Why students dont pass Maths

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
during our times we used log books , now they use.......

log.jpg
 
which time was that Boflo , I don't remember using it.
 
Last edited by a moderator:
during our times we used log books , now they use.......

View attachment 60208
Mkuu kizazi cha dot.com unakichanganya tu. Hiyo enzi ya wasomi toka Uhuru mpaka miaka ya tisini ikaishia zake, tulikuwa tunasolve problems zote mpaka Geometric na Calculus kwa kutumia hiyo kitu mpaka raha. Siku hizi zimekamata calculator za visimu,computer basiiii, kwa nini ubongo usilale na ukichanganya na mashairi ya bongo flavor kushney.
 
Na hilo sio tu ni tatizo Tanzania, bali ulimwengu mzima
 
Duh, mambo ya four figure table, haaa sio mchezo, hapo zinashukwa namba na ile mbaya, kuna zile log muhimu zote zinakuwa kichwani,...mtu ukifika kwenye log2 unajua bila kufungua hicho kitabu............................duh kwa kukiona hicho kitabu kimenikumbusha pia na yale mambo ya TRIG, yaani mambo ya COS, SIN, TAN kweli kulikuwa na shule.........................................Calculator ilikuwa slide ruler
 
Back
Top Bottom