Entrepreneur
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 1,087
- 620
My friend got carried away by a woman (you can call her a girl if you like), akajikuta kwenye mahusiano. Mahusiano yao yalizalisha ndoto, ndoto ya kuja kuwa Mr.&Mrs. Uhusiano wao ulikuwa unaenda vizuri na hata mtu wa nje ilikuwa ni rahisi kulitambua hilo. Mwanamme alijitahidi kumpatia mwanamke wake kila kilichokuwa ndani ya uwezo wake. His assumption was if you provide for the woman or open a business for her she will keep her legs together. Sasa wakati mchakato wa ndoa unakaribia mwishoni, ndipo rafiki yangu alipogundua kuwa mkewe mtarajiwa ana mahusiano nje, akaamua kuwawekea mtego, mtego ambao ulizalisha fumanizi la aibu .
Rafiki yangu akaamua kumpiga chini regardless gharama alizokwisha ingia. Kwa kutambua urafiki uliopo baina yetu, Mwanamke akanifuata akinisihi nikamwombee msamaha kwani bado anampenda, and this is what I told her; A girl is like a tin of coffee; you remember the one which had a foil inside. The first time you let a man touch your breasts or your private parts, then you have opened the lid. The moment you lose your virginity, the foil is gone. After that, every time you have sex (na watu tofauti) , the coffee gets depleted. If you are not careful the rightful owner will find there is nothing left for him".
Jaman, what in hell make a woman spread her legs katika mazingira kama haya?