayo, tutakuwa sio mkia? Tena angalia kazi ya wachache waliotajirika baada ya Mwalimi Nyerere, na kasi na wengin kuendelea kuwa maskini, na mengine mengi yanayoambatana na hayo; sio tu suala la kisomi, ni uelewa, sasa Watanzania wanaelewa, na hata walio vijijini ndio maana wanakiunga mkono chama kitakatowatoa kwenye hili kongwa. Si kwamba kuna chuki ya mtu binafisi, ni sera nzima ya CCM is not pro-wananchi ila pro-maslahi ya wachache.
 
Unauliza kama vile huelewi maana ya elimu? Elimu ni kioo, ni ufunguo wa maisha. Inamsaidia mtu kujijua na kuyajua kwa undani mazingira yake na kuwa tayari kuitumia elimu hiyo (maarifa hayo) ili kuboresha mazingira yake na maisha ya jamii yake kwa ujumla. Kwa hivo wasomi ni watu wenye utambuzi, maono, uelewa mkubwa na jamii yao na mazingira yanayowazunguka. Wana uwezo wa kutambua matatizo na chanzo cha matatizo na hivo kupanga mikakati ya jinsi ya kutatua matatizo hayo na hatimaye kuitekeleza kwa faida ya wote. Wasomi wanaichukia ccm kwa sababu imefumbia macho matatizo ya wanajamii. Wenye madaraka wanafaidi keki ya taifa peke yao huku wakitelekeza wajibu wao. Nani atawapenda watu wa aina hiyo? Hata shetani atawazomea viongozi wa aina hiii!
 
Wasomi wengi hawaoni faida ya usomi wao coz ya sera za CCM na kujuana kwao. Wasomi wengi from poor and normal families wamejikuta kwenye wakati mgumu after finishing education, hamna ajira bila kujuana au ajira zipo ila hakuna vitendea kazi so muda mwingi wanakaa tu bure maofisini eg Mainjinia, madaktari na watafiti mabali mbali. Au mwisho wa siku inabidi na wewe uache maadili na kujiingiza kwenye system mbaya ya CCM kufuja mali za serikali ili uishi.

Ni mengi sana ila kwa kifupi Matarajio ya wasomi wengi kutoka kwa serikali ya CCM hayatakaa yapewe kipaumbele coz CCM ni chama cha wajinga na wenye elimu feki. Maprofesa wengi wa ukweli waliopo CCM ni maskini wa kutupw ukilinganisha na vihiyo wliojazana CCM kufuja mali za taifa. Moto unawasubiri Jehanamu na hizo mali mnazojilimbikizia mtakufa na kuziacha. Tena wengi wenu mnakufaga vifo vya ghafla hadi raha na wala hatutawakumbuka katika historia ya nnchi hii.:redfaces:
 
1-Je ni wana jelous?
2-Wana uelewa wa jinsi ambavyo haki haitendeki?
3-Wanafahamu zaidi ya wizi unaofanyika?
4-Wanaufahamu wa mambo yanayofanyika nchi nyingine?
5-Wanafahamu jinsi rasilimali ambavyo haziwasaidii watanzania ipasavyo?
6-Hawaridhiki na utendaji kwa ujumla?
7-Wanajua walivyotakiwa kupata na kufanyiwa na serikali lakini havifanyiki?

Ninahitaji mchango wako mdau wa JF.......

Nafikiri hujafanya utafiti wa kina Chama Tawala kina wapenzi na wanachama wengie, na wana elimu za level mbalimbali. Ukienda CDM maprofesa (nadhani ni Baregu na yule MP wa Bukombe tu) wanahesabika, Madokta nadhani Slaa na Kitila (Kinguo) Mkumbo kama sikosei. Chama Tawla siwezi hat wahesabu, kwani wenye elimi ni wengi na wasioenda shule kabisa ni wengi mnoo. NAomba ufanye utafiti wa kina uje na analysis nzuri zaidi, mfano Lema (Arusha Mjini) na Wenje (Nyamagana) wamepigiwa kura na vijana wa kijiweni zaidi, hata Mbilinyi. Kuna hatari matarajio makubwa ya vijana hao kutokidhiwa kwani wana matumaini makubwa sana na hawa wawakilishi wao wakidhani kuwa watakuwa wanawapelekea mshuko pale pale vijiweni.
 
Wasomi wengi hawaoni faida ya usomi wao coz ya sera za CCM na kujuana kwao. Wasomi wengi from poor and normal families wamejikuta kwenye wakati mgumu after finishing education, hamna ajira bila kujuana au ajira zipo ila hakuna vitendea kazi so muda mwingi wanakaa tu bure maofisini eg Mainjinia, madaktari na watafiti mabali mbali. Au mwisho wa siku inabidi na wewe uache maadili na kujiingiza kwenye system mbaya ya CCM kufuja mali za serikali ili uishi.

Ni mengi sana ila kwa kifupi Matarajio ya wasomi wengi kutoka kwa serikali ya CCM hayatakaa yapewe kipaumbele coz CCM ni chama cha wajinga na wenye elimu feki. Maprofesa wengi wa ukweli waliopo CCM ni maskini wa kutupw ukilinganisha na vihiyo wliojazana CCM kufuja mali za taifa. Moto unawasubiri Jehanamu na hizo mali mnazojilimbikizia mtakufa na kuziacha. Tena wengi wenu mnakufaga vifo vya ghafla hadi raha na wala hatutawakumbuka katika historia ya nnchi hii.:redfaces:

Nadhani pia nawe hujafanya utafiti
 
1-Je ni wana jelous?
2-Wana uelewa wa jinsi ambavyo haki haitendeki?
3-Wanafahamu zaidi ya wizi unaofanyika?
4-Wanaufahamu wa mambo yanayofanyika nchi nyingine?
5-Wanafahamu jinsi rasilimali ambavyo haziwasaidii watanzania ipasavyo?
6-Hawaridhiki na utendaji kwa ujumla?
7-Wanajua walivyotakiwa kupata na kufanyiwa na serikali lakini havifanyiki?

Ninahitaji mchango wako mdau wa JF.......

kama kuna mtu anahadhi ya usomi na hajui kama CCM is a crap, basi huyo elimu yake ni sehemu ya laana na matatizo ya mamilioni ya watanzania
 
afadhali umekiri kwani madokta wengi wa zahanati ni wezi wa dawa na ni wana CCM .... ndiyo maana kuna Prof. majimarefu... ndio ulikua una maana hiyo au.....
 
Elimu inafungua macho, hivyo kwa msomi yoyote yule si rahisi kudanganywa na wanasiasa matapeli wanaoonekana kipindi cha kampeni na lundo la ahadi,alafu kupotea baada ya kupewa kura, ninao uhakika mkubwa kua wasomi wengi wakiwemo ma-prof wanazo kadi za chadema mifukoni...
 
hivi wewe ukijua kuwa watawala wa CCM ndio waliomsaliti Mwalimu Nyerere na Azimio la Arusha utaendelea kuwakumbatia.
 
afadhali umekiri kwani madokta wengi wa zahanati ni wezi wa dawa na ni wana CCM .... ndiyo maana kuna Prof. majimarefu... ndio ulikua una maana hiyo au.....

Hata huyo! Anyway inanidhihirishia najibazana na msomi wa vipi. Unlearn!
 
Wajinga ndio waliwao..........wanaopigia kura ccm ni wajinga na ndiyo maana wanaliwa kirahisi wanaliwa kwa kofia na pilua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom