Good Guy
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 3,809
- 1,406
udsm ni chuo cha ajabu sana kuna jamaa wangu alipata diviosion one akasoma bachelor arts and economics ila amejiriwa shule ya tambaza kama mwalimu wa uchumi......mshaahara wake laki 3.....halafu kuna jamaa wangu mwingine alishiaa darasa la saba akasoma mambo ya driving.......veta kwa wiki mbili ila kwa sasa ni dereva anaemuendesha wazili flani serikali mshaara wake milioni moja na nusu...........
sasa katika hawa ni yupi ana maisha bola
kijana ku fight na kutoka kimaisha si kazi ya chuo tena. Jamaa yeye ndo kaamua kua mwl na dereva huyo well kajitengenezea opportunity na akafika hapo alipo kuwalinganisha kwa kuangalia vyuo it's just wrong! Kuna wa2 kibao matajiri walioishia darasa la saba kipindi cha nyuma wamefanya makeke sasa wamewin so does that mean darasa la saba ni zaidi ya Chuo? THINK FIRST