Why This? Check Your History!!

Mathias BM

Member
Jun 28, 2012
21
3
Kwa Jinsi Ninavyofahamu Nimegundua Kwamba Watu Hupata Wachumba Na Kuwekeana Nia Ya Dhati Kuwa Wataoana Katika Kila Stage Ndani Ya Maisha Ya Shule Mfano Std 1-7, Frm1-4,5-6 U'versity/college Etc, Lakini Cha Kushangaza Asilimia 5 Ndo Wanaofikia Malengo 95% Go away! Do U Think Why? Make Reference To Your School Life History Then Give Your Portable Comments And What To Be Done.
 
Mimi na Kongosho tulianzana vidudu kwa mama holmes oysterbay,mpaka leo tuko wote mbona?
 
Last edited by a moderator:
Hapo wengi wao wanakuwa hawaja pevuka vizuri na kujua maisha vizuri
 
Mkuu Kongosho huyu huyu wa JF ........halafu niambie hivi kweli ni shemale?

Bishanga anaweweseka, anantaka sijui?

Usisikilize majungu mkuu,konnie ni mtoto wa kiukweli.
Wa ukweli umeona garden love langu wewe??

Anaonekana kichwa ngumu unamuweza kweli
Tena mie kichwa bajuberi, haniwezi kwa chips wala Rav4

Chui na ubabe wake huwa anaparamiwa na anazaa vile vile.
Chui dume naye anazaa au anazalisha??

Kongosho cam zis wei uthibitishe
Nathibitisha kuwa bishanga ana malale, mie ndo dokta wake
 
Back
Top Bottom