Why Tanzanians fear EAC federation

Tatizo wengine wanaleta story za vijiweni hapa.......... They just utter words without giving the emperical evidence.........nawasikitikia sana....

Kuhusu shirikisho.......Ndugu yangu The Quonquerer, tuliongea sana kipindi cha nyuma na tulibishana sana na akina smatta, realDeal na wenzake.....

Sisi watanzania hatutaki shirikisho kwa sababu si suruhisho la matatizo yetu... mfano shirikisho linaweza kutusaidiaje kuondoa ufisadi....wezi wa mali ya umma....

Shirikisho is not our preority..... that is pure and simple......

NI vizuri kama umegundua UHUSIANO NA TATIZO LA UFISADI.

Wakenya wanaharakisha tukamilishe shirikisho si kwa sababu wanatuona sisi kama ndugu.

Kenyans always want to take advantage of Tanzanians before Tanzanians wake up.

Ushahidi uko mwingi, mfano mmoja ni kwamba wamejinufaisha sana kwa kutumia Mlima Kilimanjaro wakati Watanzania mmelala. Na bado wangependelea mwendelee kulala zaidi.

WAJASIRIAMALI wanajua kubadilisha chochote (hata kama ni kero) kiwe FURSA, na fursa yoyote iwe BIASHARA.

USINGIZI wa Watanzania, kwa Wakenya ni fursa ya BIASHARA, na
UFISADI wa Serikali ya Tanzania, kwa Wakenya ni NEEMA ya kununua nchi kwa BEI POA.

Lakini Wakenya wanajua fika kuwa kuna siku mnaweza kuamka usingizini na pia kumaliza ufisadi, na hiyo ndiyo sababu ya KUHARAKISHA Shirikisho.

ALIYELALA, MBEMBELEZE AENDELEE KULALA ZAIDI, AKIAMKA UTALALA WEWE.

WATANZANIA MNABEMBELEZWA, ENDELEENI KULA!
 
hilo nalo neno
 
Wakuu.
Mwalimu Nyerere alisema,

"Kwa kweli hata kesho Nchi za Afrika ya Mashariki zikiamua kuungana, na Tanzania ikawa ni mshiriki, naamini kuwa ni rahisi zaidi kushirikisha Tanzania yenye Serikali Mbili - ya Zanzibar na ya Tanganyika - kuliko Tanzania yenye Serikali Mbili, ya Tanzania na ya Zanzibar. Wapendao Utanganyika watakuwa wazalendo zaidi, badala ya kuwa wasaliti, wakiazimia Afrika ya Mashariki iliyoungana kuwa Nchi Moja. kuliko Tanzania iliyotengana ikawa nchi mbili."

Soma uk. 10-12 Uongozi Wetu Na Hatma Ya Tanzania (by Nyerere)

Tumeifufua EAC na pia kuna fast track ya kuelekea EA Federation. Leteni mawazo yenu.

Ni kwa nini hatufuati ,hatufanyii kazi ushauri huu wa Mwanzilishi wa Muungano?

Huu muungano mwelekeo wake itakula kwetu wa tz coz we gat a number of unusable resource is better tubaki nazo wenyewe perhaps siku moja tutaamka.
 
Huu muungano mwelekeo wake itakula kwetu wa tz coz we gat a number of unusable resource is better tubaki nazo wenyewe perhaps siku moja tutaamka.
Untapped resources you meant? hata hivyo una point. Nimekuja gundua, hili suala linahitaji watu wenye vision, si kila mtu anayechangia humu ana maono wala amesoma International Trade. Ni kweli Nyerere (RIP) alikuwa anapenda Muungano, waliovunja EAC ya kwanza ni kina nani? Hata mazingira ya sasa na wakati wake ni tofauti, kwani alitegemea kwamba hao manyau watamsaliti? Aliye- coin neno Nyang'au ni nani? Na kwanini alifanya hivyo? Sisi tuna ya kwetu ya ndani, huwezi kupigana vita zaidi ya moja ukashinda. Kama ni liberalization was already in Tanzania kwa kuletwa na Bretton Woods institutions, "utandawizi/biashara holela" haikuletwa na EAC. EAC inadandia hoja, lengo lake linaweza kuwa jema at a certain level lakini si kazi yake peke yake. Tufanye biashara with controlled systems na iishie hapo!
 
Back
Top Bottom