Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,006
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia majigambo ya wasomao ud kiukweli wanaoisifu ud mnatakiwa mtoe vigezo thabiti. Basic english na hata kiswahili mnachemka. (review post kwa makini). Wapo watu walikuwa na wani zao kali lakini wamejiunga na vyuo vingine kwa sababu ud hamna degree program wanazotaka k.v baaf, lmv na nyinginezo nyingi. Tafiti wasomi wanagimba wamesoma special na ud sample ya j.k, mwigulu na wengineo in real sense ni vilaza (japo kuna exceptions ambao kila chuo huwanao hata kama unakidharau vipi). Miaka 50 ya serikali iliyojaa wasomi wa ud bado hali ni tete. Wachumi, wanasiasa, engineers bado nchi haina cha maana cha kujivunia. Inasikitisha pamoja na miaka 50 ya ud kuzalisha wasomi Tanzania bado nchi ya Jenerali Kagame iliyotoka vitani ikiwa disiorganised na wasomi wachache imetupiga bao. Wasomi wa ud acheni upuuzi tunataka ubunifu. Upuuzi wenu hauendani na majigambo mliyonayo kwenye zain african challenge mlikuwa mnatuaibisha hadi mkajitoa. Watu wanaostahili lawama kwa kufikisha nchi hapa ni ud na ccm.
we need people lyk u in ed forum,not those clown