Why upungufu wa nguvu za kiume tu?

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Najiuliza hili swali sipati jibu kabisa,utasikia watu wanatafuta dawa na wengine kulalamika sana kuhusu hili tatizo,je wenzetu hawana hili la upungufu wa nguvu za kike?kama lipo inakuwaje na tiba yake? Au ndo hivo kimyakimya? Samahan lakin
 
Hatuna, labda upungufu wa hamu ya kuingiliana kimwili ambayo inasababishwa na
1. Emotion status ya kipindi hicho
2. Kuwa mbali na mpenzi wako hivyo kutoshiriki ngono kwa muda mrefu
3. Umri (hormonal change)
N.k
Dawa yake inategemea na tatizo.
 
Tatizo si nguvu za kiume ni mahitaji ya dada zetu yamekuwa ya kiwango cha juu,
Bila dakika 45 anakwambia hajatosheka......
Sasa bila kutafuta mbinu mmbadala wanaume wengi mwisho dakika 15 kashamaliza.
 
Ni sababu hizo hizo pia husababisha 'upungufu wa nguvu za kiume'....kwa hiyo tunaweza kuwa tunaongelea 'the same problem' here, tofauti ni kuwa...kwa wanaume dalili zake ni dhahiri (zinajionyesha kwa kushindwa kusimamisha kabisa, au wakati muafaka unapohitaji kusimamisha, au kusimamishai lakini uume kutokuwa na nguvu kabisa ya kuweza penya uke na/au ******).

Wakati matatizo hayo hayo kwa wanawake...dalili zake zinaweza zisiwe dhairi, kwani wao kimaumbile hawahitaji 'kusimamisha'...wao kimaumbile wanaingiliwa, na wanaweza kuingiliwa hata wanapokuwa 'emotionally,
hormonal, etc' hawajiskii...unapaka mate/lube mzigo unaendelea. But basically, we are talking about the same problem that affect both men and women!
 
Kwa wenzetu tatizo lipo pia ila haliitwi upungufu wa nguvu za kike....
 
Kwa hiyo litaitwa ongezeko la nguvu za kike........................!!
Maana kua jamaa kasema bila kurindima dk 45 basi bado hajaridhika....................!!
 
Ni sababu hizo hizo pia husababisha 'upungufu wa nguvu za kiume'....kwa hiyo tunaweza kuwa tunaongelea 'the same problem' here, tofauti ni kuwa...kwa wanaume dalili zake ni dhahiri (zinajionyesha kwa kushindwa kusimamisha kabisa, au wakati muafaka unapohitaji kusimamisha, au kusimamishai lakini uume kutokuwa na nguvu kabisa ya kuweza penya uke na/au ******).

Wakati matatizo hayo hayo kwa wanawake...dalili zake zinaweza zisiwe dhairi, kwani wao kimaumbile hawahitaji 'kusimamisha'...wao kimaumbile wanaingiliwa, na wanaweza kuingiliwa hata wanapokuwa 'emotionally,
hormonal, etc' hawajiskii...unapaka mate/lube mzigo unaendelea. But basically, we are talking about the same problem that affect both men and women!

Nakubaliana na wewe, ndio maana nikasema sisi hatuna tatizo la NGUVU za kike, kwani hatuhitaji hizo nguvu; na nikasema ni bora kuita HAMU coz that is what we want and at sometime lack!
 
Hatuna, labda upungufu wa hamu ya kuingiliana kimwili ambayo inasababishwa na
1. Emotion status ya kipindi hicho
2. Kuwa mbali na mpenzi wako hivyo kutoshiriki ngono kwa muda mrefu
3. Umri (hormonal change)
N.k
Dawa yake inategemea na tatizo.

True. Wanaume wao wanakandamiza viroba, ugoro, mirungi na mapombe ya kienyeji. Lazima nguvu zipungue
 
Tatizo si nguvu za kiume ni mahitaji ya dada zetu yamekuwa ya kiwango cha juu,
Bila dakika 45 anakwambia hajatosheka......
Sasa bila kutafuta mbinu mmbadala wanaume wengi mwisho dakika 15 kashamaliza.

heh!!!! I never thought of that! ila wanaume wa ck hizi wameishiwa nguvu za kiume ki ukweli maana hata ile tabia ya mwanamume kukojoa akachimba kishimo siku hizi hawawezi! kwa hiyo pamoja na hitaji kubwa la wanawake lkn na wanaume pia mmepungukiwa kubalini tu ukweli
 
Ahahaaaaaaa, umenichekesha sana! Yaani kukojoa na ukachimba shimo inaonyesha kwamba una nguvu nyingi za kiume? Kalagabao kabisa!
Ndio tatizo la watu kuanza kujiita mm MWANA art ukingali form one na hivyo kuyatupa masomo ya sayansi mapeeeeeema Kitu ambacho kinakukosesha walau basic sayansi!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Vyakula tunavyokula ndo chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume.
 
Tatizo si nguvu za kiume ni mahitaji ya dada zetu yamekuwa ya kiwango cha juu,
Bila dakika 45 anakwambia hajatosheka......
Sasa bila kutafuta mbinu mmbadala wanaume wengi mwisho dakika 15 kashamaliza.
Si bora wewe unaweza dk 15, kuna wengine dk 5 hawawezi
 
Ahahaaaaaaa, umenichekesha sana! Yaani kukojoa na ukachimba shimo inaonyesha kwamba una nguvu nyingi za kiume? Kalagabao kabisa!
Ndio tatizo la watu kuanza kujiita mm MWANA art ukingali form one na hivyo kuyatupa masomo ya sayansi mapeeeeeema Kitu ambacho kinakukosesha walau basic sayansi!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

my dear mie sio mtoto au mjinga kiasi hicho naelewa kila ninalosema na kuandika na kama sielewi kitu huwa sichangii kabisa, hizo basics unazosema nahisi nilizipata miaka miingi nyuma pengine kabla wewe hujaanza kusimisha! mi ni mwanamke ambaye ambaye nimeshaonja mbooo za kila rangi ndefu fupi nene nyembamba zenye nguvu na zilizolegea kwa hiyo ninaelewa mambo haya hun!:tongue:
:tongue:
 
Nakubaliana nawe cacico...siku hizi watu wamekuwa wavivu sana hawajishughulishi na michezo yoyote ile, hawafanyi mazoezi ya aina yoyote, kiti moto kwa sana na saa zote wako ndani ya magari. Ukiwaona vitambi vimewashuka utadhani wana ujauzito wa miezi tisa. Pia na kujizoesha kula junk foods ili nao waonekane wa kileo. Hali hii imesababisha magonjwa mbali mbali ambayo miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra sana kuisikia kwa Watanzania kuwa ni magonjwa ya kawaida na matokeo yake nanihii nayo imeathirika. Na hawa watoto wa siku hizi ndio wanatia huruma kupita kiasi. Unamkuta mtoto ana miaka 10 amenenepeana kupita kiasi kwa mwili kukosa mazoezi, na baadhi yao wameshaanza kupata magonjwa ya moyo kutokana na life style wanayoishi na wazazi wao.

Masigara, mapombe, chipsi yai, na lack of exercise! What do u expect????
 
Last edited by a moderator:
Ati na mimi huwa naziwaza nguvu za kike. Mbona hata wanawake nahisi libido imepungua sana?
 
Back
Top Bottom